Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wamekufa Pamoja Na NYOKWEE yako Au 🙄🙄🙄😁😁😁
 
Maisha yanaenda kwa kasi sana.

Yaani huwezi amini kwamba yule Bingwa wa Uchambuzi T14 Armata ameukimbia huu uzi.
Yule aliyekuwa anasema wanajeshi wa Russian ni dhaifu, hawajui kupigana, hawana nidhamu na walevi.
Yule aliyekuwa anasema kwamba Russia wana vifaa vya kizamani, vibovu na havifui dafu mbele ya vifaa vya NATO.

Yule aliyekuwa mchambuzi na anayejua kila kitu cha Russia hadi anapolala Rais Putin anapajua.
Leo hii kakimbia huu uzi na kudai eti "Nipo busy huko kijijini/maporini na network hakuna"

Kweli nimeamini, kuchamba kwingi, Mwisho.....
 
Kwa Sasa medias zinapoteza na kile kinyambizi kilichozama na watalii wa kwenye Mv Titanic, havitaki kuendelea kudanganya kuwa Ukrainian army we amedondosha Makombora, na ndege kadhaa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Western media hovyo kweli.., wanajifanya hawaoni kwamba majeshi ya urusi tayari yameizunguka Kiev

Wanapoteza lengo na Ile underwater drone ya watalii hambayo hata hivyo ni propaganda tu Wala hamna lolote!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Pro-NATO someni hapa wote.

cc: kp kipanya44 , FUSO , T14 Armata , HIMARS , Jackal , kikiboxer , and 100 others
 
Mkuu, usikute ameshachambua kila kitu, hakuna lililosalia. Hapa kazi kwetu kupitia tena uchambuzi ule. What else should one do if everything has been said?
 
[emoji845][emoji779]if Russia uses nuclear weapons in Ukraine, it will enter into a war with NATO, U.S. senators say.

Democrat Richard Blumenthal and Republican Lindsey Graham have registered a draft resolution in the Senate, in which they note that in the event of a nuclear strike by the Russian armed forces on Ukraine, the radiation release will affect NATO countries.

Join our telegram channel for more videos - link in comments

#

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dah Dah aisee!
Kumbe tumetoka mbali namna hii.
 
Kwamba Prigozin mpishi wa zamani anaweza kuwa anajua nini kinaendelea battlefield kuliko Putin afisa wa KGB wa zamani? Endeleeni kila matango pori, mkishtuka maeneo yameenda
 
Basi na tumpe tunzo ya kuwa mgagagigikoko T14 Armata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…