Putin hotuba yake leo inatisha raia wake. It seems hapendelei Warusi matajiri wanaoishi nje anaosema wako Westernized zaidi na anasema wengine wao watatumika kuisaliti nchi. Hao amewaita fifth column. Pia anasema anadhani 'purification' ya jamii ni necessary
Putin tangu mwaka jana kwenye hotuba ya mwaka mpya 2021 ulipoanza hakuwa anafanya movements za mkono wake wa kulia. Anauficha mpaka leo za zile gestures anatumia wa kushoto tu, wa kulia hautikisiki. Kuna observer mmoja tangu aseme hivyo siku hiyo huwa nauzingatia
Naona tukila Pasaka na Kyiv ikiwa bado imara kabisa.Na kwa kile alichokisema Biden siioni ikianguka kirahisi tena.Njia ile ni nyembamba iendayo uzimani×2
Watu wanabisha kwa hoja eti kama silaha za Russia ni dhaifu mbona anashambulia Ukraine. Comparison yetu tunaifanya kwa pande zilizosababisha vita sio upande unaoathirika na magomvi yao.Hawataki kusikia hii hoja hata kidogo,watakujia na ile sababu ya" Russia hatumii nguvu sana katika hii vita"
🤣🤣🤣Music interlude . Haya sasa warusi wa bongo kazi kwenu
Na ulishindwa kuweka ushahidi🤣😂🤣Hahahaha Ukraine kupewa hizo air defense haiondoi ukweli na uhalisia kwamba hizo systems hazikufanya vizuri kwenye Vita ya Armenia-Azerbaijan. Hizo Systems ziliharibiwa vibaya na Makombora ya Lora ya Israel na drones za Turkey na Israel.
Ili iwe imeisha walipaswa kushambulia bila kujali raia mzee??Mojawapo ya mifumo ya ulinzi hiyo ni kuzuia makombora. Wakipewa drones zitaenda zuia artillery na MRLs. Sasa kama Ukraine wana TB2 peke yake wanaihangaisha hivi Urusi ingekuwaje wawe na drones za Israel.
Kwenye masuala ya armour tiyari anti tank missiles zinafanya maisha ya tank crews za Russia yawe magumu. MANPADS zimefanya helicopters zisahaulike kabisa. Ukraine anataka silaha za kwenda sambamba mambo ya kupigana ground yanakuwa ni kupambana sawa.
Hii vita ilitakiwa iwe imeisha kama Russia ni superpower na anapigana na ka Ukraine ambako ni the poorest country in Europe. Sasa unashindwa maskini kina Ukraine silaha zenyewe wanaombaomba uje uwezane na kina muungano wa kina Germany, France, UK, etc.
Wanajeshi wa ukrain wanapigania mitaan kuzuia warusi, so kwa hayo mazingira ya namna hiyo unategemea mrusi atarusha wapi makombora?
Mwanzoni walikuwa wanabisha ,wakawa wanasema ni propaganda.Sasa hivi watapita hapa kimya kimya kama hawaoni 🙂namuona Magomed Tushayev 😂😂
Hakuna wa kuchukua hizo fedha akazimiliki, utakuja kuniambia hapa, nakuhakikishia UKRAINE anapigwa mwanzo mwisho na hakuna kitu kitafanyika dhidi ya akiba yake.Ukraine jeuri sana,
Urusi hakuwa na intelligence ya uhakika, na ali underestimate uwezo wa Ukraine, Zerensky, Wananchi wa Ukraine...
Kwa muda mrefu Urusi atapoteza sana
Ukraine hana chakupoteza maana silaha anapewa bure
Vita ikiisha fedha za Urusi zilizokuwa blocked ndo zitaenda kutumika ijenga Ukraine
Wakikujibu nitag mkuu??Wanajeshi wa ukrain wanapigania mitaan kuzuia warusi, so kwa hayo mazingira ya namna hiyo unategemea mrusi atarusha wapi makombora?