Nadhani Watu Wengi mnadhani Urusi ni kama Afrika na kwamba wale wanaoiongoza Urusi ni hamnazo kabisaa kama huku!!!
Eleweni wale akina Putin, Antony Siluanov ,Lavrov, Shoigu na wengineo wana akili nyingi sana hakuna Kilaza pale wanajua na wana mipango wala usifikirie kulinda Mipaka ya nchi kubwa kama ile ni kazi Ndogo Nchi ile Tanzania inaingia mara 19 ni kubwa kweli sio mchezo mana mnaongea tu haya mambo hamyajui wao wanajua zaidi na Wana Nguvu kweli kweli leo hii Ukraine hamna nchi pale ni magofu tu umeme hamna na Dola inaparaganyika sasa nyie mnaosema Urusi itaanguka nawashangaa HAMJUI MENGI...