Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

No body wants war in Ukraine. Zelensky is Good Politicians but to give people weapons is dumbest decision ever made.
In the village of Kazachi near Kherson, people voluntarily hand over their accumulated weapons to the armed forces of the Russian Federation
Galip SV Liwagu

Source: watch_media
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna nyakati unalazimika kuchagua kati ya maamuzi sahihi au maamuzi rahisi.

Ilikuwa ni rahisi sana kwa Ukraine kuchagua kufuata matakwa ya Urusi na kupangiwa nn cha kufanya na raisi wa nchi nyingine ili majengo yao yasiharibike lakini wakaamua tofauti bila kujali majengo yataharibika au cardless atawaona wao ni loosers.

Vikao vipo si sababu ya kuokoa majengo yasiendelee kuwa magofu ila inatafutwa namna ya upatanishi bila kuaffect uhuru wa UKRAINE. Otherwise kama wangethamini majengo kuliko uhuru jeshi la Ukraine lingesalimu tu amri na kusujudu UISHI MILELE MFALME PUTTIN.
 
Haya bishana na hawa Armenia wamiliki WA hizo S300 ambao wenyewe wamekiri zimeharibiwa lkn ww mtanzania unabisha kwamba sio kweli
Armenia released photos of destroyed S-300 by TB2 dron
Mkuu umeshindwa kuonesha S-300 kwenye video yako uliyoleta mwenyewe kwa mikono yako?! Maajabu yaliyoje haya🀭🀭🀭🀭

Halafu baada ya kushindwa kuonesha S-300 ndio umerukia chanzo kingineπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜… Habari yako uliyorukia sasa inaripotiwa na global defense corp. Sasa, kwa akili yako hao global defense corp ndio waArmenia (Armenia Ministry of Defense) wamiliki wa S-300 wanaokiri kuharibiwa mfumo wao huo?!

Umeshindwa hata kuwa na maarifa ya kujua habari unayoisoma umewekewa na nani?! Sasa ndio utaweza kuhakiki taarifa kujua ya kweli na ya Uongo?

Nakuwekea link ya website ya Wizara yaUlinzi ya Armenia, ambayo unadai wao wamekiri kuharibiwa S-300. Tafuta habari hiyo kwenye website hiyo kisha uweke hapa jamvini

Υ€Υ‘Υ΅Υ―Υ‘Υ―Υ‘ΥΆ Τ²Υ‘ΥΆΥ‘Υ―

Kwa kukusaidia tu shirika la habari la AFP liliishafanya utafiti kuhakiki madai ya Azerbaijan kuwa mwaka 2020 waliharibu S-300 ya Armenia kwa kutumia drones za Turkey. AFP wakaona na kukanusha kuwa madai hayo sio ya kweli, ni ya uongo. Picha wanazotumia Azerbaijan hazina uhusiano wowote na vita ya Armenia/Azebaijan ya 2020. Picha hizo zimekuwepo mtandaoni toka 2016 (kabla ya vita hiyo) zikiripoti kuhusu air defense system iliyoharibika nchini Russia baada ya accident.




.

 
The People's Militia of the DPR publishes new footage of the evening shelling of Makeevka by the Armed Forces of Ukraine.

According to the latest data, when fragments of the intercepted Tochka-U missile fell, about ten people were injured, three of them were children.







 
The Russian Embassy has launched a hotline for Russians who have been harassed and attacked in the US: +1 (202) 412-92-28 or usemb_hotline @ inbox. ru.
 
I invite all friends of Ukraine to visit Kyiv. It can be dangerous here. Because our sky is not yet closed to Russian missiles and planes. The decision to strengthen our arsenal in the air has not yet been made. We have not received planes. But... You know for sure that the eyes of all the people of the world are now focused on our capital, on Ukrainians. So everyone who is with us will receive gratitude. Not only ours, but also of other nations of the world. Zelensky said
 
Hizo S300 si ndo zilikua zinapigwa kwenye Vita ya Armenia na Azerbaijan. Kila kukicha zilikua zinalipuliwa na drones za Israeli na Turkey
Shirika la habari la AFP liliishafanya utafiti kuhakiki madai ya Azerbaijan kuwa mwaka 2020 waliharibu S-300 ya Armenia kwa kutumia drones za Turkey. AFP wakathibitisha kuwa madai hayo sio ya kweli, ni ya uongo.

Picha wanazotumia Azerbaijan hazina uhusiano wowote na vita ya Armenia/Azebaijan ya 2020. Picha hizo zimekuwepo mtandaoni toka 2016 (kabla ya vita hiyo) zikiripoti kuhusu air defense system iliyoharibika nchini Russia baada ya accident.

========






 
Ukraine imekuwa ni kaburi la viongozi waandamizi wa jeshi la Urusi πŸ€”
Major General mwingine wa Urusi Oleg Mityaev ,ameuwawa Ukraine!View attachment 2152418
Propaganda bwana. ...inaelekea hata sajenti mmoja wa Ukraine hajauawa...wanaokufa kwa upande wa Ukraine ni raia tu na hasa watoto, wanawake na wazee...duh.
 
Huo mji ulishatekwa ni kitambo bado wilaya zake mbili tatu
 
Hii ya kukata tamaa imesemwa wapi kwenye hiyo post?. Kilichozungumzwa ni jambo dhahiri, wakishindwa kuafikiana vita inaendelea.
 
huyo jamaa afai hata kuwa baba wa familia ukitikiswa kidogo tu unakimbia familia yako kisa unaogopa kupigwa mbele ya mkeo
pambana kiume πŸ˜‚πŸ˜‚ waswahili wanasema kufa kijerumani na tai shingoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…