Wewe mtu..unaelewa kweli unachouliza??Humu ndani kumbe kuna watu weupe sana...tafuteni kwanza taarifa kabla ya kuuliza...duuEmbu tuelezee kwa nini Raisi mstahafu wa USSR akaishi Marekani badala ya Soviet block yoyote?
Tena alindwe na CIA, NSA na other security organ.
Ndiyo kuhaha kwenyewe huko!!Si kuhaha, nchi jirani iko kwenye vita halafu ww una relax tu kijinga?
Ndiyo kuhaha kwenyewe huko!!
Attention inapaswa kuwepo kila siku za maisha yao siyo baada ya kuona hatari! Wanasema kinga ni bora kuliko tiba! Wanahangaika kuwekana sawa baada ya kuona adui anawasogelea! Wanahaha! Kuna hatari!Si kuhaha ni kuwa attention. Kuhaha ni mtu anakurupuka kufanya jambo asilo lielewa
Una kiongozi gani makini tanzania?Tunaipenda Russia na viongozi wao makini. Kama tunavyoipenda Tanzania na viongozi wetu walio makini pia.
Kwa jinsi Putin alivyo huyu jamaa atapewa sumuHoja yangu ni kwamba,
Unajuaje kama Putin anamuona kama amekosea?
Unajuaje pengine madai yake yalikua sahihi ila sema njia alizokua anataka kuchukua sio sahihi.
Yeye Lawama zake zote sio kwa Putin,Bali kwa Shoigu na Mkuu wa jeshi kua wanamdanganya Putin.
Sasa hapo pengine Putin anamuona kama mzalendo lkn hakua na subira.
Hayo ni mawazo yangu TU lkn.
Hivyo ni vile unavyotaka wewe,pengine wanausalama walitaka wafike walipofika.Wangedhibitiwa mapema kabla ya kufikia ile hatua ya kushikilia miji kwa muda.
Kwa Nini apewe sumu badala ya kufikishwa courtini?Kwa jinsi Putin alivyo huyu jamaa atapewa sumu
Lee van cliff huo ndio ukweliHujui mada imeanzia wapi.
Lakini Iko hivi hoja yangu ni kua sisi wote hatujui halo halisi ndani ya vyombo vya usalama.
Nilisema hivi Prigozin ana ugomvi na Shoigu,anamlaumu Shoigu na Mkuu wa jeshi kua wanamdanganya Putin.
Isipokua njia alizotumia ndio zilizomkera Putin.
Hayo ndio maoni yangu lkn.humu wote hatujui ya ndani ya kambi.habari nzito kama hizo za nchi kubwa kama Urusi haziwezi kisambaa kizembe Kila mtu akajua,wote sisi tuanakisia TU.
Putin kama Rais ilibidi atoe matamko kuondoa sintofahamu.
Kumbuka hata Ile habari ya ule msafara mlokua mnajisifu kua ulipigwa na Ukraine juzi kati hapa Putin ndo kaja kuweka hadharani kua waliondoka Kiev kwa kuonesha Good faith.
Hata hili Kuna siku litakuja kuwekwa wazi TU.
Ila Kaa ukijua wale wapiganaji binasfi wa Prigozin hawangeweza kufua dafu mbele ya Red Army,wasingeweza.
Huo umaarufu wote walioupata nikitoka na vifaa,taarifa na maarifa ya jeshi la Urusi lililopaki pembeni likiwasubiri NATO.
Hayo ndio maoni yangu,ila kama una maoni Yako unaweza kuyashikilia TU .
Sky newsLukashenko's role in ending mutiny 'humiliating' for Putin
The president of Belarus may capitalise on his role in ending the Wagner mutiny in order to delay Vladimir Putin's increasingly formalised control of the nation, according to military analysts.
Alexander Lukashenko reportedly used his own channels to negotiate with Wagner leader Yevgeny Prigozhin and de-escalated the situation using "unspecified influence", the Institute for the Study of War said.
"The optics of Belarusian President Lukashenko playing a direct role in halting a military advance on Moscow are humiliating to Putin," said the US think-tank.
This may have secured him other benefits, such as preventing Mr Putin from using Belarusian forces in Ukraine or furthering the Union-State agreement, it added.
The Union State of Russia and Belarus is a series of treaties on policy integration signed by the two nations which have been seen as an attempt by Mr Putin to "soft annex" Russia's neighbour.
https://news.sky.com/story/ukraine-...updates-12541713?postid=6096252#liveblog-body
Hizo lawama amemtupia Putin moja kwa moja isipokuwa tu ameamua kuzunguka bila kumtaja ndio maana Putin alikereka.Nilisema hivi Prigozin ana ugomvi na Shoigu,anamlaumu Shoigu na Mkuu wa jeshi kua wanamdanganya Putin.
Isipokua njia alizotumia ndio zilizomkera Putin.
Ha ha ha,mie nilijua hata wewe mwamba umeusoma mchezo.Au ulipenyezewa taarifa kaka.ungenitumia inbox na mimi ndugu yako kuliko kuniacha kidogo nife kwa presha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo wewe ulikua kwenye kichwa Cha Prigozin Hadi umeweza kujua alichopanga kusema hadharani na alichokuanacho moyoni?Hizo lawama amemtupia Putin moja kwa moja isipokuwa tu ameamua kuzunguka bila kumtaja ndio maana Putin alikereka.
Kwa nchi zenye serikali za kiimla/kijamaa mawaziri hufanya kazi kulingana na maelekezo ya aliyewateua (hata kama hawakubaliani naye), huwezi kuwalaumu MOD na kina Shoigu ukamuacha Putin.
Alisema hata chanzo cha Vita hii ya kipuuzi ni tamaa tu (maana Ukraine na NATO hazikuwa zimejandaa kushambulia Urusi), ila maafisa wachache wa Jeshi na oligarchs (akiwemo Putin) waliingiwa tamaa tu japo hakumtaja Putin moja kwa moja ila lawama zake zinajieleza alimlenga nani.
Kweli kabisa.N swala la muda tu hata nato unazan itaendelea kuwepo
Maneno ya Prigozhin yanajieleleza yenyewe yamemlenga nani.....haihitaji kuwa kichwani mwake kuelewa.Kwa hiyo wewe ulikua kwenye kichwa Cha Prigozin Hadi umeweza kujua alichopanga kusema hadharani na alichokuanacho moyoni?
Yaani alichoweka akiba moyoni?
Hivi mkuu una matatizo ya akili au? Mbona sikuelewi!!?Hii ni Jana tu, zaidi ya mia Tisa walichinjwa 🥱🥱🥱🥱View attachment 2669160
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app