Mkuu!Sorry NATO siyo mabosi wangu(rejea post zangu za awali)Kwa hiyo mabosi wako NATO ni waongo pale waliposema Russia anaishiwa na anatumia silaha za kizamani tena zenye ufanisi kidogo.
Mkuu!Jibu langu ni siraha hizi hazijapelekwa Ukraine.Wambie wapeleke tu zikachomwe moto tena kwa remote tu ya Russia the living and real super power.
Kwahyo kwann mnabisha kwamba NATO hatumii vifaa vya kisasa Hapo Ukraine na vimetolewa nduki?Mkuu!Labda umesahau kuwa Urusi anatumia siraha za kisasa kama creselet rases air defence,S-400 triumph,pantsir ad,pia anatumi meli vita huko black sea kurusha makombora,pia anatumi SU-34,SU-35,MIG-31K kurusha hypersonic misille,
Pia anatumia makombora ya masafa marefu na yakisasa kama kh-22,zircon,kh-47 dagger,karibr,iskander missiles.pia anatumia vifaru vyakisasa kama T-90,T-80,T-72,BMP-3 IFV or APC.
Kipigo kitakatifu.Ukiona huyu mama anakiri kuwa Urusi wanasonga mbele ujue kipigo wanachopata Ukraine ni kitakatifu
View attachment 2662447
[emoji1255]Ukrainian Deputy Defense Minister Malyar admits Russian forces actively advancing across Donetsk and Lugansk regions (ex-Ukraine).
Malyar insists Kiev’s forces can hold Russian troops back - but how long can they last against army which she states has "superiority in forces and means"?
Subscribe @IntelRepublic
Na hizo kidogo elezea kwa kifupi kipigo kilicho zikuta hizo silaha.Mkuu!Hizo siraha si ndogo ila zimepelekwa kwa kiwango kidogo.Patriots ad 3,challeger 14,leopard 100,abraham 30(not deployed till now),himars 30,
bado ni kidogo ukilinganisha na strength ya adui yake mwenye maelfu ya siraha za kila namna.
turkeyMkuu kwanza hakuna silaha za nyuklia Ukraine. Hakuna aliyetaka kuweka silaha za nyuklia Ukraine. Kinyume chake Ukraine kwa hiari yake ilikabiidhi silaha zake za nyuklia kwa Urusi. Urusi ikaahidi kuheshimu na kutetea mipaka ya Ukraine, ahadi iliyovunjwa na Putin mara nyingi.
Hadi leo NATO haikupeleka silaha za nyuklia hadi Poland, nchi za Baltiki au Romania. Wala Finland. Ukiona kinyume taja mahali na terehe.
Kinyume Urusi inatishatisha majirani.
1. Unamaanisha mkataba gani? Tafadhali taja jina kamili, mwaka halafu mkataba unaowaza unahusu majadiliani vipi?Sawa,vipi mkataba wa Urusi,NATO na Ukraine?
Mkuu tulijadili hapa Yugoslavia na mauaji yaliyolengwa dhidi ya Waislamu wa huko.Ndio maana UN waliweka utaratibu!Mfano huko US,wangapi wanakufa kila mwaka over gun control?Kesho wengine waivamie US ili kuokoa raia wanaokufa,kuna uhalali hapo?
Wangapi wanakufa huko west bank?Hata mwandishi wa Aljazeera,raia wa marekani na palestine alipouwawa tena akiwa na jezi za Press,ilkuwaje?
Asante sana lwa kuthibitisha yale niliyoandika.
Muda mzuri wa kutest hizo siraha.Mkuu!Labda umesahau kuwa Urusi anatumia siraha za kisasa kama creselet rases air defence,S-400 triumph,pantsir ad,pia anatumi meli vita huko black sea kurusha makombora,pia anatumi SU-34,SU-35,MIG-31K kurusha hypersonic misille,
Pia anatumia makombora ya masafa marefu na yakisasa kama kh-22,zircon,kh-47 dagger,karibr,iskander missiles.pia anatumia vifaru vyakisasa kama T-90,T-80,T-72,BMP-3 IFV or APC.
Sasa wewe unaleta hisia wakati mimi nakwambia uvamizi wa NATO ulikuwa illegal under international law!Kama sheria hazifai zibafilishwe na sio kuwa abused na mataifa yenye nguvu!Mkuu tulijadili hapa Yugoslavia na mauaji yaliyolengwa dhidi ya Waislamu wa huko.
Mfano wako wa US na vifo vya bunduki ni tofauti. Kama serikali ya Marakani ingeanzisha kampeni ya kuua tusema hao Latinos au kuvumilia mauaji ya Latinos mkononi mwa wanamigambo - basi hapa tungeweza kulinganisha.
Marekani hali ya silaha mkononi mwa watu raia ni kichaa kitupu - hata hivyo ni jambo lao la ndani.
Hata West Bank naona siasa mbaya ya kukamata ardhi ya Wapalestina na kunyima haki zao - lakini hakuna siasa ya kuwaua Waarabu au (hadi sasa) kuwafukuza. Idadi ya Waarabu chini ya utawala wa Israeli imeongezeka mwaka kwa mwaka.
Yugoslavia ilikuwa jambo tofauti sana.
Mbona yeye anapeleka siraha Ukraine jinga kabisa
Ameenda kuomba yaani nakazia hakuna Nchi yenye uoga hapa duniani Kama US Sasa anazani China angemjibu nn? Kwa majibu hayo tusubiri arudi kwanza halafu utasikia China inasema hatutaki kupangiwa nn tufanye.U.S. Secretary of State Antony Blinken announced on June 19 that China had renewed promises not to send arms to Russia to fight in Ukraine, CNN reported from Blinken's visit to Beijing.
Although China has assured the U.S. it will not provide lethal aid to Russia, Blinken voiced concern at the actions of private Chinese firms.
Learn more: Blinken: China renewed promise not to send weapons to Russia
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu hakuna dalili kwamba Nazi walilenga kuua watu wa Donbass. Sehemu kubwa ya Donbass ilikuwa chini ya mamlaka ya Ukraine hadi 2022. Hakuna dalili kwamba waliau raia wao.Je,Russia angetazama jinsi hao Nazi wanavyoua watu huko Donbas!
Kama sheria za kimataifa zina kasoro basi zibadilishwe!Invasion of Yugoslav,Iraq etc was illegal under international law!