Aisee!Mimi nadhani putin amechelewa kujua kipaji chake, jamaa ni comedy zaidi ya joti, muda huu angekuwa kwenye cheka tuu ya huko Urusi
Hapana mzee, nafahamu wanao uwezo wa kuwapiga Ukraine decapitation strike ikaondoka na cream yote, lakini somehow sifahamu kwanini wanajizuia kufanya hivyo labda anaefahamu atuambie.Russia huo ndo uwezo wao tukubaliane naona, si kwamba hawataki kuwashambulia. Wakipata nafasi wanafanya, Zaluzny aliponea chupu chupu.
Ninaamini wewe sio kiburi ila uwezo wako wa kufikiria ndipo hapo ulipoishia. Hivi Rwanda anaukubwa gani kuisumbua Congo nzima?? Hadi umoja wa eac n sadc wamepeleka majeshi ila Congo ila sote tumeshindwa kuwafyekele mbali magaidi wa Rwanda kule Congo.Aisee kumbe leo huko Russia ni vilio tu baada ya jengo refu la ghorofa 37 kupigwa na Drones za Ukraine 🇺🇦. Taifa dogo sana linamuabisha, dhalilisha na kufedhehesha taifa kubwa. Jamani isije ikawa inajirudia ile tuliyoisoma kwenye vitabu vya dini kuwa kijana mdogo jasiri DAUDI analiangusha jitu kubwa sana GOLIATI. Kwa mwenendo huu tunaweza kushuhudia kichwa cha Goliati kikikatwa.
Kwa wenzangu Pro Russia wa Madale na Kigamboni tukubali tu kuwa Russia anapigwa kirahisi tu na hii vita hana mwisho mzuri
Ok,anga la iraq ndo lilimfanya ndege zake zifanye kazi na kurudi nyumbani salama?Israel iliingia Iran kupitia anga la Iraq. Angenyinywa hiyo access asingeweza kushambulia
Kama mexico atamkaribisha shida iko wapi?Tusizunguke sana naomba nikupe mfano rahisi labda utaelewa haraka.
Urusi ipeleke silaha na kujenga Kambi Mexico wana share mapaka na USA halafu uone Nini kitatokea.
Nahisi haukumbuki hata hoja yako ilikuwa ipi. Maana umehama nami kubishana siweziOk,anga la iraq ndo lilimfanya ndege zake zifanye kazi na kurudi nyumbani salama?
Unaujua mgogoro wa cuba?Kama mexico atamkaribisha shida iko wapi?
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati nyerere na kaunda wanataka kujenga reli ya TAZARA
nchi za magharibi na marekani walipinga kwamba huo mradi hauwezekani. Wachina wakaijenga hiyo reli.
Miaka ya 90 mrusi akaja na wazo la kujenga chuo mbeya tech. kwa sasa MUST, akaruhusiwa akaendelea na kazi.
Nci za magharibi nadhani walitaka kujua mrusi anafanya nini,wakatoa msaada wa vichwa vya traini kusaidia reli ambayo hapo awali walipinga isijengwe, mbona hawakutulazimisha kumkataa mrusi kwa nguvu,bali walitumia akili kuwa karibu,mrusi anataka kutumia nguvu na nadhani kwa sasa anajutia kimoyo moyo.
Jitahidi kufuatilia kwa makini siasa za kimataifa za Dunia.Mifano yote uliyotoa haifanani na hali ya Ukraine kwa Russia.NATO wameweka wazi nia yao ya kuisambaratisha RUSSIA,kuingiza UKRAINE kwenye umoja wa NATO ni katika kutekeleza mkakati huo.Ukitaka mfano sahihi ni CUBAN MISSILE CRISIS ya 1960s.Nenda kasome crisis hiyo halafu jiulize kwa nini USA atake kuingia vitani na CUBA kisa kuingia makubaliano ya kuweka makombora ya URUSI nchini kwake.Hao jamaa zenu mnaowaamini USA wana kitu kinaitwa MONROE DOCTRINE,ambayo ni tangazo la vita kwa jirani yeyote wa USA atakaeshirikiana kijeshi na Mataifa makubwa duniani.Kama mexico atamkaribisha shida iko wapi?
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati nyerere na kaunda wanataka kujenga reli ya TAZARA
nchi za magharibi na marekani walipinga kwamba huo mradi hauwezekani. Wachina wakaijenga hiyo reli.
Miaka ya 90 mrusi akaja na wazo la kujenga chuo mbeya tech. kwa sasa MUST, akaruhusiwa akaendelea na kazi.
Nci za magharibi nadhani walitaka kujua mrusi anafanya nini,wakatoa msaada wa vichwa vya traini kusaidia reli ambayo hapo awali walipinga isijengwe, mbona hawakutulazimisha kumkataa mrusi kwa nguvu,bali walitumia akili kuwa karibu,mrusi anataka kutumia nguvu na nadhani kwa sasa anajutia kimoyo moyo.
Umeandika mengi na kueleza kuwa Ukraine anasaidiwa na NATO. Kwani hilo ni pambano la Masumbwi au Soka hadi kuwe na nguvu sawa. Kwenye vita unakwenda na marafiki zako . Hivyo hiyo hoja yenu ya kusema NATO anaisaidia Ukraine NI HOJA YA KITOTO SANA.Ninaamini wewe sio kiburi ila uwezo wako wa kufikiria ndipo hapo ulipoishia. Hivi Rwanda anaukubwa gani kuisumbua Congo nzima?? Hadi umoja wa eac n sadc wamepeleka majeshi ila Congo ila sote tumeshindwa kuwafyekele mbali magaidi wa Rwanda kule Congo.
Hivi haujui au ni kiburi tu kinakusumbua. Haujui kuwa Ukraine anasaidiwa na umoja wa NATO nzima ila bado wameshindwa kumdhibiti Russia kutoichukua ardhi ya Ukraine?? Haustushwi kwa ukubwa wa mataifa yanayoifadhili Ukraine kwenye hii vita kuwa yote yameshindwa kumteteresha Russia??
Haujui kuwa Ukraine kashindwa kuitetea ardhi yake kutokuchukuliwa na Russia kila kukicha?? Hizi mbinu za kupika majengo ya wananchi ni ushahidi kuwa Ukraine ni failure kwenye hii vita. Wameshindwa kuwauwa na kuwamaliza wanajeshi wa Russia kule mstari wa mbele vitani, sasa wanaanza kupiga makazi ya wana chi!
Kuikejeli Russia kwenye hii vita ni upuuzi uliotukuka. Ninaamini kama Ukraine hasingepata msaada kutoka majuu, basi asingechukua hata wiki bila nchi yake yote kuchukuliwa. Russia ndio mfano Hai wa super power duniani saivi. Mwanaume amewekewa kila aina ya vikwazo vya uchumi, mali zake zote zilizokuwa EU zimepokwa ila hadi leo hajaanguka.
Tanzania tulichuzwa na usa kupigana na idi amin hapo nyuma. Uchumi wetu uliporomoka hadi tukashindwa kujilisha. Tukapewa maize ya msaada(mandi ya kulisha farasi ya njano) ili watu wasife kwa njaa. Uchumi wetu uliporomoka hadi shidaaaah. Ila Marekani licha ya vikwazo vyote kasimama hadi usa na nato wameamini kuwa hawamwezi mrusi, sasa wana draft dili la kumaliza hii vita.
Juu ya yote ninajua hutonielewa, ni nakubali. Nakumbuka manifesto 3 za lowasa pale jangwani aliwaahidi watz kuwa kama ingetokea angekuwa raisi wa tz, basi 1. Angeboresha elimu, 2. Angeboresha elimu na ahadi yake ya mwisho aliahidi 3. Angeiboresha elimu. Ckumwelewa lowasa ila kutokana na fursa niliyojaaliwa ya kutoka nje kimasomo, nimekuja kumuelewa sana lowasa.
Haiingii akilini mtu kuwa mbishi kwenye kitu ambacho hakijui. Cha ajabu sasa, fursa ya kuresearch anayo maana anatumia simu janja, haresrarch kuujua ukweli ila ulimkuta anavyopayuka kwa kitu asichokijua sasa, unaweza ukaacha ndala. Jamani, tu jifunze kuresearch ndio tuingie kwenye debate kama hizi.
Mwalimu wangu wa literature aliniambiaga" sometime it is better to stay quiet for people to think that you're not talking coz you're stupid, than talking out louder only to prove them right. " Watz tunatatizo moja kubwa sana, elimu yetu ni upuuzi uliotukuka. Ndio maana hadi leo watahiniwa wetu wa vyuoni hawawezi hata kujielezea au kuandika cv zao. Wapo wenye tofauti ila CCM imefanikiwa kitutawala maana sisi upstairs ni mambumbumbu maana wameivuruga education system yetu. Kama hamiamini hiki, angalieni kiongozi wa serikalini mwenye pesa gani ana mtoto anayesomea tz??
Samahanini nimeandika kwa jazba ila watu madudu wanayoyaandika wanatia hasira. Apologies wakubwa. Hata ivyo, mayb hii inatokana na watoto kuwepo likizo
Ila Marekani yupo HURU kuamlia wengine waishije si ndio!?? .....Mnapenda sana ushabiki usio na tija mkuu
Ukraine ni taifa huru lililojimega kutoka muungano wa SSR na likapewa uhuru wake na kutambulika kimataifa, na tena halikuwa taifa hilo pekee katika kujimega kutoka muungano huo na yote yalitambuliwa
Linapokuja suala la namna ipi Ukraine ijiendeshe, taifa lolote halina mamlaka ya kuliamlia kwa wananchi wake
Russia ni mhuni tu na hii lana haitawaacha mkuu,hata wakishinda leo, lakini miaka mingi ijayo, hiyo laana itawarudia
Ni Kweli asee NATO hawaisaidii Ukraine..ona ulivyo mjinga. Yaani wakae vikao wapeleke packagees wapeleke wataalam Marais waende Zelensky azunguke ulaya na Marekani kuhutubia mabunge Yao na kuomba misaada ..halafu kajinga kamoja kanasema tu eti NATO hiwasaidii Ukraine. Huwezi kuwa shoga ukawa na akili sawa sawa.Umeandik
Umeandika mengi na kueleza kuwa Ukraine anasaidiwa na NATO. Kwani hilo ni pambano la Masumbwi au Soka hadi kuwe na nguvu sawa. Kwenye vita unakwenda na marafiki zako . Hivyo hiyo hoja yenu ya kusema NATO anaisaidia Ukraine NI HOJA YA KITOTO SANA.
Ni propaganda tu Ukraine ni salama mnoooo.... Hakuna mapigano popote pale ...nchi ni salama ..majimbo yote yapo chini ya utawala wa kyv....Nimekuelewa. Kwahiyo hizi taarifa kuwa Ukraine inapigwa vibaya na kupoteza maeneo yao kumbe ni Propaganda
Kiongozi Ebu Endelea Na Usingizi Au Mkiristo Jitayalishe Kwenda Kanisani Achana Na Huyo Puguani Atakuchosha....Ni Kweli asee NATO hawaisaidii Ukraine..ona ulivyo mjinga. Yaani wakae vikao wapeleke packagees wapeleke wataalam Marais waende Zelensky azunguke ulaya na Marekani kuhutubia mabunge Yao na kuomba misaada ..halafu kajinga kamoja kanasema tu eti NATO hiwasaidii Ukraine. Huwezi kuwa shoga ukawa na akili sawa sawa.
Laana ya kuita wazazi wako NZI itakutafuna sanaNi Kweli asee NATO hawaisaidii Ukraine..ona ulivyo mjinga. Yaani wakae vikao wapeleke packagees wapeleke wataalam Marais waende Zelensky azunguke ulaya na Marekani kuhutubia mabunge Yao na kuomba misaada ..halafu kajinga kamoja kanasema tu eti NATO hiwasaidii Ukraine. Huwezi kuwa shoga ukawa na akili sawa sawa.
🤣🤣Laana ya kuita wazazi wako NZI itakutafuna sana