Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unataka sababu kwa nini marafiki wa Russia hawajaingia mzigoni? Kwa vile hii ni Special Operation. Hakuna vita hapo. Ni kama gwaride tu na a show of force. Hivi wale askari wenu 250,000 kutoka DRC wamefika salama? Because meli kadhaa zinazamishwa huko na Mrusi.
 

Ukraine nationalist leader sends warning to Kadyrov​

Andriy Biletsky, leader of Azov, a group of mostly ultra-nationalist war veterans in Ukraine, says if Chechen leader Ramza Kadyrov is in Kyiv region “it will be possible to shoot him dead.”
 
Kwenye peace umepuyanga hao NATO ndo wachonganishi wakubwa duniani kule libya walifanya nini? Palestine kule vipi dada? Kule iran? Afghanistan?
NATO hawakuingia wala Libya wala Palestina wala Iran wala Irak wala hawako Ukraine. Afghanistan waliingia kwa sababu nchi mwanachama (=USA) ilishambuliwa kutoka kundi Al Qaeda iliyokuwapo Afghanistan na serikali ya Afghanistan iliwaunga mkono, yaani ilikataa kuwakabidhi au kuwafukuza. - Na tuko pamoja kwamba yale yaliyofuata baada ya kuondoa Al Qaeda Afghanistan ilikuwa vibaya sana.

Menginevyo shughuli za peace keeping si kazi ya NATO (mbali ya wanachachama wake) lakini kazi ya Umoja wa Mataifa.
 
Inajulikana hivo, na kwa hali ilivo hata wakimweka mtu wao atafurushwa na wananchi. Kwa Waukraine utaifa ni kama dini na hiyo ipo kwa Slavic countries nyingi. Wanaipenda nchi yao kushinda maelezo.
ingekuwa waarab ningesema kweli ila waoga wa kizungu hakuna kitu. Kwanza miji iliyotekwa na warusi shughuli za maisha zinaendelea kama kawaida
 
Wakikujibu hao jamaa, situmii tena Google chrome
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acheni uongo toka umezaliwa vita ngapi umezishuhudia zilizo sababisha vifo vingi vya watu wasiokua na hati tena Nchi moja inashambuliwa kundi la Nchi nyingi, Libya Iraq,Syria, Palestine, Afghanistan, hii vita ya Russia kwa kua anawaua wazungu imekuuma sana unasahau hapa jirani yako Congo, Mali, Somalia Sudani watuwanauliwa kila siku na haustuki..
 
Atabisha!
 
Yasss! Na mimi nimeiona hii kitu. Ndiyo maana haina hata plate number! Direct from manufacturing plant! 🙂

#AMERICANATOStayAwayFromPutin
Hawa jamaa sijui vipi Russia ndio yakuishiwa silaha? Mijitu iliyo jipanga miaka na miaka kuuzima mziki wa nato. Asee nilicho wakubali NATO Ni propaganda asee Ni levo nyingine kbsa. Hata Mai Mai hawajawahi kuishiwa silaha.

Huko Russia Kuna shehena kubwa ya silaha kuliko kitu kingine chochote kile. Yaaani Kuna madozen ya silaha kiasi kwamba wakisema wanayagawa tunauwezo wa kugawana dunia nzimana bado mengine tukawasusia. Hivi Russia ya kuishiwa silaha kweli.

ROHO IMENIUMA SANA kutokana na ujinga huu.. mlianza na mafuta leo silaha kesho sijui Nini?
 
Waambie hao troops wenu watoke kwenye makazi ya watu. Kama Urusi ingetumia siku tatu kumaliza vita, hao milioni 3 waliohama nchi wangekuwa marehemu leo. Understood, Joe?

Mbona Russia hamalizi hii operation kwa haraka,nini tatizo Mkuu?
Si walisema putin atachukua ukrain yote kabla ya March 3 imekuwaje tena
 
Huu ndio uchambuzi sahihi kabisa.
Waeleze watakuelewa TU.
 
Walitamani umagharibi, walitamani demokrasia, walichoka kuwa watumwa wa usoshalisti, la njaa na ukabila/utaifa pia.

 
Jirani hebu jitulize kwanza! kinachoendelea Sasa Ni Ukraine na Russia acha kukimbilia miaka kumi iliyopita ya Gadaffi,haina impact Tena kwenye mustakabali wa Maisha yetu kwa Sasa!Tunaongelea hii Vita Sababu tunajua Mr Zero anachoenda kutuingiza dunia baada ya huu ukurupukaji wake...
 
Inashangaza sana kwa kweli.
West kwa propaganda Urusi ajipange.
Ila kiuhalisia Urusi ni noma.
NATO wameshindwa kumsaidia Zelensky,wanampa vijisilaha ajitegemee.
Urusi jeshi la mtu mmoja kawatuliza.
 
If ugekua wewe je ungesarenda the first time wanaingia nchini kwako? A man need to show he is a man. Even when you take him out still he fought like a man!
 
Imeniuma Sana kueneza propaganda za uongo na uchochezi. Marekani alishindwa kabisa kutoboa pale. Hizo f15'7 zilikua zinashushwa Kila zikisogea baghdad. ikabidi mfaransa ndio alifanikiwana hiyo rafale
 
Nyie jamaa kwa kujipa Moyo mko vizuri,eti gwaride!lingekuwa gwaride mngekuwa mmeshamaliza hiyo oparation yenu siku ya tatu,mpo tu mwezi Sasa mnaanza kukimbilia nchi zingine ziwape wanajeshi wawasaidie kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…