Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mungu akupe salama, akuokoe kwenye balaa hilo na akurejeshe huku nyumbani salama salimina
[emoji23][emoji23][emoji23] ila apo umemwelewa alichokimaanisha? Nahisi kama alikuwa anatafsir mazungumzo ya mtu kisha mwishoni akamaliza na hyo comment ya Rais kakimbia [emoji848]
 
Tumehama kwenye vita tumefika huku sasa,Pro Russia mbona kama mnapanic sana🙂
Puttin anatakiwa amalize hii kitu mapema. Isipoisha ndani ya wiki mbili zijazo utashuhudia mambo ya ajabu sana.
 
Hongera! Mchango unaoonyesha kina cha fikra zako! Endelea.

Angalau sifurahi wakati nchi 2 (Ukraine na Urusi) zinaharibika, na watu wengi -hadi kwetu- wataona ongezeko la ugumu wa maisha kutokana na mfumuko wa bei za vitu.
Hyo paragraph ya pili nakuunga mguu ka si mkono... [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Asante sana mkuu... Waeleze hawa wanywa maji ya bendera ya USA waelewe
 
Nuclear detterence ndiyo inamlinda huyo kichaa. Bila nuklia Putin hana jeuri ya kuvamia nchi huru.
kuhusu kichaa cha Putin sikubali. Kihusu tishio la nyuklia nakubali.
Bila hii picha ya jeshi lake ni dhaifu, hakuna sababu kwa NATO kumwogopa tena.
Ila: Nyuklia.
 
Nuclear weapons in Russian military doctrine

According to a Russian military doctrine stated in 2010, nuclear weapons could be used by Russia "in response to the use of nuclear and other types of weapons of mass destruction against it or its allies, and also in case of aggression against Russia with the use of conventional weapons when the very existence of the state is threatened".
 
Serikali ya Ukraine imnetangaza eti wakulimna waliokamata kifaru cha Kirusi hawahitaji kulipa kodi kwa mali mpya. (ingawa sijui wafanye nini nacho?? Kifaru kinaweza kuvuta plau lakini kitaharibu shamba na kugharamia mafuta mno; labda kufuga kuku ndani yake?)
 
Nyie Nyie mpo mnafurahia taarifa za Pentagon,je tufuate lipi?wakiisifia Urusi mnasema kweli wakitoa taarifa nyingine mnakimbilia kusema Ni propaganda.
Mi nafuatilia CNN, ABC, FOX, ALJAZEERA, BBC na wengine wengi ila nlichogundua njingi zinarusha propaganda, mfano juzi walisema kyv ina ulinzi na haiwezi shambuliwa, ila tumeona kilichotokea. Navy wamekimbia na kuacha meli zote za attack na patrol zipo chini ya mrusi lakini habari kama hii huwezi isikia kwenye Western media,
 
Mzee sasa unataka na wewe kuninyima uhuru wa kutoa michango yangu humu JF!?
Hebu weka opinions zako kuhusu RS-28 Sarmat. Hii kitu kila mmoja anaiogopa.
Silaha ni kitu kingine na ulinzi ni kitu kingine..Tumekua tukishabikia silaha mpaka kuna watu wanatamani zipigwe huko Ukrain nyuklia!! ni ajabu sana.. Mara nyingi hizo nchi kubwa mifumo yoa ya ulinzi ni SIRI kubwa, hayo yanayowekwa hadharani ni machache sana..
Mfano:
USA wakati wanatengeneza F117 na kuifanyia majaribio hakuna aliyejua mpaka vita vya Iraq ilipotumia..
Hivyohivyo kwa B2 Spirit.
Kudhani kwamba nchi moja itapiga kombora nchi nyingine kwa urahisi ni nchi za dunia ya tatu, hao super power ni habari ingine. USA wanaimulika dunia kutoka angani kila sekunde.
USA wana mitambo ya angani 125+
URUSi wana 70+
CHINA wana 68+
Maandalizi yoyote ya kijeshi au mifumo ya makombora makubwa (ICBM) Yanafatiliwa kila sekunde ipitayo kutoka angani.
Bahati mbaya sana tunasahau kwamba USA wana Submarine 24 zilizobeba vichwa 14-20 vya nyuklia vinavyoweza kupiga mahali popote duniani zikiwa zipo maeneo tofauti duniani. Kadhalika Urusi wana Sub za nyuklia pia.
 
KUMEKUCHAAAA!Nyie wa Z,dada yenu Marina kavamia kituo Cha habari huko Urusi anasema amechoka kuzalisha habari za propaganda.msiniulize picha siwezi kuapload Kama vipi kachungulie kwa Millard Ayo ka upload......Nasikia Putin kasema achinjweeee
 
Cheki Alaska na Canada ni 80 km mpaka na USSR
Yah sahihi ila huo ni umbali wa Mpaka wa "Ardhi ya Russia ilipokomea" mpaka "ardhi ya Alaska ilipo"

Mfano umbali kutoka Tanzania bara kwenda Zanzibar ni KM115 hivi ka sikosei... (Utanirekebisha apo kama nimeteleza) lakin huo ni umbali kutoka Dar Azam Ferry to Unguja. Sio wa Dodoma ambayo ni TZ bara pia to Zanzibar ambako ni zaidi ya KM 560... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na apa kwe hzo number ka nimeteleza utanisahihisha vile vile.

So kutoka Moscow mpaka hapo alipoelezea nazan ni sahihi.
 
Umemuona Yule mwandishi wa Russia Marina aliyevamia katikati ya habari?kasema amechoka na kuandaa propaganda...unalizungumziaje hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…