LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Peter Stano said: The new threats from the President of the Russian Federation regarding the use of nuclear weapons against non-nuclear countries are further proof of his irresponsible behavior and will not change the European Union's position regarding continued support for Ukraine. Putin is showing his true colors to the whole world, especially during the UN General Assembly week..."
 
Nashangaa wamarekani wanaomsapot huyu jamaa Wana mentality ya namna gani! ., sometimes fikra zetu Huwa hazina utofauti sana zile za watu tunaowaona wameendelea ,kule pia Kuna mbumbumbu tu kama waliokuwa wakimsapoti mwendazake hapa bongo!
 
Nadhani Watu Wengi mnadhani Urusi ni kama Afrika na kwamba wale wanaoiongoza Urusi ni hamnazo kabisaa kama huku!!!

Eleweni wale akina Putin, Antony Siluanov ,Lavrov, Shoigu na wengineo wana akili nyingi sana hakuna Kilaza pale wanajua na wana mipango wala usifikirie kulinda Mipaka ya nchi kubwa kama ile ni kazi Ndogo Nchi ile Tanzania inaingia mara 19 ni kubwa kweli sio mchezo mana mnaongea tu haya mambo hamyajui wao wanajua zaidi na Wana Nguvu kweli kweli leo hii Ukraine hamna nchi pale ni magofu tu umeme hamna na Dola inaparaganyika sasa nyie mnaosema Urusi itaanguka nawashangaa HAMJUI MENGI...
Warusi wangekuwa na akili wasingeongozwa na mtu mmoja zaidi miaka 40! Wana tofauti gani na Uganda ya Museveni na Rwanda ya Kagame au Zimbabwe ya Mugabe? Ahahahahaha!!
 
Warusi wangekuwa na akili wasingeongozwa na mtu mmoja zaidi miaka 40! Wana tofauti gani na Uganda ya Museveni na Rwanda ya Kagame au Zimbabwe ya Mugabe? Ahahahahaha!!
Wanao utofauti mkubwa sana.
Russia ni taifa ambalo limeonesha kukomaa kiuchumi na kijeshi kipindi ilichoongozwa na Vladimir Putin.
Rwanda,Uganda, Zimbabwe ni mataifa masikini miongoni mwa mataifa masikini duniani yakiwa na biased development.
Je kuna mfanano hapo!?
 
Tupe takwimu za watu kuhamia mataifa mbali mbali kusaporti madai yako.
Russia has estimated number of 12 million immigrants while USA has estimated number of 46.5 million immigrants.

Kwa hao wa Russia kuna immigrants kama milioni 5.5 ambao wamekimbia vita vya Ukraine! Ahahahahaha!!!

Je, unajua immigrants wa Marekani wanatoka wapi? Ahahahahaha!!!
 
Huo unaoita uharibifu ni kutetea demokrasia kote duniani ndio lengo kuu la USA, kwahyo anapotokea kiongozi dicteta kama Putin au Kim lazima waadabishwe ipasavyo
*Iraq ilikuaje kabla haijavamiwa?
*Syria ilikuaje kabla haijavamiwa?
*Libya ilikuaje kabla haijavamiwa?
*Venezuela ilikuaje kabla haijaingiliwa kisiasa?
Mkuu muda mwingine ACHA KUROPOKA kama hauna mantiki nyamaza.
 
Wanao utofauti mkubwa sana.
Russia ni taifa ambalo limeonesha kukomaa kiuchumi na kijeshi kipindi ilichoongozwa na Vladimir Putin.
Rwanda,Uganda, Zimbabwe ni mataifa masikini miongoni mwa mataifa masikini duniani yakiwa na biased development.
Je kuna mfanano hapo!?
Ahahahahaha! Marekani ilikua sana kiuchumi wakati wa Bill Clinton na baadae Barack Obama, lakini halikuwa kigezo Cha kuwafanya waendelee kutawala. Huu ndio unaitwa ustaarabu. Unamnh'ang'ania mtu kisa kaleta maendeleo. Akifa? Ahahahahaha!
 
Wacha nikuache maanaa hehehe
 
Wacha nikuache maanaa hehehe
Ahahahahaha! Mtu asiejua maana ya ustaarabu ni ngumu kuwa na mijadala jadidi (sijui kama ni msamiati sahihi! Ahahahahaha). Hata Russia, Uchina na Korea Kaskazini mijadala hairuhusiwi! Ahahahahaha!!!
 
Russia has estimated number of 12 million immigrants while USA has estimated number of 46.5 million immigrants.

Kwa hao wa Russia kuna immigrants kama milioni 5.5 ambao wamekimbia vita vya Ukraine! Ahahahahaha!!!

Je, unajua immigrants wa Marekani wanatoka wapi? Ahahahahaha!!!
Wahamiaji walioko ndani ya Urusi wengi ni kutoka Asia ya kati na Ulaya mashariki, wakati huo wahamiaji wengi walioko Marekani ni kutoka American ya latin.
Alafu hapa duniani hakuna taifa lolote lisilo kuwa na wahamiaji.
 
Back
Top Bottom