Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa nimekupata vizuri mkuu. Tatizo huu uzi umevamiwa na machawa pro Putin hadi tunashindwa kuelewna.
 
Putin kiazi tu
 
Putin sio tu ni mla rushwa bali pia ni mbwa. Warusi wamemchoka. Kuna video nimeona wananchi wa Urusi wakiwashangilia Wagner na kuwapa sapoti ya kila namna. Hiki ni kiashiria kwamba warusi wamemchoka huyu mbwa koko.
Ni kweli kabisa
Anapata kile anachostahili
 
Wagner wamefanikiwa kuchukua udhibiti wa Gereza jimbo la Rostov, na wameachia wafungwa kwa ahadi ya kupigana dhidi ya jeshi la Urusi....
 
bro , walikuwa wanateteana Iraq, Libya, Afghanistan, yugoslavia etc????
walikuwa wanajitetea na nini
Kwanza nashukuru hujaribu kupinga kwamba hakuna dalili za Nato kushambulia Urusi. Asante, tuko pamoja.
Iraqi haina uhusiano na Nato. Libya ilikuwa azimio la Umoja wa Mataifa kuzuia jeshi la anga la Gaddafi lisiue raia zake. Haikuwa na uvamizi kwenye nchi kavu.
Afghanistan ilikuwa tendo la kutetea nchi ya Nato iliyoshambuliwa kutoka Afghanistan.
 
Russia imesambaratika mapema sana

Mambo yanaenda kasi sana hakuna anae amini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…