Ungekuwa wewe ungechagua nini? madhara ya uchumi au umuache adui yako akupige upotee kwenye uso wa dunia?kuna mtu nilikuwa namwambia kuhusu hii vita Urusi atapata madhara makubwa ya kiuchumi kawekwa kwa mtego yeye hajui tu
Chanzo chao Kikuu ni Mabishano kuhusu Mwanasiasa wa Tanzania Freeman Mbowe kama ni Gaidi au siyo Gaidi.Kwa mtu yeyote anaeweza kunisaidia nn chanzo cha vita inayoendelea kati ya Ukraine na Russia, chimbuko lake hasa limeanzia wapi?
Kwa hiyo huyo russia keshakuza uchumi wake kiasi ambacho ilichobakia ni ugunduzi wa silaa tu π± za kujilinda? tu hana tena haja ya kuendelea kukuza uchumi kwa kuwa huko alishamaliza π€£ππ halafu wewe ndo unajiona umeenda shule mwenyewe tena unajiita EconometricianJamani shule mnaenda kusoma nini?,hata ukuze uchumi ufikia mahala kila raia anatembelea VXR mwisho wa siku utautumia Uchumi wako katika ugunduzi wa mambo mablimbali na mwisho kabisa ni ugunduzi wa silaa za kujilinda au utanunua hii ni vicious cycle brother.
Utajenga uchumi utajengeka but at the maendeleo hayo hayo yatakupelekea kwenye destruction na IPO siku utaanza mmoja.
Na ndege ziliongaangushwa ni Su-35 planes, two Su-25 planes, a Su-27 plane and a ΠΡG-29.Russia hadi sasa siku ya 3 hajawa na clear dominance over Ukraine airspace.Kuna Ukranian pilot warusi wanamuita "The Ghost of Kyiv"hadi sasa ameshadungua jets 4 za Russia kwenye dogfight..
Unaweza ku google "the ghost of Kyiv"utaona habari zake.
Kwa mtu yeyote anaeweza kunisaidia nn chanzo cha vita inayoendelea kati ya Ukraine na Russia, chimbuko lake hasa limeanzia wapi?
kunasiraha zingine zinaua mpaka sisimizi bado hazijatumika kuepusha madhara makubwa kwa raia wa kawaida MUNGU atuepushe na majangaNgoja tusubiri tuone itakuwaje. Kumbe nguvu ya Urusi si kama tulivyoaminishwa
Pia Putin washaanza kuwa na wasiwasi na afya ya akili yake..hayuko kama miaka 8 iliyopita.kuna mtu nilikuwa namwambia kuhusu hii vita Urusi atapata madhara makubwa ya kiuchumi kawekwa kwa mtego yeye hajui tu
Marekani wajanja hawata weka combat troops, urusi ata pata madhara ya kiuchumi makubw sanaPia Putin washaanza kuwa na wasiwasi na afya ya akili yake..hayuko kama miaka 8 iliyopita.
Chanzo chao Kikuu ni Mabishano kuhusu Mwanasiasa wa Tanzania Freeman Mbowe kama ni Gaidi au siyo Gaidi.
Chukulia mambo mengine kwa wepesi tu.Utapata shambulio la moyo bure.ππππJAMAAANI kama umeshidwa kuchangia si unaacha tu mmmmh mmezoea kwenye maguroup yenu ya fecebook unaleta ujinga huku
Omba msamaha mkuu umekosea sanaChanzo chao Kikuu ni Mabishano kuhusu Mwanasiasa wa Tanzania Freeman Mbowe kama ni Gaidi au siyo Gaidi.
Ili jamaa jinga sana[emoji1787]Chukulia mambo mengine kwa wepesi tu.Utapata shambulio la moyo bure.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marekani wajanja hawata weka combat troops, urusi ata pata madhara ya kiuchumi makubw sana
Jitu zima halafu halina akiliChanzo chao Kikuu ni Mabishano kuhusu Mwanasiasa wa Tanzania Freeman Mbowe kama ni Gaidi au siyo Gaidi.
Sawa.Ila usitegemee yale tu uyatakayo.Wengine tumezaliwa ni "machizi-fresh"ππππIli jamaa jinga sana[emoji1787]
Unashangaa hayo, mbona hushangai Israel akisaidiwa na mmarekani wamegonga mwamba kwa palestrinaKwahiyo kwasasa Nchi ndogo ya Ukraine inapambana na nchi 3;
1.Urusi
2.Belarus
3.Chechnya.
Hii ni Aibu kubwa Sana. Ukraine kumbe Wanajeshi imara kweli kweli.