Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pole pia!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mi Prro Russia ila nakukubali kwa persistence tena hutumii matusi wewe unamsemo wako mmoja japo ni fake sana
" leo tumewachinja.....[emoji16]

Ila jana dk fulani ulikuwa full raha wengine tukiumia. Dk zako 5 bora ukarudi kwenye majonzi pole sana
 
Hoja yangu ni kwamba,
Unajuaje kama Putin anamuona kama amekosea?
Unajuaje pengine madai yake yalikua sahihi ila sema njia alizokua anataka kuchukua sio sahihi.
Yeye Lawama zake zote sio kwa Putin,Bali kwa Shoigu na Mkuu wa jeshi kua wanamdanganya Putin.
Sasa hapo pengine Putin anamuona kama mzalendo lkn hakua na subira.
Hayo ni mawazo yangu TU lkn.
Dah!.... Kazi kweli kweli.....

yaani pamoja na Putin kupiga mkwara mzito kwa Prigozhin bado unadhani Putin anamuona huyo jamaa ni mzalendo ?......
 
Huu uasi wa Prigo unachanganya sana. Binafsi sijui nisimame upande gani, wa mapunduzi ama maigizo? Maana nadharia zote mbili ni Tata.
Kama ni mapinduzi kweli napata maswali yafuatayo

1. Prigo anadai wanajeshi wake wapatao 2000 walishambuliwa na MoD. Lakini, hatuoni ushahidi wowote juu ya hilo.

2. Huu ujasiri wa kutaka kupindua serikali ambayo anaitegemea kwa Silaha na pesa Prigo aliutoa wapi? Ama kuna majenerali walikuwa wanamsapot?

3. Wagner waliwezaje kuuteka mkoa wa Rostov bila upinzani wowote yaani combat

4. Wagner waliwezaje kutembea km 700 bila upinzani wowote zaidi ya kusemekana walilipua helicopter 4 na ndege 1. Kwanini msafara wao haukupatwa na madhara?

5. Kama Prigo aliweza kuungwa mkono na jeshi maana yake alipata jeshi na vifaa jeshi. Je ilikuwaje asitishe mapinduzi hata kabla ya mapigano ya ana kwa ana?

6. Inawekanaje, Prigo akubali kwenda uhamishoni na kukubali kulipoteza jeshi lake bila hata ya mapigano yoyote? Tena nusu ya jeshi lake ikiwekwa chini ya wanaya wake, Shoigu na CDF.

7. Inasemekana baadhi ya wanajeshi wa Wagner waligomea mapinduzi ya Prigo. Mbona hakukutokea mapambano kati ya makundi hayo mawili?

8. Je, waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wameondolewa kama yalivyokuwa matakwa ya Prigo

9. Je, Prigo hakuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na Putin mpaka afikishe ujumbe kwa njia ya kufanya mapinduzi?

10. Kama Prigo alikuwa na nguvu na ushawishi kiasi hiki imekuaje awe mnyonge kwenye kusitisha uasi mpaka kupoteza nusu ya jeshi lake na uhuru wake wa kuishi Russia?

Kama ni Maigizo najiuliza yafuatayo
1. Je, hili igizo lilikuwa na muhimu gani kiasi cha kuingia hasara ya ndege 4, kubomoa barabara kwa kuchimba mitaro, na kulipua depot ya mafuta

2. Je, Putin haoni kuwa iwapo warusi wakigundua hili ni igizo wanaweza kumchukia yeye na serikali yake maana wameleta taharuki isiyo na maana na pia warubani wamekufa bila sababu ya msingi.

3. Je, hili tukio haliwezi kuamsha uasi kwa waliokuwa wanatamani kufanya mapinduzi lakini wakakosa ujasiri wa kufanya hivyo?

4. Russia inafadika nn na igizo la namna hii?

5. Kitendo cha Prigo kutaka kuasi sababu ya Shoigu na CDF wake hakuleti picha mbaya kwa wawili hao kwa warusi?
Sidhani kama Kuna member wa kuweza kujibu maswali haya bila mihemko!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii hata yeye ameandika huku roho inamuuma, haamini Prigozhin amewezaje kutuvua nguo kiasi hiki.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Sioni mahala Prigozin kaivua nguo urusi.naona umeng'ang'ania sana neno hilo,licha ya kueleweshwa sana na wadau lakini umeshikilia TU.
Kwa kifupi kwa watu wanaoangalia mambo kwa kina sana wataendelea kuisifu Urusi maisha Yao yote.
Kuna siku Hali halisi itakuja kuwekwa hadharani ndipo utakapojua uwezo wa Intelijensia ya Urusi.
Hivi wewe ambae unaisifu intelijensia ya USA na west wote kwa pamoja wameshindwa kuimudu nchi moja TU ya Urusi?
Kweli kabisa nchi moja TU? Halafu unaendelwa kusema Urusi ni dhaifu kiintelijensia kweli rafiki unaona mbali ?
Hebe fikiria CIA ,M16,na washirika wao wa ujasusibwa France ,German,Ukraine, Poland,Denmark,Holland, Belgium nk wameshindwa kuishinda Urusi kweli?
Ambao wewe ndio unawaona Bora kabisa hapa Duniani,halafu unakuja hapa kuidharau Urusi.
Aisee kweli watu tunatofautina.
 
Yani jana kuna muda niliamua kumpa mtoto simu aingie you tube ili amalize bando nisiweze kuingia kujua nini kinaendelea.ila haikupita hata dakika 2 nikashindwa kuvumilia, nikachukua kuangalia tena kuwa Prigozhin kafika wapi[emoji23][emoji23][emoji23].


Yani Moscow ingekuwa karibu kama vile unaenda zanzibar ningekuwa nishafika nimechukua AK-47 kwa ajili ya kujitolea kulinda ikulu.


Mwili wangu mpaka leo haupo sawa kabisa.nilikuwa nasikia kuzunguzungu na mapigo ya moyo kuwa chini sana kwa hali iliyotokea jana
Muone mwanasaikolojia haraka,huwenda unajiona huko sawa lakini Madhara ya siku ya Jana yataendelea kukutafna polepole!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yani jana kuna muda niliamua kumpa mtoto simu aingie you tube ili amalize bando nisiweze kuingia kujua nini kinaendelea.ila haikupita hata dakika 2 nikashindwa kuvumilia, nikachukua kuangalia tena kuwa Prigozhin kafika wapi[emoji23][emoji23][emoji23].


Yani Moscow ingekuwa karibu kama vile unaenda zanzibar ningekuwa nishafika nimechukua AK-47 kwa ajili ya kujitolea kulinda ikulu.


Mwili wangu mpaka leo haupo sawa kabisa.nilikuwa nasikia kuzunguzungu na mapigo ya moyo kuwa chini sana kwa hali iliyotokea jana
Nilipata Pressure hata chakula sikula sisi team Moscow tupeane pole jameni...
Mimi ni pro Russia Jana kama ww nilikuwa hoi huzuni tupu
Duh!....Putin angeambiwa ana wafuasi humu huenda angefungua akaunti humu JF.
 
Inawezekana mm ndo mtu wa pekee niliyejua toka mwanzo kuwa hii ni mbinu ya kivita, Russia anacheza.

Maana kambi ya jeshi lolote haiwezi vamiwa bila resistance, hapo ndipo nika confirm.

Tukio kama hili, Mkuu wa majeshi anatakiwa kutoa msimamo wa jeshi lake kabla ya Raisi kuhutubia, hapa nako nkaona hii ni staged.

Kinachofuata, ni operation zitatokea Belarus inaweza isiwe ni majeshi kutokea Belarus bali ni command center ikawa Belarus uku kuna route nyngne inatumiwa na Wagna.

Mtego mwengine, Ukrain itapeleka majeshi zaidi mpakani mwa Belarus wakiamini ni propaganda za kweli, watu wanachofikiria sasa ndicho mrusi alikipanga kwa muda mrefu kuwa mtafikiria hvyo na dunia kwa ujumla, kitu cha tofauti kinaenda kutokea, Trust me.
Tuchukue lipi na tuache lipi hapa?
Screenshot_20230625-192954.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hatari kubwa , msafara wa ukrein wafanyiwa maangamizi makubwa.


Breaking apart armored groups of the Armed Forces of Ukraine at the entrance to Makarovka, Zaporozhye region.

The Wet Yaly River, up to 30 meters wide in the Makarovka area, does not allow the Armed Forces of Ukraine to supply the garrison except along the only country road under the fire control of our troops.

The video shows incl. several units of previously destroyed armored vehicles of the Armed Forces of Ukraine
 
Mi Prro Russia ila nakukubali kwa persistence tena hutumii matusi wewe unamsemo wako mmoja japo ni fake sana
" leo tumewachinja.....[emoji16]

Ila jana dk fulani ulikuwa full raha wengine tukiumia. Dk zako 5 bora ukarudi kwenye majonzi pole sana
Safii, [emoji122] nimeyapokea maua yangu [emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nilikujibu cheki tena, pia mimi sio pro-Nato, ni pro-Russia na jana ilikua siku mbaya sana kwangu, wife hua sio mfuatiliaji wa hizi mambo ila mpaka alijua kuna kitu kikubwa kimetokea make kwa dakika moja nilikua nabadilisha chaneli hata mara tano, BBC, CNN, Sky news, Al jazeera, CGTN na hapo hapo nafuatilia live updates za Twitter, The Duran, JF, na YouTube kwa Alexander Mercouris kama amepost chochote, haikua siku nzuri na kubali kataa ime expose udhaifu mkubwa wa mfumo wa Urusi.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Pole Sana Kaka,Jana wengi mioyo yetu ilijeruhiwa
 
Dah!.... Kazi kweli kweli.....

yaani pamoja na Putin kupiga mkwara mzito kwa Prigozhin bado unadhani Putin anamuona huyo jamaa ni mzalendo ?......
Hujui mada imeanzia wapi.
Lakini Iko hivi hoja yangu ni kua sisi wote hatujui halo halisi ndani ya vyombo vya usalama.
Nilisema hivi Prigozin ana ugomvi na Shoigu,anamlaumu Shoigu na Mkuu wa jeshi kua wanamdanganya Putin.
Isipokua njia alizotumia ndio zilizomkera Putin.
Hayo ndio maoni yangu lkn.humu wote hatujui ya ndani ya kambi.habari nzito kama hizo za nchi kubwa kama Urusi haziwezi kisambaa kizembe Kila mtu akajua,wote sisi tuanakisia TU.
Putin kama Rais ilibidi atoe matamko kuondoa sintofahamu.
Kumbuka hata Ile habari ya ule msafara mlokua mnajisifu kua ulipigwa na Ukraine juzi kati hapa Putin ndo kaja kuweka hadharani kua waliondoka Kiev kwa kuonesha Good faith.
Hata hili Kuna siku litakuja kuwekwa wazi TU.
Ila Kaa ukijua wale wapiganaji binasfi wa Prigozin hawangeweza kufua dafu mbele ya Red Army,wasingeweza.
Huo umaarufu wote walioupata nikitoka na vifaa,taarifa na maarifa ya jeshi la Urusi lililopaki pembeni likiwasubiri NATO.
Hayo ndio maoni yangu,ila kama una maoni Yako unaweza kuyashikilia TU .
 
Alhamdu lillah jana imeisha maana kwangu ilikua siku ya mateso hata barabara ilikua nyembamba familia niliitesa maana walihisi ninahoma ya ghafla maana niliwahi kurudi home kuliko kawaida
Muone mwanasaikolojia haraka sana..,hii ya Jana ni sawa na mtu aliyepata ajali na kuvuja damu ndani kwa ndani..,itaendelea kukuhathir katika siku zijazo!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom