Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

 
Part of Ukraine ni half Russian speaking na nyengine ni anti Russia.

Wa-Ukraine 80,000 walipigana vita ww2 upande wa Nazi. Unamfahamu Stephen Bendera? Stephen Bendera na watu aina kama yake walikuwa wanafanya kazi na Nazi. Hawa Ukrainian aina haii walikuwa wanawawinda Jews na wamewaua Jews wengi wa Ukraine na Poland. It was dirty blood war.

Watu aina kama Bendera bado wapo, hawakuenda popote. Bado wapo Nazi nchini Ukraine na kuna Nazi Battalion katika jeshi la Ukraine. Ndiyo hawa anti Russia. Walichokifanya ni kufuta utamaduni wote ya raia asili ya Russia nchini Ukraine. Ni sawa sawa na hapa Tz ufute utamaduni wote wa mojawapo ya kabila. Hata lugha yao wasiizungumze na kuwatenga.

Mazingira haya ndiyo yakasababisha baadhi ya majimbo kujitenga nchini Ukraine hususani yanayozungumza lugha ya Warusi. Ukiliangalia hili ni kama uasi uliyotengenezwa na serikali ili kujastify kuwasulubisha jamii fulani ndani ya nchi.

Kipindi United States wametengeneza nuclear bomb Soviet Union nao wakaingia kwenye hizo mbio za ku develop the nuclear program. Wanasayansi wa Russia walikuwa wakifanya kazi na wanasayansi wengine wa Kijerumani. Kilichofanyika wanasayansi wa US wakatoa siri kwa wanasayansi wenzao wa Kisovieti. Kwa nini walifanya hivyo? Because they understood the dangers. They let the genie out of the bottle and now the genie cannot be put back. Hawa ni wanasayansi wamefanya hivi. Walikuwa na akili wanawafahamu politician: They provide this information to the Soviet Union ili ku-restore the nuclear balance in the world. But now we are trying to destroy the balance, na hiki ndicho anachokifanya US na EU.

Zama za cold war waliwekeana saini US kutoa mabomu ya nuclear Italy na Turkey dhidi ya Soviet Union. Soviet Union nao kuondoa mabomu ya nuclear Cuba dhidi ya US. Ili kuendelea ku-restore hii balance kipindi cha Germany reunification 1992 NATO waliwaahidi Soviet ambayo kwa sasa ni mother Russia kuwa hawatosogea hata inch moja kuelekea Russia. Tukumbuke NATO si democratic club bali ni military and security group. Mpaka kufika mwaka 1997 NATO waliingiza nchi 14 kuelekea Russia. US kwenye bunge lao la Seneta wakatangaza Russia ni nchi adui kwao.

Ukiwa member wa NATO kila zana zitawekwa kwa member huyo! Ukraine ni nchi huru lakini uhuru wake unaathiri usalama wa jirani yake Russia. Kiranja wa NATO ni US, na US katangaza Russia ni adui wake. Walifika uhasama wa kuwekeana mabomu ya nuclear kwenye nchi jirani na nchi zao. Russia kajaribu kutafuta njia za diplomasia zimefeli. Mbali na hilo Ukraine ndiyo nchi yenye vinu vya nuclear vikubwa barani Ulaya. Vipi kama nchi huru Ukraine akijiunga NATO kisha wakafufua vinu vya nuclear usalama wa jirani yake Russia utakuwa wapi? Na US wanawatumia hao Nazi wa Ukraine kwenye mipango yao dhidi ya Russia.

Unataka Russia afanye nini ili kulinda usalama wa Taifa lake?
 
Namwona Joanah kwa mbali akisema DUH!
 


Ila huyo anayepiga gwaride kumzunguka ndo ana busara sio?
 
Af apa habari itageuzwa kua Russia kapigika kaenda kuomba msaada wa kijeshi Syria...
 
Huyo former ambassador anasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af apa JF wachambuzi mahiri kama akina flan wanakwambia BRICS ni utopolo tu [emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…