lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
WanaeIndia sijui kama wana rais ila wa Israel ni Isaac "Boogie" Herzog
Mimi lee van cliff najua fika kua India na Israel Wana Marais ila kwaifumo ya nchi zao hawasikiki sana.The president of India (IAST: Bhārat kē Rāṣṭrapati) is the head of state of the Republic of India. The president is the nominal head of the executive,[a] the first citizen of the country, as well as the commander-in-chief of the Indian Armed Forces. Droupadi Murmu is the 15th and current president, having taken office from 25 July 2022.
President of India Bhārat kē Rāṣṭrapati
Emblem of India
Flag of India
Incumbent
Droupadi Murmu
since 25 July 2022Head of state of the Republic of India
Executive branch of the Indian GovernmentStyle
- Rāṣṭrapati Mahodaya
(Within India (Hindi))[1]- Hon’ble President
(Within India (English))[1]- His/Her Excellency
(Outside India)[1]- The Honourable
(WithinCommonwealth)Type Head of state Abbreviation POI Residence
- Rashtrapati Bhavan, New Delhi, Delhi, India(Primary)
- Rashtrapati Nilayam, Bolarum, Secunderabad, Telangana, India (Winter)
- Rashtrapati Ashiana, Dehradun, Uttarakhand, India (Summer)
- The Retreat Building, Chharabra, Shimla, Himachal Pradesh, India (Summer
President of the State of Israel נשיא מדינת ישראל
Presidential standard
Incumbent
Isaac Herzog
since 7 July 2021Style His Excellency Residence Beit HaNassi Appointer Knesset Term length Seven years, non-renewable Inaugural holder Chaim Weizmann Deputy Speaker of the Knesset Salary US$173,255 annually[1] Website Israel presidential website
Mkuu!Humu jukwaa ujana(uhuni,matusi)umekuwa umetawala.hakuna lugha za staha wala busara!Mkuu T14 Armata huwa una madini mazuri ila kwenye huu uzi ni sawa unajaribu kuwafundisha nguruwe usafi. Hapa naona wanakutusi tu hakuna wa kujibu hoja.
Mizigo ya nchi za NATO.Hiyo mizigo yote imetolewa kwa kiasi kidogo sana lakini matokeo yake yameonekana, mfano Himars
Kwahiyo sasa hivi umeamia kwenye kuchambua mgawanyo wa madaraka na sio Offenseve uliyo kuwa unashinda unatuhubilia humu?Marekani ukitaja viongozi wakubwa watatu wanaotajwa sana Kamala yupo. Urusi ukitaja viongozi sita wanaotajwa sana Mishustin hayupo. Hiyo ndiyo tofauti
Acha kuingilia mifumo ya nchi za watu,jaribu kwanza kuoji mfumo wa nchi yako.Nilicgoandika kama kinakuchekesha una matatizo, hakuna lolote la kuchekesha. Ngoja nikuulize, kama hutaki Mishustin awe famous ni ipi ranking ya powerful men in Russia?
Yani command ya Russia kiserikali watano wa juu ni kina nani. Sababu kwa Marekani unayoitaja namna ilivyo wa kwanza in command ni Rais Biden na wa pili ni Vice Kamala na wote hawa wanasikika vizuri sana na Kamala anafanya ziara na kumuwakilisha Biden mara kibao. Sasa hapo unasemaje hasikiki?
Russia haina Makamu, Waziri Mkuu Bwana Mishustin anaonekana wapi. Kwenye Victory Day Parade sherehe kubwa zaidi kitaifa haonekani, ziara kimataifa haonekani, kuunga mkono operation haonekani, media akifanya matangazo na hotuba hamna. Yani anafichwafichwa anatokea mara chache mno.
1. Dmitry Medvedev ni maarufu kumzidi, wakati Medvedev ndio aliondolewa kwenye nafasi ya PM na aliwahi kuwa Rais term moja. Sasa hivi yuko Security Council anasikika kuliko PM.
2. Dmitry Rogozin kaobdolewa ROSCOSMOS na alikuwa Deputy PM ila ni maarufu na anasikika kuliko PM sema kwa sasa anaumwa.
3. Dmitry Peskov ni msemaji wa Putin ila ni maarufu na anasikika kuliko PM.
4. Sergei Shoigu ni Defence Minister, maarufu sana na anasikika kuliko PM wake. Huyu ni untouchable.
5. Sergei Lavrov huyu hakuna haja ya kusema mengi.
6. Sergei Naryshkin mkuu wa ujasusi ni powerful, maarufu kiasi kutokana na unyeti wa kazi na ana umuhimu sana. Hata mkuu wa usalama naye anasikika kuliko Waziri Mkuu.
Hao wote ukitazama kwenye ranking Mishustin anawazidi kikatiba ila hasikiki kuliko wao. Hata kwenye vikao vya emergency, sijui kupata war briefing, kwenye maadhimisho ya kitaifa, ile baada ya Prigozhin kuasi kote uko humuoni akiwa front. Huwezi kutetea, point hamna.View attachment 2688467
Mara zote za Putin kukaa kwenye meza ndefu na fupi kumkuta Mishustin ni nadra. Yani hata msemaji wa jeshi yule Igor Konashenkov anasikika na propaganda zake na hesabu za ajabu kuzidi Waziri Mkuu. Hata Maria anasikika mara chache chache
Mishustin ni kiongozi wa serikali na kazi zake ziko hii Chapter 6 Chapter 6. The Government of the Russian Federation | The Constitution of the Russian FederationMimi sikubishii sababu sina hakika, nimetumia tu logic ndio maana nimesema pengine, ila wewe uko assured, tumalize maneno nisaidie rejea za kisheria zinazoonyesha Majukumu ya waziri mkuu wa urusi.
Wenzetu wako vizuri hadi mshahara wa rais unawekwa wazi, Sisi huku kwetu hata mshahara wa mtendaji ni Siri mshahara unaojulikana ni wa mwalimu tu😄😄😄😄😄😄The president of India (IAST: Bhārat kē Rāṣṭrapati) is the head of state of the Republic of India. The president is the nominal head of the executive,[a] the first citizen of the country, as well as the commander-in-chief of the Indian Armed Forces. Droupadi Murmu is the 15th and current president, having taken office from 25 July 2022.
President of India Bhārat kē Rāṣṭrapati
Emblem of India
Flag of India
Incumbent
Droupadi Murmu
since 25 July 2022Head of state of the Republic of India
Executive branch of the Indian GovernmentStyle
- Rāṣṭrapati Mahodaya
(Within India (Hindi))[1]- Hon’ble President
(Within India (English))[1]- His/Her Excellency
(Outside India)[1]- The Honourable
(WithinCommonwealth)Type Head of state Abbreviation POI Residence
- Rashtrapati Bhavan, New Delhi, Delhi, India(Primary)
- Rashtrapati Nilayam, Bolarum, Secunderabad, Telangana, India (Winter)
- Rashtrapati Ashiana, Dehradun, Uttarakhand, India (Summer)
- The Retreat Building, Chharabra, Shimla, Himachal Pradesh, India (Summer
President of the State of Israel נשיא מדינת ישראל
Presidential standard
Incumbent
Isaac Herzog
since 7 July 2021Style His Excellency Residence Beit HaNassi Appointer Knesset Term length Seven years, non-renewable Inaugural holder Chaim Weizmann Deputy Speaker of the Knesset Salary US$173,255 annually[1] Website Israel presidential website
So wa ongeze kama wanayoHiyo mizigo yote imetolewa kwa kiasi kidogo sana lakini matokeo yake yameonekana, mfano Himars
Anaenigonga ni mama yako na mwanamke wako.Wewe ni mke wa T14 Armata ?
Sasa huwa anakugonga saa ngapi kama muda wote anakesha majarubani kupiga nyeto
Pro Nato wote sijui hawaoni aibu[emoji16] kipindi kile taarifa zikija kuwa Bakhmuti ishachukuliwa na Urusi wanahoma utasikia urusi wanachakazwa huko bhakhimuti, ikaenda media za ulaya propaganda zikaacha kabisa story za bhakmuti, leo hata hawakumbushii, sory imeisha Russia ni mwamba pale bhakhmuti.
Wakaja na counteroffensive hii walikuwa wanaipigia promo bila kusema wanataka kuirudisha bhakhmuti wakawa hawataji jina la mji wanasema tu kurudisha maeneo ya Ukraine.
Leo counteroffensive imekufa kabisaaa. Russia ia a king na isingekuwa sheria za kimataifa. Ukraine ingebak historia Duniani
Itakuwa aisee[emoji38]wanawapenda wa UkraineSio sheria za Kimataifa, Russia hakuna cha kumzuia sema Russia wana huruma sana.