Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Illia Ponomarenko


@IAPonomarenko


Begging for Chinese food kits, trying to scrape up some Syrian mercenaries and Russian prison wardens to fight, losing high-ranking generals every other day… Russia is facing a full-fledged military disaster in Ukraine now.
 
Mzee tupe news kuna watu wanalipuka moyo wakiona hot news
 
Yes sifa ya mwanamke ni kunyonyesha,wewe pia ulinyonyeshwa na mama yako,dada zako wananyonyesha na kama una mke pia huwa ananyonyesha watoto wako,siyo dhambi kunyonyesha🙂
Kwani nimesema dhambi kunyonyesha rafik angu [emoji23][emoji23][emoji23] Hpana wala ni Vizuri kabisa na jambo la kupongezwa [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Pentagon hii hii ninayoijua Mimi?I smell fishy here...Kuna kaharufu hapa la propaganda
Dada yangu unaijua na pentagon!???. Kweli!!! au upo ofisi ya CDI hapo ngome?. Maana jeshini hata sisi huku watu wanaangaika kujua majirani wana nini,wako waling na lini,wapi na nani kaagiza silaha. Kwanini ili iweje,malengo yao Ni yapi je?! silaha hizo sisi Kama Tanzania zinaweza kuwa na madhara gani ikiwa jirani atakuanazo. Na je! tukiingia na jirani kwenye mzozo tunaweza vipi kujikinga na hizo silaha.

Kwa bmachache hayo uelewe kbsa kuwa Huko pentagonini wanachakata Kila inayoitwa taarifa kutoka field/taarifa za vyanzo vya ndani na nje/ masatelaiti na Kila kitu.
 
Unaipima ubora wa elimu kwa mijadala!!!?. Wasomi wa bongo bwana
 
Maadamu umeleta hoja fikirishi na hasa zikiigusa Russia,sidhani kama utapa majibu hapa.Ngoja na mimi niungane na wewe kusubiri kama pana Pro Russia yoyote atakaediriki kupangua hii hoja.
 

Ukraine hali ni mbaya ndugu zangu week hii nalala porini hofu muda wote. Nimekwenda mpakani nimerudishwa nimepewa bunduki. Askari wanakufa kama kuku mnayoona kwenye media sio kweli kiukweli tunachezea kichapo hatari.

Rais amekimbia nchi muda sana.
 
Kwani nimesema dhambi kunyonyesha rafik angu [emoji23][emoji23][emoji23] Hpana wala ni Vizuri kabisa na jambo la kupongezwa [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Haya rudi sasa kwa mjadala,habari ya gender ya member hapa JF haina mashiko,au ulikuwa hulijui hilo?
 

Mzee unataka kulia?
 

Jifunze kuandika vzr afu uje tena kwenye huu uzi.
 
Haya rudi sasa kwa mjadala,habari ya gender ya member hapa JF haina mashiko,au ulikuwa hulijui hilo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa tuendelee kumpiga Mrusi ameshaishiwa uko... Jana tu katuma maombi kwa Mama Samia amuazime makomando wakamsaidie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af mama kamtosa aiiibike vzur mshenzi yule [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]

Vp nikizungumza ka hvo s ndo utafrah au sio [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…