Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Anha ka hazijaonekana basi ngoja nizirudie zote

View attachment 2151762View attachment 2151763View attachment 2151764View attachment 2151766View attachment 2151767View attachment 2151765View attachment 2151769View attachment 2151768
 
Kwa taarifa yako Marekani hazalishi mafuta, anayo ya reserve tu, Russia ni taifa kubwa ndio nchi ya Kwanza kutengeneza Roketi, ndio yenye Teknologia ya kwake, Russia ni ya 2 kwa uzalishaji wa mafuta, ya 1 kwa uzalishaji wa ngano.
Ona huyu nshomile gani sijui. Marekani hazalishi mafuta gani? Anazalisha kila mafuta hadi ya kujipaka na mgunduzi wa petroleum jelly ni Mmarekani.

Kuna watu humu wanadhani kuzalisha mafuta ni lazima uuze nje. Marekani ana viwanda vingi, anazalisha mafuta chini ya uwezo wake kisha ananunua mengine nje na wakati huo ana underground reserve. Wakileta migogoro anatumia reserve yake wakati huo anafufua production capacity yake na kufikia maximum production.

Marekani anatumia zaidi ya mapipa milioni 19 ya mafuta kwa siku, wakati huo ndiye anazalisha mafuta mengi zaidi kwa siku kuliko Russia wala Saudi Arabia. Anaagiza mengine nje kufidia production.

Hizo rockets za Russia kwa sasa zinazidiwa hata na SpaceX ya Elon Musk. Si muda mrefu Roscosmos itakosa mikataba ya kimataifa kutumia hizo rockets zake kina Soyuz na Angara. Kwanza zina gharama kubwa ya kukodisha wakati SpaceX yuko na reusable rockets zitafanya cost iwe ndogo
 
Mzee ukiwa unajadiliana na mimi unatakiwa uwe open minded. Sasa hiyo janes.com unajua anaye imilk.
Nakupa taarifa chache tu kuhusu hiyo janes.com ili uanze kuniogopa kidogo
View attachment 2151712
Unataka kusema anayemiliki Janes ni nani? Mtaje hapa kama yupo. Sasa unataka kubishana na Janes wewe kwenye mambo ya ulinzi unafanya nini, kinachofuata sasa utabishana na Stockholm International Peace Research Institute (SIPRI).

Janes imeanza kutoa machapisho miaka ya 1800 mwishoni. Inaaminika zaidi duniani, ni wewe hapo individual unanipangana na taasisi. Baadae kwenye uchumi utabishana na Bloomberg au Forbes, bora hiyo Bloomberg utasingizia mmiliki yupo ni American politician
 
Kingine nitafanya hivo kama ulivosema kwe utafiti kuhusu hao Neo nazi kuenea Ulaya nikipata nitakuja tujadili... pamoja na hiyo ya Russia.

Ila duh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wanasiasa ni konyo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] kingine zaidi naona kuna mitizamo ya watu wenginr kuhusu mgogoro ka hutojali tembelea hiyo link ndani kuna taarifa utazikuta.


Zaidi ka wafaham pia unaeza niongezea nondo kichwani kuhusu Hunter Biden naona anahusishwa pia na yule former mayor wa jiji la New York... Ingia kwe link apo chini Telegram utakuta hizo data...


Moja ya maneno ake nayacopy na kupaste utakayakuta huko huko anasema kwamba "The Killer Nato Press Calling For Another Murder! Ukraine never existed as a country, only as a money laundering machine to the Clinton-Biden Cartell! Where will they wash their dirty money now? Another War? The Covid-War against its own people? Seems so.. Please let our people in peace!! [emoji631]"

Naamin kuna fikra zingine utaendelea kuzipata... [emoji1666]

Binafs apa nipo na chuki zangu tu kwa NATO na USA wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingawa ukiwazodo hao NATO na USA unaonekana Pro Russia [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Anyway shukran kwa maelezo yako vile vile
 
Mkuu samahani kwani KYIV si kuna MTAMBO WA KUZUIA MAKOMBORA?? Mbona yanapia na kulipua nyumba shida nini??
 
ASANTE MKUU.......Kuna watu wabishi mpaka watabisha jinsia zao...
 
Kwani sisi tunao kula vyepe huku tunafata Macdonald si tunanunua viazi tunakaanga wenyewe chips yai chips,kuku,ng'ombe hata wao watafanya ivyo hivyo vikwazo ni anasa tu hamna athari kubwa
 
Umeandika vizuri japo ninayo mashaka pro Vladimir Putin watakuelewa.
 
Kuchangamsha damu ni lazima usipochangamsha utakua hasira hasira kila wakati
 
Sawasawa..
 
Mkuu samahani kwani KYIV si kuna MTAMBO WA KUZUIA MAKOMBORA?? Mbona yanapia na kulipua nyumba shida nini??
Wanazo zile S 300 tulizokuwa tunazisifia kuwa hakuna kombora kukatiza. Tayari imeshajulikana uwezo wake. Tunasubiri siku kombara zitue Moscow tujue pia ukweli wa hizo S 400 zinazopambwa sana. NINA SHAKA UTURUKI ALIYENUNUA ATAOMBA CHENJI.
Vita hii hakika Marekani inapata faida sana kujua uhalisia wa silaha za Russia
 
Kwahiyo hizo S 300 Ukraine alinunua kutoka kwa Urusi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…