Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sasa si apambane na NATO wanaotaka kuleta hayo madude?mbona anawamudu huyu Ukraine Ni kumuonea tu,hapo ndio kaishia kujiaibisha tu!maana Siku ya kwanza nilivyosikia anapiga Ukraine nilikuwa Kuna maajabu yatatokea kumbe Hana maajabu
Kupambana na NATO ni vita vikubwa sana ambavyo achilia mbali Puttin hata wewe hutotaka kuona inatokea.

Dunia ya sasa raia wake hawataki vita, wanataka mambo mazuri kama Mrusi kuzaa na Mmarekani, Mchina kushiriki kombe la dunia, Kujirikodi tiktok, kusafiri n.k

Ukiachana na amri za kijeshi, raia wa Urusi na wananchi wa nchi wanachama wa NATO wanakaa vizuri tu na wanashiriki hadi ngono. Huko uingereza warusi wapo wanauza na kununua huduma na waingereza na hakuna lolote mpaka pale PUTTIN ANAPOGOMBANA NA KIONGOZI WA NCHI MWANACHAMA WA NATO.
 
Inavyoelekea Ukraine itakuwa chini ya Russia.
Kwa mie binafs sizanii hvo na wala sifikirii kwamba lengo la Putin n kuitawala Ukraine. Nachokiona lengo lake achilia mbali kuhusu "Neo-Nazi" na ile "Demand ya Neutrality ya Ukraine" ni kuidhoofisha Ukraine kijeshi ili Crimea, na zile Republic 2 mpya ziwe salama...

So mpaka Ukraine aje ajipange afikirie kuzirejesha Crimea na hizo Republic 2 watakuwa (Apo ndani ya hizo Republics sasa) washa piga hatua ndefu kujiimalisha na kwa kiasi kikubwa halitawezakana.

Nahisi ukiangalia target zote anazopiga utakubaliana na mie... Ni Military tu.
 

Turkey comments on US Patriot and F-35 plans​


Turkey has no plans to obtain the US-made Patriot missile system and will no longer seek to buy the F-35 fighter jet, considering the matter “closed” after Washington kicked Ankara out of the multi-national program to develop the craft in 2019, a top defense official said.
 
Na kuna Bom flan hv jana limetupwa na hao hao nationalist kwa Raia basi nikakaa BBC nikisubir walitangaze waaaaaapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiongozi wa Crimea Republic ni member wa Russian President Council.
Kwa maama hiyo tayari Crimea ipo ndani ya Russia Federation.
 
Waifungie tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apa napata kujua kwanini China Mainland hawa Tech Giants like Google na Meta hawaruhusiwi kbs...
 

Nuclear war is ‘within the realm of possibility’ – UN chief​

United Nations Secretary-General Antonio Guterres warned on Monday that an ongoing escalation of war in Ukraine ”whether by accident or design” will threaten the entire humanity. He further alarmed that the conflict may end up in the nuclear apocalypse.

“The prospect of nuclear conflict, once unthinkable, is now back within the realm of possibility,” Guterres said.
 
Sasa si apambane na NATO wanaotaka kuleta hayo madude?mbona anawamudu huyu Ukraine Ni kumuonea tu,hapo ndio kaishia kujiaibisha tu!maana Siku ya kwanza nilivyosikia anapiga Ukraine nilikuwa Kuna maajabu yatatokea kumbe Hana maajabu
Ndege wengi kwa jiwe Moja......
Hata ingepita miaka 1000, Russia angekuja deal tu na Neo nazis ( Banderas, nationalist).
Wakati ni sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…