Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kanawapa silaha af kanakaa ofisin [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais wa Ukraine, ze Comedian Zelensky, awa mdogo kama Piriton; ni kuhusu msimamo wake kuwa Ukraine ina haki ya kujiunga NATO, hata kama Russia haipendi hilo.

Baada ya kichapo cha mbwa koko, Zelensky akiri kuwa Ukraine lazima ikubaliane na uhalisia kuwa haitojiunga tena na NATO, moja ya takwa la msingi la Putin lililomfanya Putin aivamie Ukraine kijeshi (akubaliana na takwa la kwanza la Russia)

Sasa si angekubali toka mwanzo, akaepusha vifo vya maelfu ya waUkraine pamoja na uharibifu mkubwa wa mikoa yote ya Ukraine vilivyotokana na vita hivi.

====



Kumbukizi

 
[emoji1258][emoji1255][emoji635] American mercenary belonging to the -FOG- group (Forward Observations Group) confirms on instagram that FOG instructors have been killed in the Russian missile attack that happened 2 days ago -targeting a training camp belonging to foreign legion-.



[emoji1258][emoji1255][emoji635] Mamluki wa Kimarekani wa kikundi cha -FOG- (Forward Observations Group) anathibitisha kwenye instagram kwamba wakufunzi wa FOG wameuawa katika shambulio la kombora la Urusi lililotokea siku 2 zilizopita - kulenga kambi ya mafunzo ya jeshi la kigeni-.
 
huyo jamaa afai hata kuwa baba wa familia ukitikiswa kidogo tu unakimbia familia yako kisa unaogopa kupigwa mbele ya mkeo
pambana kiume 😂😂 waswahili wanasema kufa kijerumani na tai shingoni
Unapokuwa na uwoga uliopitiliza utatumika na wenye nguvu kwa mtindo wowote waupendao.

Kama ushawahi kupitia ajira, Huko maofisini hujawahi kukutana na wale Yes sir?. Kila atakachoambiwa na boss wake yeye ni Yes sir, No problem sir, I will do sir, I will go sir, I can do sir. Kuhofia kuharibu kibarua inamfanya achague jibu jepesi la yes sir hata kama halitaki.
 
So ubishi wake umesaidia wananchi wake?? After all those bombs sasa anaenda kumtawala nani?? Makaburi?? Magofu??
Kabla ya kubishana na kutunishiana msuli na mtu yeyote jipime kama unaweza, aliyeshindwa hawezi kujisifia alipambana.
Kwanza hakuna kaburi la mjinga, UKRAINE ingeamua kama walivyo SWEDEN au FINLAND kwamba hawahitaji kuwa upande wowote ingeleta shida gani??
Huwa najiuliza mara nyingi sana, mnavyompa kichwa eti akomae, akomae na nani URUSI? NATO wamekaa pembeni yeye hajiulizi, unagawa Bunduki kwa raia then wakiuawa unasema Raia wameuawa au wapiganaji??
HAKUNA KABURI LA MJINGA.
 
Ukraine wanapigana vita wanavyojua watapigwa
Inatokea mara nyingi tu katika maisha esp kama wewe ni mtafuta utajiri, Kuna wakati unalazimika uchague kati ya what is right and what is easy.

Ukraine waliweka kwenye sahani wachague kati ya Puttin au Kifo. Kumchagua Puttin ilikuwa maamuzi rahisi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…