Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Vipi mmesharuhisiwa na marekani na NATO kutumia long range?Mkuu,unaishi sayari gani.., Ukraine ameshamkung'uta urusi huku akimnyang'anya na kulikalia kimabavu eneo la urusi lenye ukubwa unaokaribiana na mkoa wa dareslam
Nashangaa wamarekani wanaomsapot huyu jamaa Wana mentality ya namna gani! ., sometimes fikra zetu Huwa hazina utofauti sana zile za watu tunaowaona wameendelea ,kule pia Kuna mbumbumbu tu kama waliokuwa wakimsapoti mwendazake hapa bongo!==================
Trump akirudi Whitehouse itakuwa ushindi kwa Putin.
Hapana mkuu, lakini drones zinazozalishwa na Ukraine zinaleta kilio kikubwa kwa super power zaidi ya hizo long range missiles!Vipi mmesharuhisiwa na marekani na NATO kutumia long range?
Dah!Tutajie udhalimu wao hizo nchi ulizotaja!?
Na sisi tukutajie udhalimu wa NATO.
Tuongee facts tuache ushabiki na udananda.
Wa unaonaje?Daah, wewe kweli ni mtoto wa shule! Hivi kwako wewe
mataifa ya upinde ndio Wastaarabu?!
Warusi wangekuwa na akili wasingeongozwa na mtu mmoja zaidi miaka 40! Wana tofauti gani na Uganda ya Museveni na Rwanda ya Kagame au Zimbabwe ya Mugabe? Ahahahahaha!!Nadhani Watu Wengi mnadhani Urusi ni kama Afrika na kwamba wale wanaoiongoza Urusi ni hamnazo kabisaa kama huku!!!
Eleweni wale akina Putin, Antony Siluanov ,Lavrov, Shoigu na wengineo wana akili nyingi sana hakuna Kilaza pale wanajua na wana mipango wala usifikirie kulinda Mipaka ya nchi kubwa kama ile ni kazi Ndogo Nchi ile Tanzania inaingia mara 19 ni kubwa kweli sio mchezo mana mnaongea tu haya mambo hamyajui wao wanajua zaidi na Wana Nguvu kweli kweli leo hii Ukraine hamna nchi pale ni magofu tu umeme hamna na Dola inaparaganyika sasa nyie mnaosema Urusi itaanguka nawashangaa HAMJUI MENGI...
Ahahahahaha!!!Tupe takwimu za watu kuhamia mataifa mbali mbali kusaporti madai yako.
Wanao utofauti mkubwa sana.Warusi wangekuwa na akili wasingeongozwa na mtu mmoja zaidi miaka 40! Wana tofauti gani na Uganda ya Museveni na Rwanda ya Kagame au Zimbabwe ya Mugabe? Ahahahahaha!!
Hana jibu la kukupa.Tupe takwimu za watu kuhamia mataifa mbali mbali kusaporti madai yako.
Russia has estimated number of 12 million immigrants while USA has estimated number of 46.5 million immigrants.Tupe takwimu za watu kuhamia mataifa mbali mbali kusaporti madai yako.
*Iraq ilikuaje kabla haijavamiwa?Huo unaoita uharibifu ni kutetea demokrasia kote duniani ndio lengo kuu la USA, kwahyo anapotokea kiongozi dicteta kama Putin au Kim lazima waadabishwe ipasavyo
Mbona hata Ujerumani iliongozwa na Angela Makel miaka nenda rudi???Warusi wangekuwa na akili wasingeongozwa na mtu mmoja zaidi miaka 40! Wana tofauti gani na Uganda ya Museveni na Rwanda ya Kagame au Zimbabwe ya Mugabe? Ahahahahaha!!
Huyo utamuweza na hilo fuvu lake!?Mbona hata Ujerumani iliongozwa na Angela Makel miaka nenda rudi???
Ahahahahaha! Marekani ilikua sana kiuchumi wakati wa Bill Clinton na baadae Barack Obama, lakini halikuwa kigezo Cha kuwafanya waendelee kutawala. Huu ndio unaitwa ustaarabu. Unamnh'ang'ania mtu kisa kaleta maendeleo. Akifa? Ahahahahaha!Wanao utofauti mkubwa sana.
Russia ni taifa ambalo limeonesha kukomaa kiuchumi na kijeshi kipindi ilichoongozwa na Vladimir Putin.
Rwanda,Uganda, Zimbabwe ni mataifa masikini miongoni mwa mataifa masikini duniani yakiwa na biased development.
Je kuna mfanano hapo!?
Angel Markel aliongoza miaka mingapi? Na Putin ana miaka mingapi?Mbona hata Ujerumani iliongozwa na Angela Makel miaka nenda rudi???
Wacha nikuache maanaa heheheAhahahahaha! Marekani ilikua sana kiuchumi wakati wa Bill Clinton na baadae Barack Obama, lakini halikuwa kigezo Cha kuwafanya waendelee kutawala. Huu ndio unaitwa ustaarabu. Unamnh'ang'ania mtu kisa kaleta maendeleo. Akifa? Ahahahahaha!
Ahahahahaha! Mtu asiejua maana ya ustaarabu ni ngumu kuwa na mijadala jadidi (sijui kama ni msamiati sahihi! Ahahahahaha). Hata Russia, Uchina na Korea Kaskazini mijadala hairuhusiwi! Ahahahahaha!!!Wacha nikuache maanaa hehehe
Wahamiaji walioko ndani ya Urusi wengi ni kutoka Asia ya kati na Ulaya mashariki, wakati huo wahamiaji wengi walioko Marekani ni kutoka American ya latin.Russia has estimated number of 12 million immigrants while USA has estimated number of 46.5 million immigrants.
Kwa hao wa Russia kuna immigrants kama milioni 5.5 ambao wamekimbia vita vya Ukraine! Ahahahahaha!!!
Je, unajua immigrants wa Marekani wanatoka wapi? Ahahahahaha!!!