Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unashangaa naitaja Poland?
Putin kapigana na mchekeshaji Joti wa Ukraine kijana Zelensky, mpaka sasa yamemshinda. Sasa kaanza kupigana babantilie Sele bonge mzee Prigozhin mmiliki wa kampuni 😂.

Sasa Putin ndio akapigane na Andrzej Duda?
Na cha ajabu nini sasa wakati Poland iliwahi itandika Urusi, na kwenye WW2 USSR ililazimika ishirikiane na Ujerumani kugawana Poland na bado walioanza kushambulia ni Ujerumani. Poland ndio wangekuwa vitani mbona wanamgambo wa Urusi wangeshapoteana muda sana.

Nchi yenyewe jeshi haliwezi zuia vibaka na wafungwa waliotolewa gerezani na kupigana miezi nane dhidi ya Ukraine na kuambulia kamji kamoja kenye chumvi, wakati huo Wagner haohao wametumia masaa tu hata siku haijafika kuteka mji muhimu kabisa kwenye ulinzi wa Magharibi mwa Urusi. Sasa hiyo nchi iweze Poland?
Kuzuia Wagner wanaitwa wale Tiktokers akina Kadyrov wanatokea Mashariki ya mbali uko na wako alfu kadhaa tu, wakati nchi ina wanajeshi zaidi ya milioni wanakunywa uji sijui. Yalaa! superpower uchwara kapigwa na kitu kizito kichwani😂😂.

"Russia ni taifa teule" by Bwana Utam
 
Mkuu vipi mbona unamtukana sana Putin wakati unajua hayupo hapa JF wala kiswahili hajui?? Au na wewe ni wale wana upinde wa mvua?
 

Mkuu si ulisema kwa sasa upo busy shambani na pia huna Internet huko.
 
Imekwisha hiyo, sasa Wagner itashughulikiwa vizuri sana
Wanasema wamepumnzika tu.Ila ukisoma Historia ya Prigozhin. Jamaa alikuwa mwizi jambazi,alihukumiwa kufungwa na alikaa jela almost miaka 9.Kipindi cha USSR. Jamaa alianza biashara kwa kuuza Hot dogs.Kutoka kuuza Hot dog hadi kulisha Kremlin,majeshi n.k .Hadi kuanzisha Wagner. Ni safari ndefu. Jamaa hata shule ilimshinda. Ila leo kawa Biiiig man.
 
Hopeless comment ever!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…