kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kamanda kuna huu uzi nao itabidi uwe unaupitia kila siku,
Nikutakie safari njema huko ulikojificha, naomba uwachukue na hawa ndugu zangu,
Nkuba25 ,
Galip Vrl ,
mohamedidrisa789
Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi
Salaam Wakuu, Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine. Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata...www.jamiiforums.com
Baada ya uharibifu mkubwa wa Putin nchini Ukraine watu wa magharibi wasema "Tutawasaidia kuijenga Ukraine yenu"Jumla ya Tshs Trilion 157.74 zimeahidiwa kulifanikisha hilo.
Foreign donors have pledged 60 billion euros ($66bn) for Ukraine over a multi-year period to help the country rebuild following Russia’s February 2022 invasion.
The commitments were made at the two-day Ukraine Recovery Conference in London and were mostly comprised of a 50 billion euro ($55bn) commitment from the European Union announced on Tuesday and new pledges from the United Kingdom and the United States.
amedondosha Makombora, na ndege kadhaa
Mwandiko mpya huu! Pole sana....tayari yameizunguka Kiev...
Unless wagawanyike kitu ambacho Putin anakiomba usiku na mchana ili mambo yake yawe mapesi, vinginevyo ndugu hawa watu kwa umoja wao aisee hawashindwi jambo.Labda wataijenga Ukraine ya kibaigwa ndani ndani huko.
Aisee una uwezo Mdogo Sana wa akili,very shame !!! Hizi issue za Urusi na Ukraine zimezidi uwezo wa akili...!!Kama Patriotic missiles zinafanya vizuri kudungua Hypersonic missiles za Russia,hata f16 zitafanya vizuri.Russia nilivyoifikiria sio hii inayokimbizwa kwenye battle field Kila itwapo leo.Wanajeshi wake wengi wamekufa na vifaa vyake vingi vya kijeshi vimetekwa na vingine kuharibiwa.
Wamebakia kuharibu miundombinu na kuua raia.Kwenye hii
Vita huyu superpower kaçhemsha.
Hili swali Kuna Pro West mmoja nilimuuliza but till now hajajibu!Russia haina uwezo wa kukabiliana na NATO wakati lengo mama la umoja wa NATO ni kujihami dhidi ya Russia.
Unahisi kwanini USA alishawishi na anashawishi wanachama kutokea Ulaya ila hana habari na wanachama kutoka America kwenyewe, Africa wala Asia?
Ila kwenye majukwa mengne tuna muona [emoji2][emoji2][emoji2]Maisha yanaenda kwa kasi sana.
Yaani huwezi amini kwamba yule Bingwa wa Uchambuzi T14 Armata ameukimbia huu uzi.
Yule aliyekuwa anasema wanajeshi wa Russian ni dhaifu, hawajui kupigana, hawana nidhamu na walevi.
Yule aliyekuwa anasema kwamba Russia wana vifaa vya kizamani, vibovu na havifui dafu mbele ya vifaa vya NATO.
Yule aliyekuwa mchambuzi na anayejua kila kitu cha Russia hadi anapolala Rais Putin anapajua.
Leo hii kakimbia huu uzi na kudai eti "Nipo busy huko kijijini/maporini na network hakuna"
Kweli nimeamini, kuchamba kwingi, Mwisho.....
Imewezekana vipi silaha dhaifu na zenye ufanisi duni za Russia kufanya uharibifu mkubwa mbele ya silaha bora za NATO? Au ndo wameacha kusema uongo?Baada ya uharibifu mkubwa wa Putin nchini Ukraine watu wa magharibi wasema "Tutawasaidia kuijenga Ukraine yenu"Jumla ya Tshs Trilion 157.74 zimeahidiwa kulifanikisha hilo.
Foreign donors have pledged 60 billion euros ($66bn) for Ukraine over a multi-year period to help the country rebuild following Russia’s February 2022 invasion.
The commitments were made at the two-day Ukraine Recovery Conference in London and were mostly comprised of a 50 billion euro ($55bn) commitment from the European Union announced on Tuesday and new pledges from the United Kingdom and the United States.
Option aliyonayo ukraine ni ipi?Unless wagawanyike kitu ambacho Putin anakiomba usiku na mchana ili mambo yake yawe mapesi, vinginevyo ndugu hawa watu kwa umoja wao aisee hawashindwi jambo.
Nani alitegemea humu kwamba Urusi eti atapigana na Ukraine kwa mwaka na ushee na bado mambo magumu? wote tulijua ni wiki mbili tatu kwisha, sasa jiulize kumetokea nini.
Wakati mwingine tuongee reality na si ushabiki - yaani ni hivi option aliyonayo Putin ni moja kukaa mezani wayamalize vinginevyo ajiandae kupigana vita vya zaidi ya miaka 10.
Assessment niliyofanya mpaka sasa kwa Russian landing forces, their military gears, troops, tectics nakuhakikishia Russia hana uwezo wa kuvamia Marekani. Labda hiyo Marekani uwe unaisema iliyochorwa kwenye kikaratasi chumbani kwako umeiweka uvunguni mwa kitanda. Poland tu the way walivyo wanaweza mount resistance kwa invading Russian forces. Uturuki hii pekee inaweza zuia landing kama iliyofanyika leo.
Silaha kubwa zilizotumika leo: ukituma Mi-8s na Ka-52s unakutana na MANPADS na short range air defence systems, ukituma tanks ardhini unakutana na Uturuki au Poland wanazo German made Leopard 2 na ATM za kutosha. Ukija na Sukhoi na MiG haziko stealth hata bila ground radar Poland wakinyanyua AWACS mbili tu angani zinatoa mwongozo wa fighters zao kushambulia adui akiingia anga lao. Russia ikitumia artillery, self propelled howitzers na MRLS kama Smerch, Uragan hao members wa NATO karibia wote huwa wana counter battery radars. Kitu pekee ambacho Russia ana edge ni missiles hizo Kalibr zilizotumwa kama 160 hivi. Russian navy ilikuwa na meli zaidi ya 12 baharini na imeteka mji wa Maliupol na navy base ya Ukraine. Meli zinaleta shida kiasi, hakuna ASM za range kubwa ila landing crafts zitazuilika. Kuna nchi kibao hapo zinaweza hold more than a month zikivamiwa na Russia.
Ukraine sio level za Urusi na haina silaha za kutosha, wala sioni kama ina mobilization ya maana, kwanza jeshi ni 160,000 hivi ukiongeza na reserve wasiofika milioni moja. Hata hivyo Ukraine imefanya counter attack mida ya jioni, imepeleka mashambulizi kujaribu kuzuia airports za karibia na mji mkuu kutekwa. Naamini wakishindwa wataweka craters kwenye runways ili ndege za Urusi zisitue hapo.
Siwezi ilinganisha Russian na Marekani, ikitokea vita kati yao doctrine zao zinaonesha kabisa kwamba Russia atakuwa na defensive position na US atakuwa na offensive position. Hatotokea mwanajeshi yeyote wa Urusi aingie ardhi ya Marekani. Kwa mfano atapita wapi na kwa kutumia nini?
Kuhusu nuclear capabilities achana na idadi ya warheads sema nuclear delivery systems, preemptive strike capability na response. Hawazidiani sana idadi ya makombora na hawahitaji kutumia hata robo yake kumaliza vita.
Vita ya Russia vs USA haipo. NATO vs Russia haipo zitakuwepo operations za kuunga mkono au kumpinga third party
Unless wagawanyike kitu ambacho Putin anakiomba usiku na mchana ili mambo yake yawe mapesi, vinginevyo ndugu hawa watu kwa umoja wao aisee hawashindwi jambo.
Nani alitegemea humu kwamba Urusi eti atapigana na Ukraine kwa mwaka na ushee na bado mambo magumu? wote tulijua ni wiki mbili tatu kwisha, sasa jiulize kumetokea nini.
Wakati mwingine tuongee reality na si ushabiki - yaani ni hivi option aliyonayo Putin ni moja kukaa mezani wayamalize vinginevyo ajiandae kupigana vita vya zaidi ya miaka 10.
very simple, kuhakikisha Urusi anapokonywa maeneo yote ya Ukraine anayoyakalia, ili ukifika wakati wa mazungumzo ya amani Ukraine asiwe mnyonge bali awe na mtaji wa not less than 50% at the peace negotiation table.Option aliyonayo ukraine ni ipi?
Iran yana akili sanaMwaka 2011 pia Iran walicapture drone ya US Lockheed Martin RQ-170
View attachment 2663533
View attachment 2663534
View attachment 2663541
Nadhani Iran wakaifanyia reverse engineering Lockheed Martin RQ-170, View attachment 2663537
Wakaja na Shahed 191
View attachment 2663538
View attachment 2663542
Mpaka sasa Russia mshindi...alichukua Crimea yote, luhansk na Donesk-industrial heart ya Ukraine...inakwenda hivyo, depopulation inayotokea Ukraine si ya mchezo, Ukraine army imebaki kama kikundi cha mgambo aka Alshabab...jeshi gani sasa hivi halina ndege, halina air-defenses...Huko front wako exposed tu..wanauliwa ovyo-ovyo...very simple, kuhakikisha Urusi anapokonywa maeneo yote ya Ukraine anayoyakalia, ili ukifika wakati wa mazungumzo ya amani Ukraine asiwe mnyonge bali awe na mtaji wa not less than 50% at the peace negotiation table.
Vita hii haitakuwa na mshindi, so kwa wale warusi wa Buza wanategemea hilo walifute.