Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nearly all of Russia's advances on Ukraine have stalled, with the lack of progress largely due to Ukrainian resistance, according to a senior US defence official.

There has been no appreciable change to Russia's advance on the Ukrainian capital, Kyiv, with forces still stuck around Hostomel airport, the official said. The airport is northwest of the city.

The official added that there is a convoy of between 50 and 60 vehicles heading towards Izyum, south-east of Kharkiv.
 
Kongole Jomba... Umeniongezea ambacho nilikuwa sina pia...

Kuna hii pia inafikirisha kwe huu mzozo

 
I have nothing to gain whether Putin or Zelenski win. My answer was just what I would do if I was Zelenski. Would I succumb to pressure and cede the country or fight as a man and become a hero? Just look at Afghastan president. He is despised even by rats!
Kutia huruma na kutafuta huruma ndicho mulichobaki nacho.
Naona sasa pro NATO mnaishi kwa matumaini😂😂😂😂😂😂
 
Ndio hii ni ajabu kweli. Walituma hao wadogo waliotumwa kwenye mazoezi... hawakujua kwamba watatumwa kupiga vita. Kama umesoma media kabla ya uvamizi - WOOOTE wa western walitabiri Ukraine itakwisha haraka.
Baadaye WOOOTE walishangaa: Warusi wanfanya nini???
Asante kwa kunisahihisha. Ni kweli NATO ilishiriki katika Libya. Msingi ulikuwa azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa namba 1973 ya tarehe 17 Machi 2011 ilyoruhusu matumizi wa nguvu kwa kuzuia mashambulio ya jeshi la serikali ya Libya dhidi ya wananchi wake, ila si kwa njia ya majeshi ya ardhi. Ufaransa na Marekani walianza kutuma ndege, baadaye NATO ilichukua kazi hii, pamoja na Katar. Vikosi vya jeshi la nchi kavu hawakuingia.
Swali lilianzishwa na mwenzetu aliyeulita kuhusu NATO katika Libya, Palestina, Irak na Afghanistan.
Kati ya nchi hizo NATO iliingia pekee Afghanistan baada ya mashambulio dhidi Marekani yaliyoongozwa kutoka nchini Afghanistan. Katika Palestina na Irak NATO haikuwa na kazi yoyote. Na Ukraine hawako.
Libya -asanta kwa kukumbusha- walianza kwa kutekeleza azimio la Umoja wa Mataifa.
(jinsi ilivyo vitani - matokeo yalikuwa mabaya.....)
 
View attachment 2150612

Ila huyo anayepiga gwaride la huyo anayepiga gwaride kumzunguka ndo ana busara sio?
Tatizo unachanganya asali na tango!umewahi kutana na comments yangu nikimsifia huyo unaemuulizia?Mimi namuongelea Zelensky na sio mtu mwingine yeyote!Sasa hayo mambo ya yeye kuwa au kukosa busara siwezi jua
 
Mzalishaji au Mporaji?
Ujue shida ya wenzetu analysis wanafanya kimahaba.... Analysis wanafanya kisiasa... Sasa siasa na uchumi wapi na wapi...

Katika uzalishaji kuna demand... Huzalishi kiholela. Uko nyuma nilimtolea mfano wa kipengele kimoja tu cha matumizi ya Gas and Oil. Kipengele cha "Manufacturing" yan viwanda...

Worldwide Top Manufacturing Hub tukamwonesha... Na tukamwambia wanalingana uzalishaji lakini demand wanapishana....

Huezi mkalipwa mshahara mmoja single na mtu mwenye familia 7 af mkalingana matumizi... Ukitaka kujua nani anabaki na nini angalia kwenye export na Import ya Oil na Gas duniani...

Data za Top Exporters ni hizi kwe Top Five USA hayupo kabisa... Biggest Oil Exporters: Top 10 Oil-Exporting Countries

Kisha angalia data za Top Importers of Oil and Gas duniani....



Utamkuta USA kwe top 5 baada ya Europe, Asia pacific na China... Ko mtu anashindwa kuelewa anazalisha kwa wingi lakini havitoshelezi mahitaji yaliyopo nchini kwake ndo huyo kaenda kumeza matapish yake Venezuela...

Sasa apa kwasabau tumejaza maji na mahaba kichwani zaidi ule utukuzaji wa mmarekani na magharibi wenzie bas ndo ishakuwa "Asiguswe" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwenye hyo screenshot pia kwa mwenye akili ya udadisi kuna kingine atakigundua pia kuhsu hyo Import ya nchi ya kwanza na ya tano [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Umeeleza kitaalamu Sana,hongera umepanga vizuri,unaeleweka,,,, Swali langu kwa Nini asiwapige USA hao viranja wa NATO na waliojitangaza Ni adui zake?........By the way Nimeelewa vizuri kuhusu Neo Nazi kwenye maelezo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…