Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Punguza stress sijui ni kaka sijui ni Dada eishiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona wapi nimezungumza issue sa kivita mie, Umeona wapi nimezungumzia Issue za Drones au Vifaru apa???? Umeona wapi nimejikuta mwalim wa siasa apa...

Eti we T14 Armata kuna sehem umeona nazungumza au ata tu kujarib kuelezea dhana za kivita au Vita yenyewe? Huyu w wapi huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Punguza Ge* tu uje kistaarab... Hiyo mihemko yako hainipunguzii wala kuniongezea kitu mie...
 
Katika masaa 24 yaliyopita, majeshi ya Russia yamedungua na kuziangamiza drones 6 aina ya Bayraktar TB-2 zilizokuwa zinatumiwa na majeshi ya Ukraine. Drone hizi zile zilizonunuliwa toka Turkey, ambazo zimekuwa zikipigiwa upatu humu jamvini kuwa zinaangamiza vifaa vya Russia😆😆😆🤣😂


 
Mkuu Putin anapigika vibaya. Angalia ndani ya wiki 2 tu anaomba msaada wa vifaa china, wakati uo huo Belarus walianza kumpa support muda tu na Chechnya nao wamo wanamsaidia. Pale ni pus na mdomo kama sisi na Uganda au Kenya, Big super power kujimwambafai sana kumbe hamna kitu, bado siku 9 kumaliza mwezi lakini hata dalili za ushindi hakuna.

Anachowez putin ni kubomoa mji wote uwe flat yaan kuua watu, mbwa, nyau , lakini ikifika hatua ya mtaa mano to mano hamna kitu. Ndio kinachowashinda wangeiingia mitaani, wao wanataka wauzingite mji adui akose chakula maji, umeme aombe poo, sasa hilo halijatokea ndio mzee mzima putin anaadhirika sasa.hilo liko wazi halihitai Aljazeera Siku ya 21 ngoma bado.
Achana na western media mkuu, ukitaka habari reliable nenda aljazeeza na channel nyingine za asia.
 

Uyo jamaa utabishana nae utachoka, data zake anagoogle anakujibu wewe fatilia kukujibu anatumia more than 10mins anagoogle ndo anakujibu unapoteza muda wako mzee.
 
Wewe jamaa umeshoonekana una upande, pro russia wengi hamfutilii kitu inaitwa historical reality wengi mnaona Putin ana legitimacy ya kuivamia Ukraine. Matakataka yako unayotupa humu hayako balanced unajichosha tu , watu wanataka analysis
ha ha ha Mzee wa Hot News halafu anajifanyanga hana upande lakini 95% anatuletea habari za Upande wa Russia
 

Nyamizi ni dada
 
Ha ha ha acha kujifarij zelensky kawazalilisha nato. Dunia imeshuhudia udhaif na uwoga wa marekani mbele ya urusi ha ha ha ha hata mimi nimestuka kwa kweli ndio maana juzi iran imejipigia tu vikambi vya marekani
wewe jamaa huwa unatufunga kamba halafu unapiga kimya,weka taarifa mpya ya Sniper 🙂
 
Mkuu sasa unadhan usahihi wao unawasaidaje kuwanusuru na madai ama msimamo wa Putin, unadhani watashinda vita hii kwa huruma ya wamagharibi ambao wameonesha unafiki wa kiwango cha chuma?
 
The death toll from a missile strike in the center of Donetsk has risen to 21, said the head of the Donetsk People's Republic, Denis Pushilin.

According to him, one of the victims died.
 
Meya msaidizi wa Lviv, Andiry Moskalenko, ameiambia Aljazeera kuwa hakuna sehemu iliyosalama nchini Ukraine. Hakuna mkoa wowote wala mji wowote uliosalama dhidi ya mashambulizi ya Russia. Majeshi ya Russia yanashambulia kokote yanapotaka ktk nchi ya Ukraine.

Mwambieni ndugu meya msaidizi, mbona sie tuna taarifa tofauti na hizo?
  • Tunahadithiwa kuwa drones za Turkey zinailinda Ukraine dhidi ya mashambulizi ya Russia!
  • Pia tunahubiriwa kuwa nyie mnashinda vita, kwa kuuwa maelfu ya wanajeshi wa Russia!
Tuamini lipi sasa?


 
Usijipe sasa ukiranja wa kuwaongoza wengine jinsi ya kuchangia.Endelea kutushushia nondo zako zilizoshiba kutoka kwa Mr Google🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…