Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa mara ya kwanza kp kipanya44 amekuwa mwanadamu huru baada ya kutumikishwa na NATO kwa muda mrefu, tena kwa robo mshahara.
 
Huwezi amini BBC wamerudi Tena na habari zao za Nyambizi yaani hata kipigo kinavyotolewa tolewa huko hawana habari, na hawataki kuripoti mchezo wa Jana ulivyoisha hivi BBC Nani kawaroga?
Aisee ni kweli...Yaani duh....Yaani TV stations za West ilipobainika kuwa Prigo amebadili gia angani sura za anchor men/women zilikuwa zinasikitisha sana...duh...Yaani walilowaaaaa....habari za nyambizi na za huko Israel na wapalestina zimerudi...duh...Prigo ni mtu mbaya sana...
 
Katika kusoma kwako kote hujawahi kusikia mapinduzi yasiyokua na umwagaji damu? Hua ni maigizo pia?
Mimi pia nawakubali Urusi lakini hili tukio limemuachia Putin taswira mbaya sana ya udhaifu, yaani ina maana hana kabisa agents kwenye kikundi kidogo kama Wagner ambao wanaweza ku monitor kila move yao, ameshindwa kuua hata kiongozi mmoja wa kijeshi wa Ukraine, ataweza vipi kuwapeleleza Marekani na wakubwa wengine?

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 

Ona sasa ndio umeandika nini hapa..?
Kweli punyeto ni kitu cha hatari sana.
 
Kuna watu wanaitwa “chechnya brothers” hujawaongelea, walipokuwa PMC wanatoka hawa jamaa wakatake positions na walikutana njiani and no single shot was heard…, ask youself what kind of rebbelion is that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…