Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Viongizi wa Ulinzi wa Urusi inasemekana wamejiuzuru
Nafikiri wafuatao Russia pale wanapaswa kujiudhuru kama sio kuunganishwa kwenye case ya uhaini.Putin akijifanya mwema..next time yatamtokea puani, ajifunze kwa Erdogan alichokifanya baada ya jeshi kujaribu kumpindua:
1.Shiogu:Huyu jamaa ameshindwa kabisa kiwa kiongozi.Ameahindwa kusolve ugomvi wake na Wagner kwa muda mrefu ..ugomvi wao unaekea kubaya..

2.Mkuu wa FSB: Haya yote yanafanyika: alikua wapi:Mpaka Wagner wanatembea km 200...yaani kama wameshindwa kujua mipango ya Wagner..watajua kinachoendelea Washington
3.Head of GRU
4.Head :SVR
5.National Guard
 
Jamaa alienda kupiga mpunga.
Sasa ni Kula bata tuView attachment 2667655

Call [emoji338] Prrii….priiiii

Putin: Prigo shida nini kamanda wangu, Shoigu hajakulipa pesa zako??

Prigo: Mzigo nimelipwa ila kuna dili mzee baba, tusiliache.

Putin: Funguka nakusikiliza

Prigo: CIA wanataka nikugeuke, wameahidi kutoa Mpunga $ 6.2B

Putin: Mazafucka, chukua hela hizo mzee baba, tutafanya figisu na mchezo utaisha.

Prigo: calling CIA director [emoji338]prrrr prrrr…. We fala tuma mzigo huo tuanze kazi.

Mnafikiri Prigo anaweza msaliti Putin,, hao jamaa ni washikaji sana. Hii ya leo wamecheza na akili zetu.
 
Unajuaje kama walikuwa hawajui? Kama walikuwa wanajua na pia mwisho wao utakuwa kama ilivyoishia leo!!?
 
Na wewe eti Think Tank wa JF!!?
 
Ndani ya masaa sita toka mwamba ahutubie haya tuendelee na game Sasa NATO mnazani Kuna mtu ataingia kutishia Russia atabaki salama?
Mkuu nilikuwa nimeumia sana wagner kutusaliti. Ajabu sikujua kuwa pro NATO wako wengi kiasi hiki.

Tumeshambuliwa nyuzi inatembea kwa speed ya ajabu.

Nashukuru wagner kusitisha safari ya Moscow.

Asante Mungu
 
KUMBE PRIGHOZIN ALIAMBIWA NA LUKASHENKO AKIJARIBU KUINGIA MOSCOW,BELARUS NA MARAFIKI WA PUTIN WANAINGILIA KATI JAMAA AKANYWEA!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Lukashenko probably told Prigozhin that, β€œIf you reach Moscow, Vladimir Vladimirovich is going liquidate you and your men.”

Putin had already briefed allies about the small provocation by Wagner and steps to be taken.

 
Mwisho wake ndio umefika; anarudi jela. Kasikia vijana wa Ramzan wako njiani kabwaga silaha chini.

Aminywe kende aeleze kalipwa dola ngapi na biden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…