kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Hamas a.k.a wazee wa maokoto.masaa 24 ayajafika tu?Bila kusahau Gaza City kugeuzwa kuwa vifusi 🤔
Haijachacha, Vyombo vya habari vya West ndo vimefanikiwa kukuhamisha attention yako GazaWazee wa humu mbona kimya? au ndo mshahamia kwenye kichapo kipya cha Gaza?
Mi naona vita hii imechacha, cha msingi mzee mzima aachane nayo maana inamdhalilisha - leo ni siku ya 600 ila bado anahangaika.
Mzee Putin angechutama tu, hii fedheha aliyoipata imempora hata ushawishi mkubwa kimataifa aliokuwa nao kabla ya Vita.Wazee wa humu mbona kimya? au ndo mshahamia kwenye kichapo kipya cha Gaza?
Mi naona vita hii imechacha, cha msingi mzee mzima aachane nayo maana inamdhalilisha - leo ni siku ya 600 ila bado anahangaika.
Hii nimeisikiliza but hii ni propaganda imetengenezwa kwa ustadi sana.
Zele anatembeza bakuli mpaka wadau wanamtafutia sabab ya kumtemaCollabo ya Hamas na Israel ndio ina hit kwa sasa na kwa muda mfupi tayari inaongoza kwa viewers wengi zaidi. Watu wengi wameacha kufuatilia hip hop ya Ukraine.
Ongeza sauti labda atasikiaPutin aondoe majeshi yake huko Ukraine, Vita viishe.
US says North Korea delivered 1,000 containers of equipment and munitions to Russia for Ukraine war
The White House said North Korea has delivered more than 1,000 containers of military equipment and munitions to Russia for its war in Ukraine.www.google.com
Ataendelea kuchukua maeneo soon tutachukua Odessa.tunarudisha maeneo yetu kwanza.Putin aondoe majeshi yake huko Ukraine, Vita viishe.
US says North Korea delivered 1,000 containers of equipment and munitions to Russia for Ukraine war
The White House said North Korea has delivered more than 1,000 containers of military equipment and munitions to Russia for its war in Ukraine.www.google.com
Heshima yako mkuuVagner sio watu,kazi Yao ni vita.
Tofauti na majeshi haya ya kawaida ambayo kazi Yao ni ulinzi.
Sijui niliandika wapi ila niliandika kwamba ecowas hawawezi kuingia vitani na Niger [emoji1183]Mwisho wa kunukuu.
Wasiwasi waongezeka, saa chache zikisalia kabla ya Ecowas kuchukua hatua za kijeshi https://bbc.in/3rSSAFk
Ngoja nieke kituo ila [emoji776] avdiivka tunapita nayo hivi ndugu yangu T14 Armata kaunta offensive imeleta matunda gani huko mpaka sasa[emoji722][emoji722][emoji722]In these minutes, a powerful shelling of enemy positions in Kupyansk and the region continues[emoji722][emoji722][emoji722]
Ingependeza zaidi kama NATO wangemuondoa Putin Ukraine,kama walivyomuondoa Sadam husein huko Kuwait.🤝🙏Putin aondoe majeshi yake huko Ukraine, Vita viishe.
US says North Korea delivered 1,000 containers of equipment and munitions to Russia for Ukraine war
The White House said North Korea has delivered more than 1,000 containers of military equipment and munitions to Russia for its war in Ukraine.www.google.com
NATO wamevuliwa nguo vibaya sana na Putin.tena sio NATO TU,Bali west wote.Mzee Putin angechutama tu, hii fedheha aliyoipata imempora hata ushawishi mkubwa kimataifa aliokuwa nao kabla ya Vita.