ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,728
- 2,418
Sasa hapo nijiulize nini? Huyo Prigozhin ilikuaje akaruhusiwa kuwa mkubwa mpaka akapata hadhi ya kupigiwa simu na ku negotiate moja kwa moja na Rais wa nchi ambayo ni ally namba moja wa Urusi?Kwa akili tu ya kawaida na ya kujiongea.ushafika km 200 kufika ikulu, unaweza kukubali kwenda kupewa hifadhi nnje ya nchi?.
Unajua maana ya kupewa hifadhi kwenye nchi ya watu?.
Madai ya Prigozhin ni kwamba waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi inabidi watolewe, ila cha ajabu anaenda uwamishoni na vikosi vyake vinakuwa chini ya watu wale wale na yeye kalizika kabisa.bado ujiulizi tu kuna nini kinaendelea.
(8) Lukashenko kumpigia magoti Prighozin na kumuepusha swahiba wake na aibu ya milenia na kumsihi sana Prighozin aachane na mipango yake.
Ivi unachongea uwa unafanya utafiti au unakurupuka tu kuongea.ivi kuna kitu gani kwa hapa duniani Warusi wameshindwa kutengeneza.ebu niambie icho kitu.
Maana kama ni simu tunazijua zipo vyingi tu ila labda weww ndo uzijui.
Habari zingine zilizopo ni kwamba katika mabadiliko, wale wote waloshiriki mpango wa jana na Prigozhin watapelekwa Afrika ambako Wagner wana vituo vya kijeshi.Hakuna udhaifu wowote, Bali ni propaganda wamezopigwa askari wa Wagner ambao hawakua tayari kujiunga na jeshi la nchi, ambao Sasa kiongozi wao anaelekea Belarus nawao wabaki chini ya Waziri wa ulinzi nakabla ya Jul 1 inatakiwa wawe wamejisajili kwenye jeshi la urusi. Je wataendelea kukaidi au watajiunga?. Ndicho kilichobaki.
Upo sahihi kabisa, Russia inakuzwa sana na propaganda tu ila kiuhalisia hana mabavu wala 'u-superpower' wowote ule.
Angalia hata namna Vita alivyoanzisha anavyoshindwa kuvimaliza (miaka 2 anapigana tu).
Ussr ilikuwa tishio na ikasambaratika, Urusi ya Putin ni masikini jeuri tu.
NATO haipo vitani na Urusi.
kama ni rahisi hivyo urusi, iran, north korea, south africa wanashindwa nini na wao kuprint wawe na uchumi wa kumpita US au angalau india basiMwambie Marekani anaprint hela uchumi wake hauna uhalisia zaidi ya kuprint karatas zake.
Hivi kutoka Belarus kwenda Kyiv na kutoka Russia kwenda Kyiv ni njia ipi rahisi kufika Mimi kuna kitu nimewazaDunia inaenda kasi sana kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
(1) Prigozhin kuwashutumu kina Shoigu kwa kushambulia kambi ya Wagner na kuuwa mamluki 2000.
(2) Prigozhin kuvuka mpaka na kuingia Rostov na kutaka Shoigu atolewa la sivyo ataelekea hadi moscow kumtoa yeye mwenyewe.
(3) Putin kumkingia kifua Shoigu na kumwambia Prigozhin kuwa ni msaliti na mwenye kuweka manufaa yake mbele kwenye usalama wa nchi.
(4) Prigozhin kugomea amri ya Putin na kusema kuwa Raisi anadanganywa na kina shoigu, pia yeye ajafanya mapinduzi bali ni kufikisha ujumbe kwa maslahi ya nchi.
(5)Prigozhin kukubali kupewa ifadhi kwenye nchi ya Belarus na kukubali kukabidhi kundi la wagner kwa shoigu.
(6) Prigozhin na wanamgambo walioshiriki kwenye uasi kupewa msamaha na kufutiwa mashtaka ya uasi.
(7) Kipanya 44 kulalamika kuwa Prigozhin amewapiga pro ukraine na kitu kizito[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh Trillion 4,000 kazi kweli kweli currecny gani hii?Na Marekani aliyepigana Afghanistan kwa Miaka 20?? Na kutumia zaidi ya trillion 4,000 tumuitaje??
Si ufuatilie mkuuWanaitwaje hao wa marekani maana wa Urusi tunajua ni wagner.ebu tuambie wamarekani wanaitwaje[emoji23][emoji23]
As much as it hurts, that's the truth.Prigozhin mutiny exposed Putin's weakness.
Mfalme aliesimikwa mapema mwezi Mei.Ni mfalme gani unamzungumzia mkuu.
Miongoni mwa mambo ambayo halionyeshi udhaifu ni.Sasa hapo nijiulize nini? Huyo Prigozhin ilikuaje akaruhusiwa kuwa mkubwa mpaka akapata hadhi ya kupigiwa simu na ku negotiate moja kwa moja na Rais wa nchi ambayo ni ally namba moja wa Urusi?
Hebu tuelezee maana ya matukio ya jana katika lugha isiyoonesha udhaifu kwa Putin na Russia.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Hii hata yeye ameandika huku roho inamuuma, haamini Prigozhin amewezaje kutuvua nguo kiasi hiki.Our expert lee van cliff 🫡
Duh Trillion 4,000 kazi kweli kweli currecny gani hii?
Mfalme aliesimikwa mapema mwezi Mei.
Intel ya Russia ina udhaif US aliweza wapandikizia kiongozi akaivunja USSR.Miongoni mwa mambo ambayo halionyeshi udhaifu ni.
1. Kuzima Uasi kirahisi
2. Mpango wa CIA, M16 na wengine umezimwa bila kutegemea.
3. Kukivunja kikundi cha Wagner vipande na kung'oa kiongozi
2011 Alqaeda ilipanga uvamizi USA na intelijensi za dunia ikiwemo Mossad waliionya USA lkn akuwa macho na matokeo ya udhaifu huo
1. Twin Tower ilishambuliwa
2. Balozi za USA nchi Tz na Kenya zillipuliwa.
3. Pentagon ilishambuliwa magaidi
Kama sio uzuri wa intel ya Urusi leo tungekuwa tunasema vingine Proghzin aliuona mtego kwa mbali au alijua tayari he is dead walking akasarenda sema kama Putin hata m eliminate ndio udhaifu adhawaiz ilikuwa propaganda.
Labda useme ni plan ya muda iliyotegenezwa na CIA na washirika ili
(a) Waone kuna nini kwenye commanding center waliofika
(b) Russia anafanyaje ikitokea
Hesabu si ngumu, tusiwashangae akina msukuma, kibajaj, deo sanga wengine wamejaa humu.US $ trillion 2. Hapa umeridhika mtoto mzuri??