Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanakera sana wanasiasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ikitokea mkaenda vitani mkashinda wanakapongeza uko ofisini utasikia "Makongoro Shujaa kashinda vita vile"
Sio wa kuwachekea Hawa wa kuitwa wanasiasa,haki wanaweza kuleta majanga kwa taifa mkabaki ham elewi
 
Kijana mwenye utu na utulivu.
 
Kwa Najua Pro Russia au Ukraine yeyote hapendezwi na taarifa inayoshusha credibility ya upande anaoupenda. Lakini Mwenye akili timamu tayari ameshabaini kinachokwenda kutokea. Yes, Ukraine inazidi kuharibika lakini ANGUKO LA RUSSIA NA HESHIMA YAKE IMEKARIBIA.
Najua haya maneno ni kero kwa wenzangu humu lakini tuupende Ukweli na tusilazimishe Mioyo kuukataa ukweli.
 
Haya Makombora ya Islander c Armenia alipewa na Urusi ili aipige Azerbaijan lkn yalitunguliwa na air defenses za Israel.

Hiyo NI habari toka chombo cha habari cha Urusi, The Moscow Times.
 
Ficha ujinga wako mkuu...usikariri kuwa S-300 inaweza kulipua kila kombora.

Naam, Marekani anaelewa sasa uimara wa silaha za Russia. Wanaintelijensia wa Marekani wameduazwa na silaha ngeni za Russia ambazo zimewekewa vionjo vipya vinavyoziwezesha kujam radar za air defense systems na pia kuyachanganya makombora yatayotumwa na adui kuyadungua.

======

 
Right on the money
 
Haya Makombora ya Islander c Armenia alipewa na Urusi ili aipige Azerbaijan lkn yalitunguliwa na air defenses za Israel.

Hiyo NI habari toka chombo cha habari cha Urusi, The Moscow Times.View attachment 2152218View attachment 2152219

Acha kukariri Mkuu...

Ungeelewa hata kichwa cha habari ktk screenshot niliyoiweka (na nakuwekea tena), usingeleta huo utopolo wako.

Wataalamu wa silaha wa Marekani wao wenyewe wamestaajabu makombora haya yalivyo kwa sasa (kwa maana ni tofauti na walivyokuwa wakiyafahamu huko nyuma, na wamesema yana vionjo vipya na vigeni kwao vilivyoongezwa), halafu wewe waleta mambo ya kukariri kariri kuwa unayajua yalishawahi kutumika Armenia!

Armenia alipata makombora ya Iskandar toka Russia mwaka 2015, leo tupo 2022. Na umeambiwa na wataalamu wa Marekani kuwa makombora ya sasa ni mageni. Halafu wewe wakurupuka wataka kufananisha version ya sasa na hiyo ya miaka iliyopita!

Yaani S-300 leo ishindwe kuyatarget na kuyadungua makombora haya (version ya sasa), halafu eti utegemee Barak-8 (hiyo uliyoutaja) ndio iweze kuyadungua🤭🤭🤭🤭

Kama ulikuwa hujui S-300 kwa ubora duniani inashika nafasi ya 3, halafu hiyo Barak-8 inashika nafasi ya 9 (angalia hapo chini)

=======



 
Kwa ubora inashika nafasi ya tatu ilipewa na Nani?! Hizo S300 si ndo zilikua zinapigwa kwenye Vita ya Armenia na Azerbaijan. Kila kukicha zilikua zinalipuliwa na drones za Israeli na Turkey ambazo Azerbaijan walinunua.
View attachment 2152259
 
Ile Vita iliwashangaza wengi jinsi ambayo silaha za west zilivyokua superior dhidi ya za Urusi. Maana air defenses nying za Urusi ziliharibiwa ikiwemo hiyo S300 na pantsir.
Tena Russia ashukuru kwenye huu mgogoro Israel ameamua kua neutral hakutoa silaha Kwa Ukraine lakini angetoa zile drones zake sasa hv tungekua tunaongea habari nyingine sidhani Kama Urusi ingekamata hata mji mmoja huko Ukraine. Israel kwenye drone technology ni fundi aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…