Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hao wachambuzi mbona hawasemi ni kiasi gani cha gas & Oil kinaenda eu?
Vp kuhusu Japan na mataifa mengine?
Vp Russia anakusanya kiasi gani kwa kuuza mbolea na nafaka?
Naona kuna vitu vingi vimeachwa hapo!
Russia hawatoi takwimu zao hadharani
 
Yaani kutokumuona mishutsin inafanya nini kisiende sawa
 
Russia hawatoi takwimu zao hadharani
Si wangeweza kuzipata kwa EU countries zinapokea kiasi gani?Au nao hawasemi wanafyonza kimya kimya?
Wanawezaje kujua mapato ya Russia kwa kuuza gas & Oil china na India halafu washindwe kujua mapato ya Russia anayopata kwa kuuza kwa nchi za EU na washirika wengine ambao wako "Transparent"?
Kuna maswali hapo zaidi!
 
Watu wanaendelea mbele!!!!!!!!!!!!


Russia says has advanced 1.5km in northeast Ukraine​


The Russian military said Tuesday it had advanced on a limited section of the front in Ukraine's northeastern Kharkiv region, near the city of Kupyansk, after "successful offensive

Source:France 24:18/07/2023

Wakati huohuo

​

Situation in the east ‘difficult but under control’: Ukraine​


The commander of Ukrainian ground forces says the situation in the east is “difficult but under control”.

“The enemy is transferring reserves
to the Bakhmut direction, trying to stop our advance,” General Oleksandr Syrskyi said on Telegram.


Source :Aljazeera:18/07/2023
 
Cha ajabu zaidi wanao support mabeberu hao walio kuwa wamekubuhu katika nyanja zote za ukatori na ukandamizaji ni baadhi ya Watanzania wenzetu ebu angalia idadi ya Watanzania wanao support US blindly akiwemo Mkenya MK-254 ukiwahoji watu wa type hiyo kwa nini? wako hivyo watakutajia eti sababu zakupenda sana soda za CoCaCola,Colgate, McDonald, KFC ns BigG, ukisikiliza hoja zao utachanganyikiwa.
 

Wanakuambia west Kuna freedom [emoji23][emoji23]uhuru wa uchoko mtu anakutangazia uhuru afu ukisema hiki hutak anakupa vikwazo asa huo ni uhuru gani...
 

Wanakuambia west Kuna freedom [emoji23][emoji23]uhuru wa uchoko mtu anakutangazia uhuru afu ukisema hiki hutak anakupa vikwazo asa huo ni uhuru gani...
Cha ajabu hata majority ambao hawajawahi. kuvuka Altantic wala Pacific wanalisifia taifa hilo kama Mungu wao wa Dunia, wana


Wanasahau kabisa mamia ya mamillioni ambayo Merikani iliwahi kuua katika mataifa mbali mbali Duniani tangu Amerika ipate uhuru wake mwaka 1776 - kitu hicho ni watu wachache wanao kitabua - ni wauuaji sana na wakatiri - kazi kuzungumzia 24X7 masuala ya demokrasia na haki za binadamu -ulaghai mtupu!!
 
[emoji95]The first batch of new self-propelled mortars "Drok" was handed over to the Russian troops.[emoji95]

[emoji298]️The 2C41 Drok complex was created on the basis of the Typhoon armored car. The weapon is designed to suppress manpower and light armored vehicles, to blind observation posts, illuminate the territory and create smoke screens.

[emoji298]️The gun is mounted in an armored turret. The machine is equipped with mechanized guidance drives and a modern fire control system.

[emoji298]️One of the main advantages of the "Gorse" is a high rate of fire: more than 10 rounds per minute, while the ammunition holds more than 40 mines.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…