Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Labda kwa sababu Assad , kwa msaada wa Urusi, pamoja na Daesh na wagaidi walifaulu kuharibu Syria imekuwa nchi ya njaa tupu? Na watu (kama hawakutembea kwa miguu hadi Ujerumani) waliobaki wanachukua kila nafasi kujipatia senti?Akili zingine za mkopo kweli... Sasa kama walizitumia kuwaua Syria why hao hao wa'Syria wajitolee kuungana na Jeshi la Urusi ndani ya Ukraine?
Wote unaowataja si wageni kwenye kupata kipigo kutoka kwa Warusi.wanajua Warusi ni watu wa aina gani.Ukraine rescued Melitopol Mayor Ivan Fedorov, kidnapped by Russian occupiers! It was a special operation, he is safe now, Deputy Head of the Presidential Office Kyrylo Tymoshenko said in a statement. "We don't leave our people in danger!" Tymoshenko said!
Ukweli ni kuwa hawa Urusi ni wepesi saana tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na hii Vita inawaumbua zaidi Warusi yaani ni mdebwedo kabisa Sasa wangekutana na mziki wa Poland si ndio balaa
Mzee si tulikubaliana hamna kutumia miguu, mbn sasa unapiga mateke tena kama van damme!? Taratibu bwana utauaTotal Post 813,
Likes received 613....
Avarage Like per post 0.75...
This show how yo "nonsenses" being ignored kila mda unapojarib kujitutumua...
Vijana wadogo! Huyu alizaliwa 1990!Most likely, these servicemen are dead, and the Russian command refuses to take their bodies
wapo hadi wa 1996 wako frontline na picha zao zipo humu pitia comments zangu za nyuma now ni marehemuVijana wadogo! Huyu alizaliwa 1990!
Ni aibu kweli. Putin anaharibu nchi mbili.wapo hadi wa 1996 wako frontline na picha zao zipo humu pitia comments zangu za nyuma now ni marehemu
Alexander Tarkhanov, born in 2000 from the village of Menderskoye, Kurgan region. I was able to finish only 9 classes, tried myself in different professions, but decided to end my life in the ranks of the occupiers in Ukraine. He did itVijana wadogo! Huyu alizaliwa 1990!
"Labda" means huna uhakika na unachokizungumza...Labda kwa sababu Assad , kwa msaada wa Urusi, pamoja na Daesh na wagaidi walifaulu kuharibu Syria imekuwa nchi ya njaa tupu? Na watu (kama hawakutembea kwa miguu hadi Ujerumani) waliobaki wanachukua kila nafasi kujipatia senti?
Na Warusi wanawapa senti kwa sababu wameshapoteza askari wa kutosha, pamoja na hayo ni nafuu kisiasa kupata maiti za mamluki kuliko maiti za wananchi na raia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ah mwisho unaamua kumzoom vizuri tu uelewe reputation yake kwanza [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] usije jikuta unaua Mende kwa Rungu.Mzee si tulikubaliana hamna kutumia miguu, mbn sasa unapiga mateke tena kama van damme!? Taratibu bwana utaua
[emoji1787][emoji12]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Who cares...!?Putin is officially declared a war criminal [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2153090
Historia imekupita kushoto yaani kwa jinsi ulivyo mweupe yakupasa upate course ndefu sana ya masuala ya historiaKaka samahani, history book yako kutoka wapi??
1) Ukraine haina silaha za kushambulia nchi kama Urusi, kinyume walikabidhi kwa hiari yao silaha za nyuklia kwa Urusi (iliyoahidi kuheshimu na kutunza mipaka ya Ukraine daima)
2. Je kati ya mipaka ya Urusi ni nchi ngapi za NATO? Mipaka ya Rusi inagusana kwenye 6 % za urefu wake na nchi za NATO. (kama Urusi isingechukua ardhi ya Finland na Ujerumani, ingekuwa sehemu ndogo zaidi; ni hapa tu KArelia inagusana kidogo na Norwei na Kaliningrag inapogusana na Poland na Lithuania, tzoite mbili hazikuw maeneo ya Kirusi kabla ya 1945
3. Vita za Urusi dhidi ya nchi nyingine:
a) Urusi imepanuka na kujenga milki ya koloni ambazo ziko nyingi hadi leo (ila ajabu Waafrika wengi hawaelewi): Siberia yoote ilivamiwa na kuchukuliwa kama makoloni ya Urusi katika karne zilizopita;
Nchi zote za Asia ya Kati (ambazo zimepata uhuru mwaka 1991) zilikuwa koloni za Urusi tangu karne ya 19; nchi za Kaukazi (Azerbaijan, Georgia, Chechnia, Armenia, Cherkesia) zilivamiwa katika karne ya 19 kwa damu nyingi;
1939 Urusi ilivamia Poland (pamoja na Ujerumani) na Finland;
1940 ilivamia Estonia, Latvia na Lithuania
1953 ilituma majeshi kukandamiza mapinduzi katika Ujerumani Mashariki
1956 ilituma jeshi kukandamiza uhuru wa Hungaria
1968 ilituma jeshi kukandamiza uhurui wa Chekoslovakia
1994/96 na 1999/2009 ilipiga vita kukomesha uhuru wa Chechnya
Si ajabu majirani wengi wana mashaka kuhusu Urusi na ahadi zake.