Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii vita inaenda kuharibu soko la Silaha la Urusi, ilianzia mgogoro wa Armenia ambapo Silaha za Urusi zilionyesha ufanisi zero zidi ya Silaha za Marekani.
Hahahah wakati huo mmarekeani anashangazwa na uwezo wa silaha za Mrusi
 
Sijui kama naweza kupata maneno sahihi. Lakini natumaini kwamba baada ya kuzungumza mbele ya Serikali na Bunge la Kanada katika nchi hii ya kindugu, hakuna mtu atakaye kuwa na shaka: Urusi inataka kuharibu kila kitu kinachofanya Ukrainians Ukrainians - maisha yetu ya baadaye, tabia yetu, mapenzi yetu. Lakini hakuna kitakachotokea. Zelensky said
 
Mpendwa kiwango cha habari zako kuhusu Dunia kinalingana na kiwango cha habari zako kuhusu bomu kubwa. Nato haiko Ukraine, haikujaribu kufika Ukraine ikakataa maombi ya Ukraine kujiunga mara kadhaa.
Ukraine kwa hiari yake iliachana na silaha zake za nyuklia- Urusi iliahidi kimkataba kutambua na kulinda mipaka ya Ukraine mwaka 1994.
Marekani haikukubali makombora nyuklia kutoka Urusi kufika Kuba. (hakuna mpango wa NATO kufanya vile Ukraine)
Baadaye Marekani ilivumilia Kuba ya kikomunisti mpakani mwake.
Urusi haiko tayri kutimiza ahadi yake ya kimkataba kwa Ukraine,
inavamia nchi ambayo haikuishambulia
inaua hovyo watu wake.
China haiungi mkono uvamizi wa Ukraine. Serikaliy ake inasema hai ya kila nchi iheshimiwe.
Unapata wapi sehemu kubwa ya binadamu?????
 
so how hii itakua na impact? sion kama wana shida ya kwend rusia
 
Mzee upo hapa kujibu comments zangu!?
Mbona unajihangaisha sana. Tumia uhuru wako na mimi niache na uhuru wangu.
Mwisho kabisa mimi siyo mpendwa wako.

Naongea kwa lugha rahisi tu.
 
Kama kweli ukuona basi kweli ni mtoto sana. Libya kule ilikuwa inalenga misitu, Iraq inalenga bahari na Afghanistan je??? [emoji848] Basi kweli wewe ni mtoto. Vita hii ya kistaarabu sana. Inaruhusu watu watoke free zone
 
Mkuu samahani kwani KYIV si kuna MTAMBO WA KUZUIA MAKOMBORA?? Mbona yanapia na kulipua nyumba shida nini??
S-300 ziko intact bado, zile ni long range na Russia walifeli kuziharibu. Hazihangaiki na helicopters au Su-25 ambazo ni low flying. Russia walikuwa eti wanatumia Su-34 wakati haiko reinforced ukipiga MANPAD hata iipate kidogo bado ndege unaipoteza. Ingebidi tuulizane S-300 za Ukraine ziko wapi kama tungeona Il-76 au Su-30 za Russia ziko medium au high altitude.

Meanwhile, Russia wanapoteza air defence systems kama Tor na Pantsir. Ndio mambo ya vita sishangai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…