Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2661606
Blinken akiwa beijing,
Blinken akiwa beijing kwa mujibu wa BBC,
Blinken akiwa beijing kwa mujibu wa WP

Umegundua nini?
Nimekosa sana. Nimekosa sana. Nimekosa mimi! China is indispensable just like water. If you don't drink it, you will eventually need and meet it in the shower room. haha
 
Mkuu sio kosa lao tatizo ni umwamba alio nao Urusi.

1.Inaonyesha urusi kwanza anafanya mambo yake kimya kimya pasipo kelele au kutoa taarifa yoyote ana focus kwenye misheni yake.
Hii imewezekana kwa sababu urusi ina KILA kitu haitaji kuomba msaada wa bure kutoka popote.

Ukraine siri zake zinavuja kwa sababu hana kitu anategemeea kuomba, na sheria za kuomba kitu mahali popote lazima utoa sababu unaomba cha nini? Na kitakupa faida gani.?? Lakini pia unapokua na mlolongo mrefu wa program yako kuvuja ni rahisi.

2.Inaonekana kwa makusudi urusi anawapa taarifa za uongo za kijasusi ukraine.Mfano kuna wakati ukraine wanatumia drone za upelelzi kwenye eneo husika ila wanaona russia kwenye defense line yao kuna vifaru vitatu na wanajeshi wasiopungua 100.

Ukraine wanajua wameshapata week point ya kuingilia kumbe mzee jamaa wamejificha mahali wanasubiri wajichanganye.

3. Russia amebobea kwenye udukuzi.inaonyesha simu nyingi za makamanda wa ukraine zinadukuliwa sana.

Kudukua tu haitoshi lakini pia inaonyesha wanauwezo mkubwa wa kutafsiri walichokidukua.
Hii ni kwa sababu mara nyingi lugha za kijeshi huwa ni za siri kiasi cha kwamba hata adui akisikiliza asielewe.

4.Urusi kama superpower ana majasusi KILA mahali hata huko siraha za msaada zinakotoka Bado jamaa ana mwatchman wake.

5.Ubora mkubwa wa siraha za Urusi.

Pia urusi wanajiapdate Kila wakati in term of military technique, quality of weapons.Na daima wanachagua technique ambayo kwao haina gharama wala madhara makubwa.Vita ni mbinu , ni hakili pia ni siraha bora.

RUSSIA KEEP GOING
 
Mkuu kupigana na mataifa 31 sio kazi rahisi hata USA asingethubutu. Mpe hongera mrusi.
Nani kakwambia mataifa 31 yapo uwanja wa vita yanapigana si tungekwisha shuhudia vumbi au mafuriko kule Russia.,

Russia alii underestimate Ukraine kwa 72hrs au three days sasa mwaka 2 unaingia, aliivamia Kyiv kwa missiles kutoka kila upande na kulitawala eneo la Ukraine lenye ukubwa wa nchi ya Newzerland leo ametupwa nje huko anapigana bakhmut miji ya mpakani mwa Ukraine na Urusi ni kwa vipi apongezwe mrusi.

Russia hii ambayo alipovamia alijaribu kupigana vita ya ardhini kwa msururu wa vifaru vya USSR 64km long akauchomoa baada ya wanajeshi wake kuuliwa kama nzega sasa amebaki bahari nyeusi anarusha missiles popote zitakapotua na kuharibu miundombinu na majengo ya raia na kuua raia, bado anastahili kupongezwa tuu
 
[emoji3533][emoji3533][emoji3533]BREAKING NEWS [emoji845]


[emoji298]️"The troops of Ukraine, who tried to advance in the South-Donetsk direction, lost more than half of their personnel," said Lieutenant Colonel Oleg CHEKHOV, head of the press center of the Vostok group of troops.

[emoji3533][emoji3533][emoji3533]
 
Kijana kataa au kubali zaidi ya mataifa 31 yanapigana na urusi kwa sababu zifuatazo.
Vita Ili ipiganwe katika pande mbili ina wezeshwa na vitu vitatu.

1.Intelijensia mpaka mda huu naongea kuna midenge ya upelelezi ya Nato na Marekani (AWACS) ZIPO juu angani kumscan urusi.

Pia mataifa ya Nato na Marekani kupitia mashirika ya intelejensi zao wameendelea kutafuta taarifa zenye msaada kwa ukraine. Pia kuna siraha maalumu za upelelezi
Zilizopelekwa ukraine.

2.Vita inahitaji siraha.

Hili halihitaji kuandika sana kwa sababu siraha nyingi zinatoka Marekani na nato.

3.Vita inahitaji lasilimali watu.
Bado hapa utaona Nato,ulaya na Marekani wanatoa makamanda wao kwa mgongo wa masenali pia wanatoa mafunzo kwa majeshi ya ukraine.

4.Pia kwa nyongenza Bado mataifa hayo ndio yaliyomwekea urusi vikwazo Ili akwame.

Sababu hizo tatu zinafanya vita viwepo ikitokea sababu moja imekosekana hapo hakuna vita.Na katika sababu hizo tatu zote zina ushiriki wa Marekani,NATO, na ulaya kwa ujumla.Sasa kwa nini tusiseme urusi inapambana na zaidi ya mataifa 31

Kwa nini unaona hajaingia mazima ?? Kwa sababu na wao wanaendesha S.M.O against russia Ili kumuingizia kitu kinaitwa strategic defeat.

Sasa kwa nn mpaka sasa Marekani na Nato wameshindwa kutumiza malengo yao dhidi ya Urusi? Urusi amewawezaje?? Na hizo AWACS anazipofushwa vipi??[emoji3] Huu ni uchambuzi mwingine.
 
Mazombi hawawezi kukuelewa,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
 
Not a single Patriot has been destroyed in Ukraine. All of them continue working and shooting down Russian missiles as efficiently as possible, Ukrainian President Volodymyr Zelensky says.


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Je,Russia angetazama jinsi hao Nazi wanavyoua watu huko Donbas!

Kama sheria za kimataifa zina kasoro basi zibadilishwe!Invasion of Yugoslav,Iraq etc was illegal under international law!
 
.
 

Stoltenberg ndo aliyesema,

Msikilize BANZOKA mwenzako alichosema, vita ni ya Russia vs NATO (Umoja wa nchi 30, dhaifu na oga)
 
Hii ndiyo sababu kuu marekani kuingia gharama kubwa ili kuishinda urusi ingawa nadhani ameanza kuona ukweli kuwa haiwezekani,

Kitu kinachomuumiza kichwa ni nchi za ulaya kuanza kuhoji umuhimu wa na lengo la NATO, pia uwepo WA marekani ulaya Una faida au hasara, hili ndilo swali ambalo mmarekani hataki lipate nafasi kwenye vichwa vya viongozi wa ulaya
 
Amejibu yeye ila kazi inaendelea kwanza aliyesema bukhumut haijaanguka sio huyu jamaa? Na aliyesema counter-offensive itachukua cremia sio huyo jamaa?
 
Vifurushi vya marekani vinaenda kufanya nn? Wewe hujaona Kuna kila Aina za silaha kutoka Nchi zote za NATO kama unabisha taja Nchi moja ya NATO ambayo haijapeleka silaha Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…