Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Video ikionesha usiku wa jana namna kikosi cha wanamizinga cha jeshi la Russia kilivyokuwa kikishambulia majeshi ya Ukraine kwenye kiza totoro. Kikosi hicho chapewa kongole na raia wa Russia kwa kazi nzito na muhimu ya kuilinda Russia dhidi ya wanazi mamboleo wa Ukraine


 
Zelensky asked the US Congress to provide Ukraine with S-300s and other air defense systems as an alternative to establishing a no-fly zone. Galip SV Liwagu View attachment 2152964
Zelensky amekomaa kuomba S-300 lakini watano wa buza wanakwambia vifaa vya mrusi ni dhaifu f#####k ovvv wanato hamjawahi hata shika Ak47 kwa karibu lakin mnavyoipondea Sasa na hiyo ni s-300 tuu alafu kuna S mkubwa wao (unaijua s-400 s-500 wewe in pole pole voice)
 
Video ikionesha silaha mbali mbali walizoamua wananchi wa kijiji cha Kazachi, karibu na Kherson, wazikabidhi kwa hiari yao wenyewe kwa majeshi ya Russia. Silaha hizo zilikuwa zimelundikwa na kufichwa kwenye makazi ya raia.


 
We unadhani mwanasiasa aliyeileta taharuki Ni nani?hao raia wanaoteseka kwa kukosa hizo services Sababu ya uselfish wa mwanasiasa mmoja mzee anaitwa Putin... wenzie wanakufa yeye anakunywa Vodka na wapambe mkishangilia roho zikitoka
 
Joe Biden said he considers Vladimir Putin a "war criminal".

Biden was talking to reporters from the White House pool, and a Fox News correspondent asked if he was ready to call his Russian colleague a war criminal.

At first, Biden answered in the negative and left the room, but then returned, asked what the question was about, and said: "He is a war criminal."
Galip SV Liwagu
 
sure. mana ham ya kutawala haijawah kukaa iishe.ukichkulia nguv unayo lazm utaman makolon

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Russian athletes suspended from participation in the 2022 European Summer Sports Championships in Munich

🗯 “The Council of the European Championship supported the decision of the nine participating federations to exclude Russian and Belarusian athletes from the competition,” the press service of the tournament reports.
Galip SV Liwagu

🏃 The competition program includes athletics, cycling, artistic gymnastics, rowing, triathlon, beach volleyball, table tennis, sport climbing and rowing and canoeing. The European Championship will be held from 11 to 21 August
 
A yacht allegedly owned by Sechin was detained in Spain.

Reuters, citing its sources in the police, writes that we are talking about the 135-meter Crescent yacht, which is called one of the largest in the world.

The Spanish Ministry of Transport confirmed the arrest of the vessel to the agency, but did not specify to whom it belongs. Reuters reports that the yacht will be held until the owner is accurately identified and whether it is included in the EU sanctions list.
Galip SV Liwagu
 
A mercenary from the UK stayed in Ukraine for only nine hours and escaped.

Jake Pryday himself, a NATO veteran, told 1843 Magazine about this. According to him, immediately upon arrival, he and other volunteers were told that they would undergo a five-day training, and then, regardless of their military experience, they would go to the front line.

The Briton spoke about the conditions offered to the mercenaries: they were settled in a room without heating, where there are 25 beds without sheets. And in the dining room, a breakfast of noodles and "a strange-tasting juice that smelled of gasoline" was served.

They promised to pay 7,000 hryvnias per month (about $230). All were offered an indefinite contract, under which they were not supposed to leave the country. “You are essentially signing your death warrant,” Pridey says. "I'm not interested in being a hero or dying."

He, like many others, refused to sign the contract: “For me, this is a hoax. They are selling you a dream. “You can help the Ukrainian people!” But then they throw you in the worst place possible in a war zone."

As a result, Pride hitchhiked to the border and left.
Galip SV Liwagu
 
We unadhani mwanasiasa aliyeileta taharuki Ni nani?hao raia wanaoteseka kwa kukosa hizo services Sababu ya uselfish wa mwanasiasa mmoja mzee anaitwa Putin... wenzie wanakufa yeye anakunywa Vodka na wapambe mkishangilia roho zikitoka
Lawama mtu wa kwanza kuzipata alitakiwa awe US!US ndio chanzo Cha haya yote Kwa kujaribu kukaa puani Kwa Russia,jambo ambalo Russia ameonya Kwa muda mrefu na kuitaka Ukraine kuheshimu mkataba uliokuwepo baina yao!
Hata Russia alipotaka kuweka military base Cuba,USA alikataa na akawa tayari Kwa WW3!Russia akaona aachane na Mpango Huo!
Hata Leo Russia akirudia Mpango wake Cuba,response ya US Kwa Cuba itakuwa kama hiki anachokifanya Russia Kwa Ukraine!
 
We unadhani mwanasiasa aliyeileta taharuki Ni nani?hao raia wanaoteseka kwa kukosa hizo services Sababu ya uselfish wa mwanasiasa mmoja mzee anaitwa Putin... wenzie wanakufa yeye anakunywa Vodka na wapambe mkishangilia roho zikitoka
We kichwa ako iko special [emoji119][emoji119][emoji119] so no matter nini utaambiwa as long as hakiwasemi vibaya Russia na Putin wao kwako n "Invalid"....


Haya sasa tuendelee na Mapambio Russia wana njaa... Ukraine Oyeeeee... Oyeeeee

Wanaiba vyakula wapuuuzi sana hao... Ukraine Oyeeee.... Oyeeeee

Wameenda kuomba msaada China wa chakula wasije kufa njaa... Ukraine Oyeeee... Oyeeee

Russia na Putin wao wote wachumba tu... Ukraine Oyeeeee... Oyeeee...


Putin a.k.a Mr Vodka kwa mujib wa Miss Joannah ni mshamba tu hajielewei... Ukraine Oyeeeee... Oyeeee....

NATO na USA n malaika wala sio wachokozi wao bali wamestaarabika kuliko kitu chochote dunia... NATO oyeeee... oyeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

USA na Biden wake watamwadabisha Russia na Putin wao.... USA oyeeeee... oyeeee [emoji847][emoji847][emoji847]

Ukimaliza apo Joannah nenda kaoge ulale tu rafiki angu haya ya nje ya mipaka waachie wenyewe... Look like little you know kwe siasa za kidunia so ushauri wangu tu "Spare your emotions" kisha yape kisogo...
 
Apo unapigia mbuzi gitaa hatokuelewa katu nakwambia... Mpe tu mapambio ya Russia kuiba kuku ndizo taarifa anazofurahia na kuzielewa zaidi kuziamini kwa aslimia buku jero kuliko hayo unayojarib kumuelezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…