lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Huyo ni mtaalamu wa masuala ya ujasusi,yaani jasusi wa CIA amenusa kushindwa kwa ukraine.na ameishauri nchi yake iiambie Ukraine ikubali kuwa imeshindwa .Game is Over for Clownensky [emoji1782]
โBiden should tell Zelensky that the game is over, he lost. We gave him almost everything he wanted, but he still lost. If the U.S. President does not say this, the Russians will continue to grind the Armed Forces of Ukraine until autumn, until next year,โ former CIA analyst Roy McGovern.View attachment 2710895
Haiko sawa hiyo ramani,kwa TZ ni uongo mweupe kabisa.Tanzania nani mbna sijui hii jamani wana jf. Nielekezeni
Na huu ndio mwanzo wa mwisho.Mayor Of German Town Wants To Hold Ukraine Peace Talks Citing Russian And Ukrainian Coexistence
Dietmar Spath, Lord Mayor of the Southern German city of Baden Baden, has proposed to hold peace talks between Moscow and Kiev.
The mayor said his city was an example of how local Russians and Ukrainians can coexist successfully, calling Baden Baden โa peaceful point of intercept.โ
Dah Dunia ilikua imechoka kabisa,watu walikua wanaumia kimyakimya,ndani kwa ndani hawana la kufanya,hawana pa kusemea,Sasa mtu mmoja TU aliezaliwa St Petersburg ndio aliechomoa betri.sasa watu wanapeleka malalamiko Yao kwa mtu huyo mmoja.PRO WEST huu mwaka mtaisoma namba uyu apa Rais wa Eritrea akitema madini mbele ya Mwamba Putin.View attachment 2711006
Msikilizeni...
Kumbe hii ni coded message!! Mnauza viungo vya askari wenu!!!! Unyama huu.Tutazidi kuwachinja Kwa wingi kadri iwezekanavyo
Bado Boko Haram,nao kutoa Tamko wakati wowote.
Ha ha haa,Siku hizi hatusikii tena zile habari za 6th Sanction Package
Hata kile kibibi kichawi - Ursula von der Leyen, hakisikiki kabisa siku hizi. Yaani tokea alivyotoka China na wakam-mistreat. Tokea hapo amepotea kabisa kwenye media
Yaani ilikuwa kila wiki lazima wakae vikao na watangaze Sanctions
Anzisha tuje huko bro,anzisha fasta.Halafu inshu ya Niger inahitaji Uzi wake. Tena uwe live updates kama huu wa Russia. Halafu habari mfanano zote kuhusu Niger ziwe ktk huo uzi.
Putin kawanukisha wa west,Kila sehemu wanakataliwa.๐ฟ๐ฆThe BRICS summit will not be limited to the five member countries of the association: the President of South Africa invited the leaders of 67 countries of Africa and the "global South" to it.
34 countries have already confirmed their participation. The UN Secretary General and representatives of other organizations are also invited to the events. - South African Foreign Ministry
Emmanuel Macron was not invited to the BRICS summit. - South African Foreign Minister
Soma historia. Gavana wa kikongo alikuwa ana back up ya CIA. PL alikuwa anataka kuibadilisha Congo kwenda ktk ujamaa. Askari wa kikongo ktk Jimbo la kasabuvu km sikosei ndiye aliyemkamata PL. Huyo Kasabuvu alikuwa anafanya kazi na capitalists operatives in congo.Sijajua basis ya swali lako ila Patrice Lumumba alipigwa risasi na askari wa Belgium. Mlolongo wote mpaka kuuawa kwake ambao umekua detailed, waliomkamata ni vibaraka waki'Congo kwa ushirikiano na serikali ya Belgium. Uhusika wa CIA sijauona popote ila kama walihusika kwenye ku'coordinate jambo hili, well and good, hatuthibitishi yasiyothibitika.
Hii haikuwa na ufanano wowote na case ya Gadaffi. Swali lako lina msingi gani?
putin hawez kuikomboa dunia kumbuka putin nae ni beberu kama mabeberu wa western wote wapo kwa maslahi yao zaidi ndo maana viongozi w africa walioenda kwake juzi wamehidiwa msaada w chakula n wakaishia kupiga makofi na hapo wanakumbia wanataka kujitoa kwenye ukoloni, hakuna lolote sana sana wanambadilisha tu mkoloni kutoka mkoloni wa magharibi wanamweka wa mkoloni wa masharikiDah Dunia ilikua imechoka kabisa,watu walikua wanaumia kimyakimya,ndani kwa ndani hawana la kufanya,hawana pa kusemea,Sasa mtu mmoja TU aliezaliwa St Petersburg ndio aliechomoa betri.sasa watu wanapeleka malalamiko Yao kwa mtu huyo mmoja.
Ukitazma hapo mwamba wa st Petersburg ananote Kila point,Mhuni Sergei Lavrov anasikiliza kwa makini kabisa Tena kama anataka kulia kwa uchungu.
Aisee Dunia ilikua inapelekwa wanavyotaka mabeberu.
Lakini Sasa mwanga umeonekana na matumaini yameanza kunukia.
Mfano,ikiwa
Mahatma Ghadi aliikomboa India,
Nyerere aliikomboa Tanzania,
Jomo Kenyatta aliikomboa Kenya,
Nkurumah aliikomboa Ghana,
Mandela aliikomboa Afrika kusini,
Putin ataikomboa Dunia.
๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐๐๐๐๐ท๐บ๐ท๐บ๐ท๐บ
Duh!Algeria informs France of its refusal to allow French military aircraft to cross its airspace
[emoji1026] [emoji1183] [emoji2936] [emoji632]View attachment 2711164
putin hawez kuikomboa dunia kumbuka putin nae ni beberu kama mabeberu wa western wote wapo kwa maslahi yao zaidi ndo maana viongozi w africa walioenda kwake juzi wamehidiwa msaada w chakula n wakaishia kupiga makofi na hapo wanakumbia wanataka kujitoa kwenye ukoloni, hakuna lolote sana sana wanambadilisha tu mkoloni kutoka mkoloni wa magharibi wanamweka wa mkoloni wa mashariki
View attachment 2711237
U.S Senator from Alaska, Dan Sullivan:
โThe incursion by 11 Chinese and Russian warships operating together โ off the coast of Alaska โ is yet another reminder that we have entered a new era of authoritarian aggression led by the dictators in Beijing and Moscow.โ
PS: The US dispatched now four destroyers and aircraft after 11 Russian and Chinese ships went close to Alaska state, according to a report by WSJ.
China and Russia conducted a joint naval operation near the coast of Alaska earlier this week in a โhighly provocativeโ move amid the war in Ukraine.
Ha ha ha haa.Mkuu unafikir mambo muhimu utayajua wewe wa kibaigwa? Yale yamebaki siri kwa waliohudhuria, Kichwa boga
Venus Star kwa heshima na taadhima nakuomba endelea na jukumu moja TU la kutulisha chakula Cha ubongo.So usipende kubishia vitu kwa kutumia emotions. Tafuta data kisha bisha kwa hoja.
Ila warus nyokoUkianacha na Wagner pamoja na Chechen kuna hawa miamba
Zapad Group of Forces
View attachment 2711074
Ngoja tujaribu kuwaangalia.
Soma historia. Gavana wa kikongo alikuwa ana back up ya CIA. PL alikuwa anataka kuibadilisha Congo kwenda ktk ujamaa. Askari wa kikongo ktk Jimbo la kasabuvu km sikosei ndiye aliyemkamata PL. Huyo Kasabuvu alikuwa anafanya kazi na capitalists operatives in congo.
UhakikaaaaAfrika inalazimishwa kuwa undeveloped kwa maslahi ya Ulaya na wala sio kwamba hatuna akiLI kama wanavyotutaka tuwaze hivyo.
Kama kuna nafasi ya dhahabu tumeipata kujitoa kwenye makucha ya hawa weupe,basi ni sasa! Tuna back up ya Russia kiulinzi na kiuchumi na pia kuna aina flani ya muamko miongoni mwa Waafrika wenyewe dhidi ya viongozi vibaraka wa Ulaya. Ikitokea tukakosa kuitumia hii nafasi vizuri kujikwamua,itatuchukua karne nyingi kupata nafasi ya dhahabu kama hii.
Kipindi kama hiki ndio kingekuwa na Marais wachache wazalendo waliotangulia mbele ya haki,ingekuwa rahisi sana kutimiza jambo letu. Mungui tusaidie.
AFRCA UNITE.
Thibitisha matendo ambayo CIA hawakufanya halafu wakasema wamefanya wao????
Sasa unataka uthibitisho upi ili ukubali???
Ndo kusema CIA wanajisingizia?????
Kweli nimeamini tz elimu ni Kansa mbaya kuliko ukimwi ๐๐๐๐๐๐๐