Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Kwanza tambua muundo wa kisiasa wa Ukraine kipindi hicho ni tofauti na sasa.Ndugu mpendwa, ukiwa mtaalamu hapa:
sema ni kweli Urusi iliahidi kuheshimu mipaka ya Ukraine na kutunza usalama wake katika mkataba wa 1994 au la???
Ni sawa kusema kwamba uvamizi wa sasa unavunja mkataba na ahadi hiyo?
Nafikiria Russia waendelee kukaza zaidi ili msumeno wa vikwazo ukate kote koteIn Germany, an immediate boycott of Russian gas and oil could cause massive poverty and unemployment.
This was stated by the Minister of Economics and Energy of Germany, Robert Habeck, reports The Guardian. The country's government is working to phase out Russian energy supplies by the end of the year, he added.
Earlier it was reported that due to the jump in gas prices, some enterprises in France began to stop.
Galip SV Liwagu View attachment 2151275
Nasikitika kuwa wewe ndio hujaelewa, hadi sasa Zelensky keshasalimu amri kuwa Ukraine haitajiunga na NATO, sasa kama wewe hadi sasa hujaelewa hilo itakuwa ni uvivu wako wa kufuatilia habari.Yani umeshindwa kumwelewa kabisa Tsh ,amekujibu ili kukuridhisha kwa kile ukitakacho kukisikia,rudi tena umsome vizuri comment yake😀
Boss kuna msemo mmoja wa kukubaliana kutokukubaliana unatumikaga kama mmeshindwa kukubaliana.😃😃 Inabidi utumikeNasikitika kuwa wewe ndio hujaelewa, hadi sasa Zelensky keshasalimu amri kuwa Ukraine haitajiunga na NATO, sasa kama wewe hadi sasa hujaelewa hilo itakuwa ni uvivu wako wa kufuatilia habari.
We jidanganye, nchi tayari ina wakimbizi karibu mil 5 sasa, mji mmoja tu watu wamekufa zaidi ya Elfu 20. Afu unakuja hapa unadai wanapata nguvu.Ukrainians are very strategically...
Nadhani itakuwa ni makombora ya mbali cause Kuna video naangalia namna nitaishare, zaidi ya Helicopters 10 nimeona zimeanguka au kutelekezwa na magari mengi tu, Pia aliye record ni Askari wa Ukraine kumaanisha wameshachukua Umiliki wake.
Nadhani kadri muda unavozidi kwenda Russia anachoka kijeshi atatamani sana makubaliano wakati Ukraine anapata moto wa mapambano.
Hivi vikwazo na hii vita itafanya Russia wajiulize mara mbili juu ya uwezo kulingana na Wamagharibi.
Hasara ni maisha ila sio kurebuild hiyo nchi...We jidanganye, nchi tayari ina wakimbizi karibu mil 5 sasa, mji mmoja tu watu wamekufa zaidi ya Elfu 20. Afu unakuja hapa unadai wanapata nguvu.
Nchi imefumuliwa kila upande, KYIV inashambuliwa na hata watu hawatembei afu unakuja hapa unajipa nguvu. Yaan hao UKRAINE hawatamani hiyo vita, au we ukisikia vikao vya usuluhishi unaelewa ngoma zenu za kizaramo??
UKRAINE wanajilaumu mud huu, miji yao imevugwa, sasa KYIV inaharibiwa, wewe angalia hizo taarifa kwa usahihi.
Ukijitoa ufahamu kama hivi hutoelewa.
Baba yenu amesha salimu amri amesha kubaliana na matakwa ya Urusi huko nchi yake ikiwa imesha haribika vibaya sana.Hasara ni maisha ila sio kurebuild hiyo nchi...
Tena Ukraine itajengwa na kurejea iliyokuwa hata kabla ya sisi hatujamaliza Arena yetu
Kama uliona mwanzo majeshi ya ukraiane waliteka wanajeshi wachache wa urusi then wakawa wanawaonesha, wale wote ni vijana wadogo 'kuruta' waliokua na waliotoka mafunzoni. Mfano hapa Tz tuchukue JKT na mgambo waliohitimu JKT.Mkuu nmeona bwana Yericko anasema wanajeshi wa Russia wansopogana Ukraine siyo wale wenyewe, siyo jeshi analotegemea Russia, wewe waonaje, ni kweli?
Hakunaga free lunch!Hasara ni maisha ila sio kurebuild hiyo nchi...
Tena Ukraine itajengwa na kurejea iliyokuwa hata kabla ya sisi hatujamaliza Arena yetu
Vitani Huwa hatuanzi kupeleka silaha Bora kabisa.Mkuu nmeona bwana Yericko anasema wanajeshi wa Russia wansopogana Ukraine siyo wale wenyewe, siyo jeshi analotegemea Russia, wewe waonaje, ni kweli?
Waliziharibu baada ya kuzitumia kuwauwa wa Syria?The SBU, with the support of Western countries, is preparing a provocation with the use of toxic substances.
This is reported by the Ministry of Defense of the Russian Federation.
The purpose of the provocation is to accuse Russia of using chemical weapons against the population of Ukraine.
At the same time, Russia, unlike the United States, has long since destroyed all stockpiles of chemical weapons in accordance with international treaties
Hakunaga free lunch!Hasara ni maisha ila sio kurebuild hiyo nchi...
Tena Ukraine itajengwa na kurejea iliyokuwa hata kabla ya sisi hatujamaliza Arena yetu
Hoja nzuri sana hii.We unadhani kwann MAREKANI asiungane na wenzake wa AMERIKA YA KUSINI na KASKAZINI kuunda UMOJA wao wa KUJIHAMI??