Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Kubadilishwa kawaida sana huyo alobadilishwa sio wakwanza na wala hatakua wamwishoMatokeo ni kwamba Major General Ivan Popov wa 58th Army ya Southern Military District amepumzishwa majukumu. Sababu wanaijua Shoigu na Gerasimov.
Na vilevile Lt. General Oleg Tsokov kamanda mkuu msaidizi wa Southern Military District ambayo ndiyo inahusika zaidi na vita hii ameagwa. Storm Shadow ilimpiga akiwa hotelini, September mwaka jana aliumizwa vitani ila this time hakusalimikaView attachment 2687876
Russia inafiwa sana na majenerali. Sababu wanapenda kuzubaa frontline na hawatumii secured communication hivyo zinakuwa intercepted na high ranking target zinatafutwa. Hata Dmitry Rogozin alishambuliwa na HIMARS sababu hii.
Alafu General Surovikin yuko wapi mbona wiki ya tatu yuko mafichoni
Ha ha haaOh,nilikuwa naongelea lugha za kibinadamu,Ila wewe, umesahau kwamba "kunena kwa lugha" ni karama na Roho Mtakatifu anatoa kama apendavyo?Achana na mafundisho potofu ya wanaojiita watumishi fake.
Nafanya utani mwamba.Oh,nilikuwa naongelea lugha za kibinadamu,Ila wewe, umesahau kwamba "kunena kwa lugha" ni karama na Roho Mtakatifu anatoa kama apendavyo?Achana na mafundisho potofu ya wanaojiita watumishi fake.
Anaejua huongea.Mnavyoendelea kuongea mnaonesha hamjui kitu.
Unachekeshaga mda mwingine naona unaongelea mahaba zaidi kuliko uhalisia vipi Lin ulisikia kamala harson siku za karibuni kwenye shughuli zake zaidi ya ziara ya mwaka Jana tu afrika, alafu kila nchi inamfumo wake wa uongozi nchi nying za west waziri mkuu ndyo mtendaji mkuu na mratibu wa shughuli zote serikalin,miswada, sheria na miongozo yote wanasimamia na kuiratib wao raisi ni kama kivuli tu muidhinishaji vipi Lin ulisikia waziri mkuu wa China ameongelewa kokote au wajitoa ufahamu.Mtu ambaye alitakiwa aliokoe jeshi la Urusi kuondokana na incompetency, rushwa, ukiritimba na matatizo mengine ni Anatoly Serdyukov. Huyu hata CV yake haidanganyi, kwanza alipitia kwenye kuongoza biashara zaidi kuliko siasa. Alivyoingia wizara ya ulinzi alileta mabadiliko makubwa kwa muda mchache akisaidia jeshi na military industrial production hasa renovations na upgrades. Miaka yake michache kama mitano aliyokaa jeshi likawa limenyooka baadae maofisa wakamchukia na Putin hakumtaka sana sababu ni competent na ana akili nyingiView attachment 2688031
Jamaa alikuwa hataki maofisa kukaa na hela, hela zinakaa na civilians alafu alipenda auditing aliyozoea kwenye biashara binafsi. Matokeo yake rushwa na ubadhirifu akaudhibiti na kesi za maofisa zikawa nyingi. Tendering ya silaha, orders na awards akafanya ziwe open kuwe na competition na iwe fair. Alafu hakuogopa kuchukua vitu vizuri kutoka nje, ndio aliondokana na hiyo aibu. Ndio aliwaleta Rheinmetall na makampuni mengine ya Ufaransa yalete teknolojia kubwa kwenye Murino training centre kambi kubwa pekee ya kisasa Urusi ambapo walifunga laser rangefinders, monitors, simulation rooms na vitu muhimu kwenye kufundisha tank crews, snipers na infantry. Hizo facilities zinasaidia pakubwa mafunzo yaliyokomaa ya wanajeshi wa Urusi.
Hawa viongozi waliofuata umuhimu ni ndio mzee kuliko uwezo wa kazi. Mfano nani anaona kazi ya Waziri Mkuu wa Urusi sasa hivi Bwana Mikhail Mishustin? Miaka mitatu sasa ila hata kusikika ni nadra.
Mengine siyakukurupuka jaribu kufuatilia hizo koti zinakuaje ndio uandike.Umeamia kwenye majenerali [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndyo mawazo ya washindwa wazee wa NATO mkitoaga analysis zenu mtu anabakki kushangaa tu ivi ni kitu gani ambacho unaisi Russia hawezi ffanyaa et kwenye logistics kwa uchumi wa Russia hawezi aisee kweli vichhaaa ni wengi hii nchiKwenye logistics ndio balaa zaidi, wanahitaji kuanza upya kabisa ila nadhani 'logistics' zinahitaji gharama sana hivyo kuzimudu kwa nchi kama Russia bado sio rahisi kwao.
Air force yao ni kama imekuwa 'dormant' kwa sasa, yaani inafanya kazi kama extension ya artillery haiwezi kufanya kazi independent kwa kupeleleza na kushambulia adui kivyake ndio maana hata SEAD iliwashinda, hapa pia wanakazi kubwa Sana.
Urban warfare imeonekana ngumu sana na kwa infantry wao nadhani uzoefu unachangia hata 'US' kule Iraq haikuwa rahisi kwa wale insurgents kule Fallujah na Mosul.
Kwenye naval warfare bado pagumu sana nadhani wana safari ndefu mno tangu ile Moskova kuzama na wao kushindwa kufanya naval blockade na baadae kuficha meli zao hili ni doa kubwa.
Jee matokeo ya mwanzo umeyaridhia au bado ni ubishi??Kubadilishwa kawaida sana huyo alobadilishwa sio wakwanza na wala hatakua wamwisho
General sina habari alipo ila nna Imani yuko salama kabisaaaa
Haya tupe na matokeo ya kaunta offensive
Nilicgoandika kama kinakuchekesha una matatizo, hakuna lolote la kuchekesha. Ngoja nikuulize, kama hutaki Mishustin awe famous ni ipi ranking ya powerful men in Russia?Unachekeshaga mda mwingine naona unaongelea mahaba zaidi kuliko uhalisia vipi Lin ulisikia kamala harson siku za karibuni kwenye shughuli zake zaidi ya ziara ya mwaka Jana tu afrika, alafu kila nchi inamfumo wake wa uongozi nchi nying za west waziri mkuu ndyo mtendaji mkuu na mratibu wa shughuli zote serikalin,miswada, sheria na miongozo yote wanasimamia na kuiratib wao raisi ni kama kivuli tu muidhinishaji vipi Lin ulisikia waziri mkuu wa China ameongelewa kokote au wajitoa ufahamu.
Alafu kila jeshi ni dhaifu sehemu yake ata awoo marekani unaowasifia kila ssiku kwamba wako competent kwenye maeneo mengi ni ssababu alipigana na vinchi ambavyo vilikosa usaidizi kokote kule Vietnam alikimbia baada ya kupata aibu ya karne au kudanganya namba ya watu waliokufa vitani. Ukrein anapata usaidizi kama aliopat vietnamu miaka ya nyuma tena zaidi ya kile ambacho vietnamu alikipata ila kurudisha ayo maeneo msahau tu itakuwa yaleyale ya Finland maeneo mchukuliwe alafu kkwenye vitabu mtaandika Russia alishindwa ili kujipoza machungu
Wewe T14 Armata punguza kuandika migazeti ya pumba kwenye huu uzi.Nilicgoandika kama kinakuchekesha una matatizo, hakuna lolote la kuchekesha. Ngoja nikuulize, kama hutaki Mishustin awe famous ni ipi ranking ya powerful men in Russia?
Yani command ya Russia kiserikali watano wa juu ni kina nani. Sababu kwa Marekani unayoitaja namna ilivyo wa kwanza in command ni Rais Biden na wa pili ni Vice Kamala na wote hawa wanasikika vizuri sana na Kamala anafanya ziara na kumuwakilisha Biden mara kibao. Sasa hapo unasemaje hasikiki?
Russia haina Makamu, Waziri Mkuu Bwana Mishustin anaonekana wapi. Kwenye Victory Day Parade sherehe kubwa zaidi kitaifa haonekani, ziara kimataifa haonekani, kuunga mkono operation haonekani, media akifanya matangazo na hotuba hamna. Yani anafichwafichwa anatokea mara chache mno.
1. Dmitry Medvedev ni maarufu kumzidi, wakati Medvedev ndio aliondolewa kwenye nafasi ya PM na aliwahi kuwa Rais term moja. Sasa hivi yuko Security Council anasikika kuliko PM.
2. Dmitry Rogozin kaobdolewa ROSCOSMOS na alikuwa Deputy PM ila ni maarufu na anasikika kuliko PM sema kwa sasa anaumwa.
3. Dmitry Peskov ni msemaji wa Putin ila ni maarufu na anasikika kuliko PM.
4. Sergei Shoigu ni Defence Minister, maarufu sana na anasikika kuliko PM wake. Huyu ni untouchable.
5. Sergei Lavrov huyu hakuna haja ya kusema mengi.
6. Sergei Naryshkin mkuu wa ujasusi ni powerful, maarufu kiasi kutokana na unyeti wa kazi na ana umuhimu sana. Hata mkuu wa usalama naye anasikika kuliko Waziri Mkuu.
Hao wote ukitazama kwenye ranking Mishustin anawazidi kikatiba ila hasikiki kuliko wao. Hata kwenye vikao vya emergency, sijui kupata war briefing, kwenye maadhimisho ya kitaifa, ile baada ya Prigozhin kuasi kote uko humuoni akiwa front. Huwezi kutetea, point hamna.View attachment 2688467
Mara zote za Putin kukaa kwenye meza ndefu na fupi kumkuta Mishustin ni nadra. Yani hata msemaji wa jeshi yule Igor Konashenkov anasikika na propaganda zake na hesabu za ajabu kuzidi Waziri Mkuu. Hata Maria anasikika mara chache chache
Acha kujizima data basi kamala ana umaarufu gani kuliko waziri wa mambo ya nje au kuliko waziri wa ulinzi ukiachana na Biden anayefata ni waziri wa mambo ya nje na waziri wa ulinzi wengine wote hawasikiki kabisa tna kidogo kamalaNilicgoandika kama kinakuchekesha una matatizo, hakuna lolote la kuchekesha. Ngoja nikuulize, kama hutaki Mishustin awe famous ni ipi ranking ya powerful men in Russia?
Yani command ya Russia kiserikali watano wa juu ni kina nani. Sababu kwa Marekani unayoitaja namna ilivyo wa kwanza in command ni Rais Biden na wa pili ni Vice Kamala na wote hawa wanasikika vizuri sana na Kamala anafanya ziara na kumuwakilisha Biden mara kibao. Sasa hapo unasemaje hasikiki?
Russia haina Makamu, Waziri Mkuu Bwana Mishustin anaonekana wapi. Kwenye Victory Day Parade sherehe kubwa zaidi kitaifa haonekani, ziara kimataifa haonekani, kuunga mkono operation haonekani, media akifanya matangazo na hotuba hamna. Yani anafichwafichwa anatokea mara chache mno.
1. Dmitry Medvedev ni maarufu kumzidi, wakati Medvedev ndio aliondolewa kwenye nafasi ya PM na aliwahi kuwa Rais term moja. Sasa hivi yuko Security Council anasikika kuliko PM.
2. Dmitry Rogozin kaobdolewa ROSCOSMOS na alikuwa Deputy PM ila ni maarufu na anasikika kuliko PM sema kwa sasa anaumwa.
3. Dmitry Peskov ni msemaji wa Putin ila ni maarufu na anasikika kuliko PM.
4. Sergei Shoigu ni Defence Minister, maarufu sana na anasikika kuliko PM wake. Huyu ni untouchable.
5. Sergei Lavrov huyu hakuna haja ya kusema mengi.
6. Sergei Naryshkin mkuu wa ujasusi ni powerful, maarufu kiasi kutokana na unyeti wa kazi na ana umuhimu sana. Hata mkuu wa usalama naye anasikika kuliko Waziri Mkuu.
Hao wote ukitazama kwenye ranking Mishustin anawazidi kikatiba ila hasikiki kuliko wao. Hata kwenye vikao vya emergency, sijui kupata war briefing, kwenye maadhimisho ya kitaifa, ile baada ya Prigozhin kuasi kote uko humuoni akiwa front. Huwezi kutetea, point hamna.View attachment 2688467
Mara zote za Putin kukaa kwenye meza ndefu na fupi kumkuta Mishustin ni nadra. Yani hata msemaji wa jeshi yule Igor Konashenkov anasikika na propaganda zake na hesabu za ajabu kuzidi Waziri Mkuu. Hata Maria anasikika mara chache chache
At a meeting with Ukrainian armed forces leadership on Friday, “the president informed the military that this is important”, Yermak said.Today it’s advancing not so quickly. If we are going to see that something is going wrong, we’ll say so. No one is going to embellish.
There is no pressure, just a question: how can we help you further?
It’s clear that our successes on the battlefield influence everything that is happening.
Maelezo yako hayahusiani na SMO...labda kana unaamisha mada.Nilicgoandika kama kinakuchekesha una matatizo, hakuna lolote la kuchekesha. Ngoja nikuulize, kama hutaki Mishustin awe famous ni ipi ranking ya powerful men in Russia?
Yani command ya Russia kiserikali watano wa juu ni kina nani. Sababu kwa Marekani unayoitaja namna ilivyo wa kwanza in command ni Rais Biden na wa pili ni Vice Kamala na wote hawa wanasikika vizuri sana na Kamala anafanya ziara na kumuwakilisha Biden mara kibao. Sasa hapo unasemaje hasikiki?
Russia haina Makamu, Waziri Mkuu Bwana Mishustin anaonekana wapi. Kwenye Victory Day Parade sherehe kubwa zaidi kitaifa haonekani, ziara kimataifa haonekani, kuunga mkono operation haonekani, media akifanya matangazo na hotuba hamna. Yani anafichwafichwa anatokea mara chache mno.
1. Dmitry Medvedev ni maarufu kumzidi, wakati Medvedev ndio aliondolewa kwenye nafasi ya PM na aliwahi kuwa Rais term moja. Sasa hivi yuko Security Council anasikika kuliko PM.
2. Dmitry Rogozin kaobdolewa ROSCOSMOS na alikuwa Deputy PM ila ni maarufu na anasikika kuliko PM sema kwa sasa anaumwa.
3. Dmitry Peskov ni msemaji wa Putin ila ni maarufu na anasikika kuliko PM.
4. Sergei Shoigu ni Defence Minister, maarufu sana na anasikika kuliko PM wake. Huyu ni untouchable.
5. Sergei Lavrov huyu hakuna haja ya kusema mengi.
6. Sergei Naryshkin mkuu wa ujasusi ni powerful, maarufu kiasi kutokana na unyeti wa kazi na ana umuhimu sana. Hata mkuu wa usalama naye anasikika kuliko Waziri Mkuu.
Hao wote ukitazama kwenye ranking Mishustin anawazidi kikatiba ila hasikiki kuliko wao. Hata kwenye vikao vya emergency, sijui kupata war briefing, kwenye maadhimisho ya kitaifa, ile baada ya Prigozhin kuasi kote uko humuoni akiwa front. Huwezi kutetea, point hamna.View attachment 2688467
Mara zote za Putin kukaa kwenye meza ndefu na fupi kumkuta Mishustin ni nadra. Yani hata msemaji wa jeshi yule Igor Konashenkov anasikika na propaganda zake na hesabu za ajabu kuzidi Waziri Mkuu. Hata Maria anasikika mara chache chache
Kama wewe ulivyoonekana mpumbavu kwa kuandika matusi badala ya kujib hoja
Napendaga tu hivyo vibwagizo vyako mwishoni..,big up[emoji119][emoji119][emoji119]Putin wants to attend a summit in Johannesburg - South Africa wants him to stay away
Vladimir Putin wants to attend an economic summit in Johannesburg next month but the country is desperately trying to persuade him to stay away to avoid the legal and diplomatic fallout over his international arrest warrant, South Africa's deputy president said in an interview today.
As a signatory to the treaty establishing the International Criminal Court, South Africa is obliged to arrest Mr Putin on an indictment the court issued against the Russian leader in March for war crimes involving the abduction of children from Ukraine.
Moscow has dismissed the warrant. South African authorities are likely to breach the treaty and not arrest Mr Putin, but some opposition parties, rights groups and legal activists have said he should be arrested and have threatened to do it themselves, raising security issues for the BRICS (Brazil, Russia, India, China, South Africa) summit in Johannesburg.
Having already decided not to condemn Russia over its invasion of Ukraine, South Africa faces the prospect of further straining relations with the West if it allows Putin to freely attend the summit of the BRICS emerging economies bloc of Brazil, Russia, India, China and South Africa.
Mr Putin hasn't yet travelled to a country that is a signatory to the court treaty since the arrest warrant against him was issued.
"It's a big dilemma for us. Of course, we cannot arrest him," deputy president Paul Mashatile said.
"It's almost like you invite your friend to your house, and then arrest them. That's why for us, his not coming is the best solution. The Russians are not happy, though. They want him to come."
=========================
Hii hati ya kumkamata Putin imeiweka BRICS njia panda.
Dahmjamaa anangoja mabwana zake wasepe afanye uswafii ...[emoji23][emoji23]View attachment 2685850