D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
👇🤔Umemtaja bwana vunjo nimekumbuka vidio zake za the sun, jamaa alikuwa na vitisho sana
ngoja tuone mobilization wakifika itakuaje na walivyo walevi
Lakini sina Shaka haya yote yanamtokea Urusi sababu ya kupenda kuzoazoa walevi na kuwapeleka front line .. Kuna reserve ya maelf ya askari wa ukraine wamepata mafunzo ya Hali ya juu kwa ajili ya counteroffensive ijayo
Disclaimer: Akaunti hii imedukuliwa
Putin Hana huo mda. Alikataa asiliwe kichwa na warusi. Shoga zake hao hao ndio watamlaNani atamla ? Au Putin ?
Huu msemo unamfaa sana huyo jamaa:@t-14 armata ni wale jamaa mkiwa mnapiga stori anaongea sana hadi mnasahau mlianzia wapi. Huwezi kuwa mtu huyo huyo unajua mambo ya kijeshi, huyo huyo unajua udaktari, kilimo, mahusiano. Huwezi kujua kila kitu na ukitaka kujua kila kitu ujue utakuwa failure kwenye maisha na always utakuwa wa kujitafuta ndo maana kuna professionalism. Unajua kila kitu hadi bosi anashindwa akulipe kama muhasibu, fundi wa magari ofisini au occupational safety and health officer kwenye eneo la kazi nk. Na shida anafungwa na mapenzi na chuki anapochambua mambo, hayuko rational kwenye baadhi ya mambo na ni hatari kama hili anaenda nalo hadi kwenye kujifunza.
You'll laugh at this, but some of our marines can't even swim."Hatari sana hii...
Ukraine war: Soldier tells BBC of front-line 'hell'
A Ukrainian soldier on the east side of the Dnipro river tells the BBC about life on the front line.www.google.com
Baadae itakuaje?Mobilization inaanza kumgeuka dikteta!
[emoji298][emoji298]The Russian state is censoring relatives of mobilized Russian personnel on social media for fear of their protests' possible negative effects on Vladimir Putin's still unannounced 2024 presidential campaign, the Institute for the Study of War reported in their daily assessment on Dec. 3.
ISW cited a post from BBC Russia describing a series of online bots with fake profiles accusing the relatives of mobilized Russian personnel in their "Way Home" Telegram channels of having connections to imprisoned opposition figure Alexei Navalny.
According to the BBC, the "Way Home" group issued a manifesto late last month demanding an end to the "indefinite" mobilization. The group has appealed to the Russian government for the release of relatives from military service and better treatment of Russian servicemen.
In response, the Russian government has reportedly made efforts to censor this group by prohibiting them from protesting publicly.
Russian dictator Vladimir Putin's presidential campaign is expected not to focus on the war in Ukraine. The ISW suggested that the relatives of mobilized personnel represent one of the greatest threats to the campaign.,[emoji298][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Leo umeyasaliti maneno yako [emoji1787][emoji3][emoji1787]Sijawahi amini counteroffensive isiyo na 3:1 kwa attacking army versus defending army kama majeshi hayo yana nguvu sawa.
Sasa kwa Ukraine na Urusi bado Urusi ndio ina advantage kwa population, number of combatants na weaponry hivyo hakuna uwezekano Ukraine ishinde labda kuwepo na uzembe wa hali ya juu kwa Urusi.
Hapa ni attrition mpaka mmoja achoke.
Mwanzoni hamkulijua hili [emoji3]Urusi bado ana 'advantage' ya man power...
Russia boosts size of armed forces by 170,000 troops
President Putin's decree takes number of Russian service personnel to 1.32 million amid continuing Ukraine war.www.google.com
Kwani walikatazwa kuzipelekaUrusi haina ubavu wa kupigana na Marekani, achana na NATO nzima. Hata China haiwezi pigwa na Urusi hii.
Na hivi kwani hujui maana ya msaada?
Kwahiyo kwakuwa Marekani inasaidia bajeti ya Tanzania kupitia USAID, Bill & Melinda Gates Foundation, World Vision na mashirika mengine basi tunasema na Marekani ni maskini. Sababu Tanzania inasaidiwa na Marekani ila bado ni maskini.
Hapa utakuja kusema kwakuwa Tanzania imeshindwa kuondokana na umaskini kwa misaada ya Marekani basi na Marekani nayo ni maskini.
Huwezi kutaja vita ya NATO bila air dominance, hapo ni kujadili uchumi wa Tanzania bila kuitaja Dar es Salaam.
Hapo Ukraine hamna Navy, NATO gani haitumii Navy vitani?
NATO gani haitumii aircraft carriers za Nimitz class, Ford class, Queen Elizabeth class, hakuna Charles de Gaulle, hakuna Cavour. Na bado hakuna amphibious ships kama Juan Carlos na Mistral.
NATO gani iko Ukraine wakati hamna submarines kama Virginia class, Los Angeles class, hakuna Barracuda class, Le Triomphat class, hakuna Astute wala Trafalgar.
NATO haina stealth fighters, haina bombers, tankers, airlifters. NATO nzima haina paratroopers?
Hayo yote nimetaja Ukraine haina na bado Russia anasuasua. Sasa imagine Russia hii ingekutana na hata Uturuki si hali ingekuwa mbaya zaidi.
Urusi ni jeshi la mtu na mtu, kila vita wanayoenda duniani huwa wanapoteza wanajeshi wengi. Kusema Urusi inapigana na NATO ni vichekesho. NATO hawawezi pigana na jeshi halijui hata kufanya SEAD na halijui kumiliki anga alafu likasalimika.
Yani msaada wa vigari 20 vya HIMARS vinavyowaliza ndio vinafanya mdai NATO iko Ukraine. Sasa Marekani ikileta HIMARS zake zaidi ya 420 zilizokuwepo kabla ya vita si mtasema mwisho wa dunia umefika. Silaha zote pale Ukraine sio hata 5% ya silaha za NATO.
Kwani Russia aliweka deadline yakushinda hii SMOKwani mkuu ni lini Ukraine alikuwa na nafasi ya kushinda. Tangu February 2022 mpaka sasa hivi November 2023 taja ni mwezi gani Ukraine alikuwa na chance ya kushinda vita.
Kinachotokea hapa sio ajabu, kilichotokea nyuma ndio ajabu Urusi nchi ya pili kwa uwezo wa kijeshi kushindwa kupigana na jirani unayevuka kwa miguu. Jirani ambaye jeshi lake ni dhaifu kuliko hata majirani zake Finland na Poland.
Kitu gani kwenye mlinganyo ni favourable kwa Ukraine tangu vita haijaanza? Si population size, sio idadi ya wanajeshi, sio uchumi, sio ukubwa wa jeshi.
Hakuna miujiza vitani, ni courage kwa Ukraine na uzembe kwa Urusi vita inaendelea mpaka sasa. Hii sio vita ya insurgents au magaidi, ilitakiwa Urusi iwe imeshinda muda mrefu kulingana na mlinganyo wao ulivyo.
Sasa kuchelewa kosa la Russia [emoji635] au kosa la naniMisaada iliyopata Ukraine mingi ilikuwa ya kuweza kujilinda tu hii ya kufanya offensive inakuja kwa kusuasua tu na kwa uchache.
Hizo himmars alizopewa zipo 20 tu, Atacms zimekuja kwa kuchelewa sana, vifaru pia vimekuja vichache tena kwa kuchelewa sana (tena havijafika hata 300+), kumbuka pia hairuhusiwi kutumia hizo silaha kushambulia ndani ya Urusi.
Ukraine imejitahidi mno mpaka sasa kwanza kuzuia Kyiv isianguke mwaka 2022 na mpaka sasa kufanya Vita iendelee.
Kwani walipoweka No fly zone kule Libya walikua vitani na libyaAnazo na anazitumia dhidi ya Ukraine ambayo haina hata Navy, na bado mnashangilia Urusi kuteseka na weak military.
Urusi ni wa kawaida, anapigana na asiyejiweza na bado anasuasua.
Marekani hayuko vitani na Urusi, hivyo hawezi kuweka no fly zone Ukraine. Usijitie ufahamu, kama mnaitaka sana US vitani kaivamie, US haijawahi vamia na mbwa yeyote ila inatoaga kichapo kikali sasa imagine ivamiwe na jeshi halijui air dominance wala combined arms.
Tulishataja performance ya ndege za Urusi dhidi ya za Marekani. Hakuna ndegevita ya Urusi iliwahi kuwa na performance kuliko ya Marekani. Kama ipo itaje.
Marekani ashinde vita ipi kwani kuna mwendawazimu anaweza ivamia? Hivi unadhani Marekani ni kama Urusi ambayo babantilie anajisikia anabeba wapiganaji wake wanaenda mji mkuu kutishia serikali na viongozi wa jeshi?
Hiyo Urusi pale Finland iliteseka, Poland ikalazimika iungane na Ujerumani bila hivyo ingeteseka, Japan iliipiga Urusi mpaka Marekani ikaja kuwapatanisha. WW1 Urusi ilipigwa na Ujerumani ambayo ilipigwa na Uingereza.