kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hata macho yake yalionekana kuwa mekundu Sana!Yeah, President Putin ameongea kwa hasira sana leo.
Ha ha haHadi sasa ni masaa 25 toka jana
Subiri uone hao wagner wakifanya ujinga tu nikazi ya masaa tu watalia na kusaga menoKwani umesahau Wagner wakipoambiwa wajiandikishe na jeshi urusi na wakakataa?
Nilikuwa naamini ni propaganda mpaka niliposikia Putin katangaza hali ya hatari.Wagner ni kikundi ila kilikuwa na uwezo wa kila aina.
Russia imekuja shtuka wamechelewa.
Leo ndo naanza amini maneno ya Prigozhin, maana leo kasema kuwa kwa siku wanakufa wanajeshi na wanaumia zaidi ya 1000
Kwamba wanapoteza maeneo
Kamsikilize Putin boss. Hata hivyo usaliti wa kijeshi kwa nchi yako ni uhaini.Uhaini utoke wapi kwa urussi ....huyo ni msaliti tu
Wewe hujitambuiPutin ni mbwa na ana akili za kiumbwa! Ngoja avune alichopanda mbwa mkubwa! Alianzisha vita sisiyokuwa na sababu wala mwelekeo sasa imeanza kumtafuna yeye mwenyewe. Mpuuzi mkubwa!
Na kwa sasa ishakuwa vita ila hapo Rostov ndo itakuwa hatari mno maana kuna nukes hapoNilikuwa naamini ni propaganda mpaka niliposikia Putin katangaza hali ya hatari.
Kwanini hajitambui mkuu??Wewe hujitambui
Tafsiri kiswahili mkuu😂😂😂Unprecedented turn of events!
AlichokiongeaKwanini hajitambui mkuu??
Subiri uone sasa watamalizwa haraka na huku Russia wanaendelea kuchukua maeneo Ukraine wameshaingia khakivHadi sasa ni masaa 25 toka jana
Kamuita raisi wa urusi mbwaAlichokiongea