Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimeeleza hapo juu. Dalili za mwanzo za either Alzheimer's au Parkinson's, sijui which is which. Hayo magonjwa Rais wa Marekani akiwa nayo anajiuzuru, wenye nayo huwa hawatabiriki
Oooooh kumbe anao,Kama Kuna mgombea mmoja hapa TANZANIA 2015 akashambuliwa Sana na Mange kupitia huo ugonjwa..dah Sasa asije lipua ma nuclear huyu
 
Ha haaaaaaa haaaaaaa Ila kawabana vizuri Sana dogo...haniangushi kabisa Zele
 
Hii vita yataka kuielewa khasa inahusu nini, nani wanapigana na Russia na kwanini NATO wanaangalia tu, huku Marekani ndo wakihangaika.

Wapiganaji wanoipigania Ukraine wengi si raia wa Ukraine bali ni watu walochukuliwa kutoka nchi za ..... na ..... kisha kupelekwa Ukraine.

Raia wengi wa Ukraine ndo walokimbia kwenda nchi zingine.

Taarifa za kijasusi zadokeza kuwa miezi kadhaa nyuma makundi na makundi ya wapiganaji kutoka nchi za (kapuni ) na (kapuni) walisafirishwa hadi Ukraine na kuwekwa katika kambi ambazo Russia leo hii ndo anazidungua moja baada ya ingine.

Hivyo uamuzi wa Putin kuivamia Ukraine haukuchukuliwa kwa kubahatisha ingawa alifahamu (kutoka taarifa za kijasusi) kuwa tayari Kyiv imesheheni silaha za kuhimili mashambulizi.

Hata jana kuna watu zaidi ya 400 washikiliwa na Russia na Marekani kuona hivyo ameagiza vifaa zaidi vyenye thamani ya dola milioni 800! kwenda Ukraine.

Lakini ukweli wabakia kuwa Russia imeizingira Kyiv na hao wapiganaji wanashindwa kutoka.

Hivyo hizi propaganda ni za kuziangalia kwa makini.
 
My priorities in the negotiations are absolutely clear. End of the war, guarantees of security, sovereignty, restoration of territorial integrity, real guarantees for our country, real protection for our country. Zelensky saidView attachment 2153561
Huyu jamaa hayupo sawa kichwani. Au washauri wake wanampoteza.
 
Waacha we [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] atakuangushaje sas HB wako.... Kwanza keshateka Nuclear zote za Russia amesema ataziuza ajenge nchi ake ilogeuka kua magofu.
Unaona dharau zako...Kuna Siku sijui utaweka wapi sura yako G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…