Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Sababu kubwa ya watu kuwekeza nje ya nchi ni kukimbia sera mbovu na ubabe wa Serikali iliyopo madarakani.Hivi kwa mwekezaji ambaye hapatani na Putin anaweza kufanya biashara ndani ya Urusi?
Hata hapa Tz wakati wa mwendazake kuna watu walihamishia biashara zao Rwanda, Congo DRC, etc, sababu zilikuwa ni hizi hizi.
We unadhani kwann MAREKANI asiungane na wenzake wa AMERIKA YA KUSINI na KASKAZINI kuunda UMOJA wao wa KUJIHAMI??
Yale maandamano ya maelfu ya Warusi wakisema Stop War Putin nazo ni Propaganda za Wamagharibi?Hili nakupinga 100% Putin ndo rais anayependwa na warussi na wanamuunga mkono. Putin na matajir wa russia ni marafiki sana achana na west propaganda mzee. Putin ndo rais wa dunia kwa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema Marekani naye muoga saana Ukraine inafanywa magofu yeye kabakiza mdomo tuKwanini amekimbilia ulaya? Ulaya nao wameshikwa makalio na US kwakweli
Ukiangalia karibia kila siku tangu vita ianze, USA ana inject fedha Ukraine.Hakunaga free lunch!
Kila aina ya msaada ukianzia silaha za sasa na misaada ya kibinadam, lazima ilipwe. Zelensky alisema hakuna hata senti ya bure.
Jumlisha msaada wa baadae ktk kujenga makazi na miundombinu.
Nchi yaenda kufukarika zaidi. Hata kabla ya vita ilikuwa ni fukara. Ila ufukara utazidi zaidi.
UNDP imefanya makisio kuwa asilimia 90 ya waUkraine (raia 90 kati ya kila raia 100) watakuwa mafukara zaidi na wenye hali mbaya mno kiuchumi kama vita hivi vitarefuka zaidi
Aaah ndo Nini Sasa,wangemuacha TU hukohuko angani atajua mwenyewe jinsi ya kurudi.Warusi hawana roho mbaya.View attachment 2153154
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Mantiki kali!Kwanza tambua muundo wa kisiasa wa Ukraine kipindi hicho ni tofauti na sasa.
Viongozi wa wakati huo ni tofauti na sasa viongozi wa sasa wametawaliwa na fikra za kimagharibi.
Hivi kwann usijiulize ni kwann Urusi imeamua kuivamia Ukraine wakati huu na si kipindi cha nyuma? ni kwasababu ziongozi wa wakati huo hawa kutishia maslahi ya Urusi.
Mwalimu Jk nyerere hakuwa wapumbavu kuamua Tz ifuate siasa zisizo egemea upande wowote kwa sababu ana jua madhara ya kujiweka mwenye makundi ya siasa za mataifa makubwa.
Ukicheza na maslahi ya wenye nguvu usitegemee kubaki salama hata kidogo.
Hata katika maisha yako kawaida ya kila siku kama hujitakii mema wewe na familia yako jaribu kucheza na wenye nguvu.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
anaemfunga nyoka kamba mlangoni kwako ili asicheze mbali pia ni adui yakoMantiki kali!
1. baba yako ananunua nyumba kutoka jirani, kuna mkataba, malipo, mkataba ni rasmi. Miaka 20 wewe umerithi kutoka mzee, sasa jirani anaingia na kubomoa nyumba lako kwa sababu hakupendi, au anajisikia unamsemea au nini. Haki kabisa machoni pako?
2. Ukraine haikutisha Urusi. Ukiona ilitisha, lete mfano halisi ! (hujaleta, ulidai tu bila msingi)
NATO yote inatetemeka wewe upo buza kwa mparange unasema Russia wepesi. Hii inaitwa kukosa exposure.Ukraine rescued Melitopol Mayor Ivan Fedorov, kidnapped by Russian occupiers! It was a special operation, he is safe now, Deputy Head of the Presidential Office Kyrylo Tymoshenko said in a statement. "We don't leave our people in danger!" Tymoshenko said!
Ukweli ni kuwa hawa Urusi ni wepesi saana tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na hii Vita inawaumbua zaidi Warusi yaani ni mdebwedo kabisa Sasa wangekutana na mziki wa Poland si ndio balaa
Jamani humu JF Kuna uongo mwingi Sana mpaka kinyaa...tangu lini Czechslovakia ilikuwa sehemu ya USSR??Zama za mawe hizo mzee, Czechslovakia unayoisema ilikuwa ndani ya USSR.
Vita unazozitaja wewe ni katika kuijenga USSR na ukumbuke USSR imevunjika rasmi 1990s.
Unaenda WIKIPEDIA unakusanya vitu hata huelewi mzee.
Watu wanauza bidhaa sasa[emoji298]️Biden announces sending ‘longer range’ anti-aircraft weapons to Ukraine
The president says new additional $800mn US weapons aid is ‘unprecedented.'
Vita ilipoanza baada ya siku tatu nikacomment humu kwamba hili jeshi la Russia likikutana na Poland au Finland tutaongea lugha nyingine. Ukraine ni weak mbele ya hao na kwa vile wako NATO hata standard weapons zao ziko advanced kuliko Ukraine. Na training huwa wanashirikianaUkrainians are very strategically...
Nadhani itakuwa ni makombora ya mbali cause Kuna video naangalia namna nitaishare, zaidi ya Helicopters 10 nimeona zimeanguka au kutelekezwa na magari mengi tu, Pia aliye record ni Askari wa Ukraine kumaanisha wameshachukua Umiliki wake.
Nadhani kadri muda unavozidi kwenda Russia anachoka kijeshi atatamani sana makubaliano wakati Ukraine anapata moto wa mapambano.
Hivi vikwazo na hii vita itafanya Russia wajiulize mara mbili juu ya uwezo kulingana na Wamagharibi.
Yes hapa tunaongea lugha moja. Inatakiwa iwepo makundi yenye nguvu zinazoelekea kulingana ila wasiongee lugha moja kirahisi. Issue kama hii ya wazungu wote kuongea lugha moja ilisababisha wagawane bara la Afrika pale Otto von Bismarck alipowakutanisha alafu eti Marekani na mwingine nasahau sijui ni Norway wakawa observers. Wangekuwa hawapatani wasingekubaliana na wangepigania ukouko.Yes na hapo ndipo mzozo ulipo, USA yeye amepora maeneo mengi lkn kwakuwa ana nguvu inaonekana kawaida. Ufaransa hadi leo anatawala maeneo mengi nje ya mipaka yake kama hapo MAYOTTE nk.
Huu mzozo natamani sana izaliwe block nyingine mpya kabisa yaan URUSI, CHINA, INDIA nk dhidi ya NATO.
Kama hakutakuwa na Block nyingine amini nakwambia ukoloni unakuja kujirudia upya.