Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Subiri sasa uone .....kikosi kilicho ishinda nato kinavyo salimu amri kwa jeshi ...ndipo mtajua urusi siyo zimbabwe
 
Mkuu what exactly is your argument about? Unataka kusema kwamba kwa kuwa wakoloni waliitawala Afrika na kuwafanyia udhalimu waafrika hivyo ni haki Putin kuendeleza udhalimu wake Ukraine? What a childish and flimsy argument!
Mkuu Soma kwanza halafu tafakari, baadaye jibu. #Bugucha alikuuliza mbona ulikaa kimya wakati Wajerumani waliwaua Waafrika lakini unamsemea Putin. Nikamjibu yeye hakuona wala kusema kitu maana hakuzaliwa wakati ule. Afadhali kujadili hao walioko leo. Mfano Putin..
 
Warusi wa buza mliwadharau Ukraine kwamba wanahenyweshwa na KK security!

Kazi kwenu Sasa[emoji1787][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kk security awawezi kitu chochote kwenye jeshi la urussi ila urusi inacho fanya ni kuzuia ushawishi kwenye jeshi lake kutoka icho kikundi
 
Putin aliamuru kuwakamata na hao wanatembea kwa amani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…