NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Wewe ni tahira kila nchi ina maamuzi yakeKuna nyakati unalazimika kuchagua kati ya maamuzi sahihi au maamuzi rahisi.
Ilikuwa ni rahisi sana kwa Ukraine kuchagua kufuata matakwa ya Urusi na kupangiwa nn cha kufanya na raisi wa nchi nyingine ili majengo yao yasiharibike lakini wakaamua tofauti bila kujali majengo yataharibika au cardless atawaona wao ni loosers.
Vikao vipo si sababu ya kuokoa majengo yasiendelee kuwa magofu ila inatafutwa namna ya upatanishi bila kuaffect uhuru wa UKRAINE. Otherwise kama wangethamini majengo kuliko uhuru jeshi la Ukraine lingesalimu tu amri na kusujudu UISHI MILELE MFALME PUTTIN.
Kanuni kuu ya uhuru, ni kwamba uhuru wako usihatarishe uhuru wa mwenzako.Unajua wewe unaipenda Urusi na unasapoti maamuzi yake, mapenzi yako yanakufanya unasahu kuwa Ukraine hawajaivamia Urusi, wao ndo wamevamiwa kwa sababu ambazo Urusi anaziona ni sahihi ila kwa Ukraine sio sahihi na wakaamua kuwa tutakufa tukisimamia maamuzi yetu.
Suala la raia wake kulalamika halitakiwi kukushangaza, wamevamiwa kwao, wanashambuliwa lazima walie, lazima walalamike ila si lazima wachague kumsikiliza anayewashambulia na wafuate matakwa yake.
Tsar, Satan the father of all bomb [emoji378] yamelala hayajaamshwaYale makombora hatari ambayo mifumo ya ulinzi wa marekani iliopo mpakani mwa poland na ukraine ilishindwa kuya detect. Teyari china na india wameanza kuyaagizia . Wakuu sometime vita ni biashara
Mzee wa selfieKanawapa silaha af kanakaa ofisin [emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kusema Washambulie kila wakionacho?? Are you sane??Unachekesha hata kama habari ni za kusikitisha.
Unafikiri jeshi la Kirusi wamefanya nini hadi sasa? Wamesharusha yale waliyo nayo.
Kwa hiyo watazamaji wengi huona Urusi inakaribia kuishia akiba zake.
Basi tutaona kama hii ni kweli.
Ila ni dhahihiri jeshi la anga lao ni dhaifu kinyume ya matarajio yote, hadi sasa walitumia zaidi makombora . Wakiweza kuleta sasa mizinga karibu na Kyiv watatumia mizinga.
Ila kadri wanavyozidi kupiga watu raia (si hao wanaoshika silaha - hao wazee na watoto wadogo na wakina mama kwenye nyumba ao), basi wanajenga chuki.
Chuki itazaa mabaya zaidi.
Hata wakifaulu kuteka Kiev - wanaweza kuona ugaidi au mashambulio kutoka mafichoni baadaye. Hawataona raha.
Kuna tatizo la kuamini kuwa kiingereza ni utaalam. Utaambiwa huu ni mswaki, KITAALAM UNAITWA TOOTHBRUSH.Wabongo tweets yoyote ya Kingereza ata zilizo andikwa na mapopoma wenzao mna screenshoot tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unahisi URUSI ni ZIMBABWE sio?? Unahisi hakuwa na vikwazo hapo nyuma??Freedom is not free mkuu. Unazungumzia Georgia, vp kuhusu USSR kukimbia Afganistan baada ya strong resistance ya mujahideen kwa kusaidiwa na ISI,CIA and Saudi Arabia? mbona huzungumzii USSR kukimbia resistance kutoka kwa wananchi wa finland? Russia will never ever win this war, ever, na ndiyo maana wameshaanza kuondoa baadhi ya masharti magumu katika mazungumzo na ukraine. Russia akiendelea na hii trap ya ukraine aliyowekewa na west,lazima ataingia kwenye economic collapse kama kilichotokea kwenye collapse ya USSR baada ya long war na mujahideen. Ukraine wana historia ya mapambano, ni spirit waliyonayo for years tokea WWII and am not suprised. Kuikalia na kuitawala nchi yenye watu 40 milion plus na ambao wana spirit ya resistance ni ngumu mnooo- unless russia anataka permanent casulties kwa wanajeshi wake kwa vita isiyoisha.
Halafu kama Urusi anapambana na Ukraine ambayo anga lake halijalindwa Bado ana hangaika na kupata hasara,je,akipambana na nchi yenye mifumo thabiti ya ulinzi wa anga au NATO Hali yake itakuwaje?Unachekesha hata kama habari ni za kusikitisha.
Unafikiri jeshi la Kirusi wamefanya nini hadi sasa? Wamesharusha yale waliyo nayo.
Kwa hiyo watazamaji wengi huona Urusi inakaribia kuishia akiba zake.
Basi tutaona kama hii ni kweli.
Ila ni dhahihiri jeshi la anga lao ni dhaifu kinyume ya matarajio yote, hadi sasa walitumia zaidi makombora . Wakiweza kuleta sasa mizinga karibu na Kyiv watatumia mizinga.
Ila kadri wanavyozidi kupiga watu raia (si hao wanaoshika silaha - hao wazee na watoto wadogo na wakina mama kwenye nyumba ao), basi wanajenga chuki.
Chuki itazaa mabaya zaidi.
Hata wakifaulu kuteka Kiev - wanaweza kuona ugaidi au mashambulio kutoka mafichoni baadaye. Hawataona raha.
Ndio kila nchi ina maamuzi yake. Mm si taahira ila wewe umeahindwa kusoma ukaelewa hoja imelenga nini kisha ubongo wako ukaamua kuniweka kwenye kundi la taahira.
Hakuna kitu Hapo,wanalinda tu ndoto za Putin,a warmonger 😠Wanaifia nchi kwa faida ya vizazi vijavyo.
russia ana roho nzuri sana, yaaani anakupiga makombora na msaada wa kibinadamu anakupa“We have eight people in the family. We have children. I have a daughter, I also have a brother, he has three children, and we also have a grandmother. Thanks!"
Residents of the Dergachevsky district of the Kharkiv region thank the Russian military who delivered humanitarian aid.
Video: Ministry of Defense of the Russian Federation. Galip SV Liwagu
View attachment 2152557
Tena ana roho nzuri sana huyo Russia,amewaachia Ukraine vifaru vingi sana na Ukraine anavitumia kumchapia mwenyewe.russia ana roho nzuri sana, yaaani anakupiga makombora na msaada wa kibinadamu anakupa
Wewe nani amekuambia, Urusi anahangika na anga la UKRAINE? Au unaposia wafunge anga unaelewa kuna milango inafungwa??Halafu kama Urusi anapambana na Ukraine ambayo anga lake halijalindwa Bado ana hangaika na kupata hasara,je,akipambana na nchi yenye mifumo thabiti ya ulinzi wa anga au NATO Hali yake itakuwaje?
Nina mashaka makubwa na uwezo wa Jeshi wa Urusi [emoji848]