Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

polen sana mzee mm nilishindwa hata kula jana siku nzima nilijaa huzuni hata nilipewa miadi sehemu na demu mkali ssna sikwenda...
Dah ila ukweli wadau tuanatofautiana sana,yaani Mimi wala sikua na wasiwasi kabisa,nilijua fika Wagner hawatoboi.
Broo kumbuka hii vita sio ya Urusi peke yake,hii vita ni ni kati ya west na east.
Nilijua fika Wagner wasingekua na uwezo wa kukabiliana na jeshi halisi la Urusi.
 
mkuu huyu mchambuzi fake yupo mtandao gani huko nimfuate au niwa fuate wana fikiri russia ni libya sasa maneno yoote aliotapika yakuwapi ...nafkir huko alipo anaona aibu nyumbu huyo
kama unabosema hollywoody zimewa haribu vijana aisee...shiiit
 
Tuacheni kujiliwaza jamani, tukio la jana ni matokeo ya kufeli kwa intelijensia ya Urusi, hakuna namna bora ya kuielezea.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Sasa hapa ndugu unataka kutulazimisha tukubali mawazo Yako wakati kila mtu kalitazama jambo hili kwa mtazamo wake.
Wewe Baki na Imani Yako na wengine wabaki naitazamo Yao.

Mimi msimamo wangu ni kua vyombo vya usalama vya Urusi vilikua na taarifa zote nasema hivyo kwa sababu Prigozin alianza mapama sana kuleta malalamiko,mara hapewi silaha hivyo atajitoa,Chenchen wakasema watalinda wao,mara jeshi la Urusi haliwajibiki,mara Shoigu anamdanganya Rais n.k
Sasa kwa malalamiko hayo hiyo ni bonge la alert kwa vyombo vya usalama.
Sasa shida Yako wewe unataka Kila usalama wakigundua njama wakutangazie,haiko hivyo mambo mengine ni kimyakimya TU.
Tena nakuhakikishia kua hakuna wakati vyombo vya usalama vya Urusi viko makini kama kipindi hiki.wanajua kutakua Kuna njama nyingi mno.toka west.
 
Na wote wameenda mitini ghafla tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]yaan ile unafika Moscow ungeambiwa wametoka asa iv kwenda Belarus
Na akati uko njiani kwenda Belarus unaskia watu wako 100 km kuelekea Kyiv [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Attachments

  • IMG-20230625-WA0057.jpg
    63.2 KB · Views: 30
  • IMG-20230625-WA0061.jpg
    99.3 KB · Views: 24
  • IMG-20230625-WA0059.jpg
    159.2 KB · Views: 19
  • IMG-20230625-WA0058.jpg
    39.7 KB · Views: 27
  • IMG-20230625-WA0060.jpg
    202.4 KB · Views: 22
Mitego yale kumjua msaliti ni yupi na asiye msaliti ni yupi, we si umeona ilivyotokea hahaha nimecheka sana sana yaani
 
mkuu huyu mchambuzi fake yupo mtandao gani huko nimfuate au niwa fuate wana fikiri russia ni libya sasa maneno yoote aliotapika yakuwapi ...nafkir huko alipo anaona aibu nyumbu huyo
kama unabosema hollywoody zimewa haribu vijana aisee...shiiit
Aisee Asante sana kwa collection hii.
Watu huabanadhani wamarekani sio binadamu wa Dunia hii.wamarekani saizi yao ni akina Libya TU.
Sijui hao uliowakopi wanahali Gani Sasa hivi.
 
Wewe ulikua na mawazo kama yangu.
 
Ulishapata taarifa kwqmba hakuna kitakachoharibika
Sio kupata taarifa Ndugu,ni kukonekt dots TU.

Wagner wanapewa silaha na Urusi,
Wagner wanapewa taarifa za kiintelijensia na jeshi la Urusi,
Wagner wanapewa mafunzo ya matumizi ya silaha na jeshi la Urusi,na hata mafunzo ya kijeshi,
Wagner umaarufu wote ni kutokana na logistics za jeshi la Urusi,
Sasa wangwezaje kulishinda jeshi hilo.
Urusi kuna majeshi mengi sana hatari,Kuna Alpha,Kuna spertsnaz,Kuna Vyampel,Kuna Kila aina ya askari maalum.
Wagner Hawa ni wanamgambo TU na wao.
Wagner wako kama 25000 TU hivi,na sio wote wangekua na moyo wa kupigana dhidi ya jeshi jekundu,tufanye nusu wangweka silaha chin hivyo wangebaki 12000.
Je Hawa ndio wangetingisha nchi ya Urusi?
 
Jana Putin alimtisha Prigo eti atamwadhibu vikali. Leo anapaswa kumsamehe.
Amegonga mipaka ya uwezo wake.
Jeshi la Urusi halikuwa na askari waliokuwa tayari kumpinga Wagner.

Waliweza kuingia Rostov makao makuu jinsi walivyotaka. Wakaendelea kuelekea Moscow. Hakuna aliyewasimamisha.

Tutasikia mengine baadaye iliyokubaliwa kwa siri.
Naona Prigo alipata tatizo kwamba askari wake walianza kuonyesha wasiwasi. Maana aliwaambia wanataka kumwokoa Putin mbele ya wasaliti kama Shoigu.
Baada ya Putin kusimama waziwazi upande wa Shoigu hadithi hiyo ilikosa mshiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…