Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

polen sana mzee mm nilishindwa hata kula jana siku nzima nilijaa huzuni hata nilipewa miadi sehemu na demu mkali ssna sikwenda...
Dah ila ukweli wadau tuanatofautiana sana,yaani Mimi wala sikua na wasiwasi kabisa,nilijua fika Wagner hawatoboi.
Broo kumbuka hii vita sio ya Urusi peke yake,hii vita ni ni kati ya west na east.
Nilijua fika Wagner wasingekua na uwezo wa kukabiliana na jeshi halisi la Urusi.
 
Sijajua kwa nini watu wengi waliamini CIA/western kiujumla walihusika.

Niliona watu wengi walikua wanaisifia USA/CIA kuwa nyuma ya mapinduzi, hii inaonekana wadau hao wamefanikiwa kuwa brainwashed na Hollywood movies kwa 100%.

Sio kwamba mapinduzi hayawezi kufanyika, mapinduzi yanaweza kufanyika nchi yoyote ila bila USA kuhusika.

Kunaweza kuwa na internal conflicts ndani ya nchi zikapelekea mapinduzi kufanyika, sio kila mapinduzi basi ni CIA wanahusika.

Hollywood movies na western MSM zimewafanya waamini kwamba CIA wanaweza wakafanya lolote kwenye nchi yoyote hapa duniani.

Hongera kwa Hollywood, movies zao zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa ku'brainwash mindset za watu.

Kwa wale waliokua wanafikiri wamagharibi/CIA/NATO/ wamehusika labda waje watusaidie kujibu kwamba mpango wa CIA au NATO kwa ujumla kumpindua Putin ndio umeishia 200 km kutoka moscow na Wagner kugeuza kurudi camp na chief wa wagner kwenda Belarus???

View attachment 2668683
View attachment 2668682
View attachment 2668688
View attachment 2668694
View attachment 2668686
View attachment 2668687
View attachment 2668689
View attachment 2668690
View attachment 2668691
View attachment 2668696
View attachment 2668695
View attachment 2668693
View attachment 2668718
mkuu huyu mchambuzi fake yupo mtandao gani huko nimfuate au niwa fuate wana fikiri russia ni libya sasa maneno yoote aliotapika yakuwapi ...nafkir huko alipo anaona aibu nyumbu huyo
kama unabosema hollywoody zimewa haribu vijana aisee...shiiit
 
Tuacheni kujiliwaza jamani, tukio la jana ni matokeo ya kufeli kwa intelijensia ya Urusi, hakuna namna bora ya kuielezea.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Sasa hapa ndugu unataka kutulazimisha tukubali mawazo Yako wakati kila mtu kalitazama jambo hili kwa mtazamo wake.
Wewe Baki na Imani Yako na wengine wabaki naitazamo Yao.

Mimi msimamo wangu ni kua vyombo vya usalama vya Urusi vilikua na taarifa zote nasema hivyo kwa sababu Prigozin alianza mapama sana kuleta malalamiko,mara hapewi silaha hivyo atajitoa,Chenchen wakasema watalinda wao,mara jeshi la Urusi haliwajibiki,mara Shoigu anamdanganya Rais n.k
Sasa kwa malalamiko hayo hiyo ni bonge la alert kwa vyombo vya usalama.
Sasa shida Yako wewe unataka Kila usalama wakigundua njama wakutangazie,haiko hivyo mambo mengine ni kimyakimya TU.
Tena nakuhakikishia kua hakuna wakati vyombo vya usalama vya Urusi viko makini kama kipindi hiki.wanajua kutakua Kuna njama nyingi mno.toka west.
 
Sijajua kwa nini watu wengi waliamini CIA/western kiujumla walihusika.

Niliona watu wengi walikua wanaisifia USA/CIA kuwa nyuma ya mapinduzi, hii inaonekana wadau hao wamefanikiwa kuwa brainwashed na Hollywood movies kwa 100%.

Sio kwamba mapinduzi hayawezi kufanyika, mapinduzi yanaweza kufanyika nchi yoyote ila bila USA kuhusika.

Kunaweza kuwa na internal conflicts ndani ya nchi zikapelekea mapinduzi kufanyika, sio kila mapinduzi basi ni CIA wanahusika.

Hollywood movies na western MSM zimewafanya waamini kwamba CIA wanaweza wakafanya lolote kwenye nchi yoyote hapa duniani.

Hongera kwa Hollywood, movies zao zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa ku'brainwash mindset za watu.

Kwa wale waliokua wanafikiri wamagharibi/CIA/NATO/ wamehusika labda waje watusaidie kujibu kwamba mpango wa CIA au NATO kwa ujumla kumpindua Putin ndio umeishia 200 km kutoka moscow na Wagner kugeuza kurudi camp na chief wa wagner kwenda Belarus???

View attachment 2668683
View attachment 2668682
View attachment 2668688
View attachment 2668694
View attachment 2668686
View attachment 2668687
View attachment 2668689
View attachment 2668690
View attachment 2668691
View attachment 2668696
View attachment 2668695
View attachment 2668693
View attachment 2668718
Na wote wameenda mitini ghafla tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]yaan ile unafika Moscow ungeambiwa wametoka asa iv kwenda Belarus
Na akati uko njiani kwenda Belarus unaskia watu wako 100 km kuelekea Kyiv [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Attachments

  • IMG-20230625-WA0057.jpg
    IMG-20230625-WA0057.jpg
    63.2 KB · Views: 30
  • IMG-20230625-WA0061.jpg
    IMG-20230625-WA0061.jpg
    99.3 KB · Views: 24
  • IMG-20230625-WA0059.jpg
    IMG-20230625-WA0059.jpg
    159.2 KB · Views: 19
  • IMG-20230625-WA0058.jpg
    IMG-20230625-WA0058.jpg
    39.7 KB · Views: 27
  • IMG-20230625-WA0060.jpg
    IMG-20230625-WA0060.jpg
    202.4 KB · Views: 22
Sasa hapa ndugu unataka kutulazimisha tukubali mawazo Yako wakati kila mtu kalitazama jambo hili kwa mtazamo wake.
Wewe Baki na Imani Yako na wengine wabaki naitazamo Yao.

Mimi msimamo wangu ni kua vyombo vya usalama vya Urusi vilikua na taarifa zote nasema hivyo kwa sababu Prigozin alianza mapama sana kuleta malalamiko,mara hapewi silaha hivyo atajitoa,Chenchen wakasema watalinda wao,mara jeshi la Urusi haliwajibiki,mara Shoigu anamdanganya Rais n.k
Sasa kwa malalamiko hayo hiyo ni bonge la alert kwa vyombo vya usalama.
Sasa shida Yako wewe unataka Kila usalama wakigundua njama wakutangazie,haiko hivyo mambo mengine ni kimyakimya TU.
Tena nakuhakikishia kua hakuna wakati vyombo vya usalama vya Urusi viko makini kama kipindi hiki.wanajua kutakua Kuna njama nyingi mno.toka west.
Mitego yale kumjua msaliti ni yupi na asiye msaliti ni yupi, we si umeona ilivyotokea hahaha nimecheka sana sana yaani
 
mkuu huyu mchambuzi fake yupo mtandao gani huko nimfuate au niwa fuate wana fikiri russia ni libya sasa maneno yoote aliotapika yakuwapi ...nafkir huko alipo anaona aibu nyumbu huyo
kama unabosema hollywoody zimewa haribu vijana aisee...shiiit
Aisee Asante sana kwa collection hii.
Watu huabanadhani wamarekani sio binadamu wa Dunia hii.wamarekani saizi yao ni akina Libya TU.
Sijui hao uliowakopi wanahali Gani Sasa hivi.
 
hivi mkuu na wewe uliamini the might russian itapinduliwa kipuuzi au kitoto ...[emoji848][emoji848][emoji848]
mi hata sikuwa na mashaka naikubali russia na vizazi vyao akiondoka putin duniani atakuja miamba wengine .....maana sie bunadamu kila mmoja ataenda mavumbini kwa wakati wake ...
Wewe ulikua na mawazo kama yangu.
 
Ulishapata taarifa kwqmba hakuna kitakachoharibika
Sio kupata taarifa Ndugu,ni kukonekt dots TU.

Wagner wanapewa silaha na Urusi,
Wagner wanapewa taarifa za kiintelijensia na jeshi la Urusi,
Wagner wanapewa mafunzo ya matumizi ya silaha na jeshi la Urusi,na hata mafunzo ya kijeshi,
Wagner umaarufu wote ni kutokana na logistics za jeshi la Urusi,
Sasa wangwezaje kulishinda jeshi hilo.
Urusi kuna majeshi mengi sana hatari,Kuna Alpha,Kuna spertsnaz,Kuna Vyampel,Kuna Kila aina ya askari maalum.
Wagner Hawa ni wanamgambo TU na wao.
Wagner wako kama 25000 TU hivi,na sio wote wangekua na moyo wa kupigana dhidi ya jeshi jekundu,tufanye nusu wangweka silaha chin hivyo wangebaki 12000.
Je Hawa ndio wangetingisha nchi ya Urusi?
 
Jana Putin alimtisha Prigo eti atamwadhibu vikali. Leo anapaswa kumsamehe.
Amegonga mipaka ya uwezo wake.
Jeshi la Urusi halikuwa na askari waliokuwa tayari kumpinga Wagner.

Waliweza kuingia Rostov makao makuu jinsi walivyotaka. Wakaendelea kuelekea Moscow. Hakuna aliyewasimamisha.

Tutasikia mengine baadaye iliyokubaliwa kwa siri.
Naona Prigo alipata tatizo kwamba askari wake walianza kuonyesha wasiwasi. Maana aliwaambia wanataka kumwokoa Putin mbele ya wasaliti kama Shoigu.
Baada ya Putin kusimama waziwazi upande wa Shoigu hadithi hiyo ilikosa mshiko.
 
Back
Top Bottom