kilikuja na meli,🇺🇸 Trump: The U.S. will continue supporting Ukraine; otherwise, “Putin would think he won.”
“We will continue sending aid to Ukraine; we just want to ensure our money is safe. If we don’t do this, Putin will say he has won. Everything depends on us. And we will go as far as necessary because we are not going to let things go another way,” Trump stated.
Lakini mwaka huo 2022 Ukrain asilimia kubwa ilitwaliwa mpaka na mji wao mkuu ulikaliwa viongozi akiwemo na zele walikua katika mpango maana yake kama wangekubali kusinge kua na haja ya mazungumzo Kwa kua Kyiv angekuwepo pro RussiaNakukumbusha: masharti ya upande wa NATO yalikuwa kwamba hakuna kuanza mazungumzo yoyote ya amani kwa ajili ya Ukreni bila Ukreni yote kurudi mikononi mwao.
Nini kimebadilika sasa? Mmesharudisha maeneo yenu yote?
Huoni kwamba Ukreni inatamani sasa ingekubali tu kutoingia kwenye vita ile 2022?
Wapi Boris Johnson na ubabe wake kwamba angeilinda Ukreni hadi mwisho? Wapi mzee Joe Biden???
Kama asilimia 20 ya ardhi i ya Ukreni itakuwa Mali yake,atakuwa amewini. Kikubwa nilichompenda mrusi ni kama vile chui kuweza kumzuia Simba kuua watoto wake. Uhuo ndio uanaume maana hata mchina anaogopa.. Kuna msemo alisema Trump kuwa warus ni watu wavita kwahiyo kupambana hao nikupoteza muda.Lakini mwaka huo 2022 Ukrain asilimia kubwa ilitwaliwa mpaka na mji wao mkuu ulikaliwa viongozi akiwemo na zele walikua katika mpango maana yake kama wangekubali kusinge kua na haja ya mazungumzo Kwa kua Kyiv angekuwepo pro Russia
Maamuzi waliyochuku hao nchi ndogo kupigana na dude
naweza kusema uamizi wao umewainua kama wameweza kukomboa miji iliyo chukuliwa na mji wao wa serikali kuna kila sababu ya kuwapongeza mi niseme Russia kashindwa malengo
Mimi nilielewa kuwa baada ya Trump kuingia madarakani aliamua kusimamisha misaada kwa Ukraine na kwa vile ana urafiki binafsi na Putin na uadui binafsi na Zelenskyy akaona autamatishe mpambano kwa majadiliano.Jibu ni rahisi: haikuwa nia ya Urusi kupigana vita hivyo. Mbona unasahau kirahisi hivyo?
Kabla ya kuitifua Ukreni, aliwaita kwenye meza ya mazungumzo, ila wao wakaendelea kujazana ujinga na kukaza shingo.
Na kila wakati Putin amekuwa akisisitiza suala la kutatua mgogoro - lakini Zele kwa maelekezo na masponsa akadai hakuna mazungumzo bila ardhi yote kurudi mikononi mwao.
Hilo nalo gumu kuelewa? Aliyekuwa anataka vita ni NATO na Marekani - ili kuuza silaha zake, kujaribu silaha zake mpya kama Abrams, nk., usisahau pia zile maabara na biashara za viungo vya binadamu, kukomba rasilimali za Ukreni kama tuonavyo sasa, na pia kujaribu kuidhoofisha Urusi.
Mkuu, amka ulimwengu uko huku!
Mzee Ngonyani usiwe na mashaka kua kama 20 % ya ardhi iliyokua ya Ukraine itakua Mali ya Urusi.Kama asilimia 20 ya ardhi i ya Ukreni itakuwa Mali yake,atakuwa amewini. Kikubwa nilichompenda mrusi ni kama vile chui kuweza kumzuia Simba kuua watoto wake. Uhuo ndio uanaume maana hata mchina anaogopa.. Kuna msemo alisema Trump kuwa warus ni watu wavita kwahiyo kupambana hao nikupoteza muda.
Sisi tulishasema msimamo wetu sasa sijui kati ya Nyinyi na Putin nani anaomba yaisheWarusi wa buza mnafurahia negotiations as if deal done🤩
Inaonesha zelensinky amemkaba koo Putin kwelikweli.,mashabiki wake wanatamani Putin apate pumzi Sasa🏃
Na hii liwefundisho kwa nchi za ulaya zijitegemea na sio kila siku kulinda maslahi ya usa mbona usa imesimama kidete na israeliUkraine bana alikua anakomaa kupigana na Urusi kwa kutengemea misaada ya silaha.
Sasa mtoa misaada kasema patana na adui Yako.
Aibu hii.
Putin angeshamwondolea vikwazo vyote na kuzuia mtiririko wote wa silaha kutoka Washington kuelekea Kyiv.,
Na hii liwefundisho kwa nchi za ulaya
Putin hajapigana na majeshi ya NATO; angepamana na NATO vita ingekuwa imekwisha siku nyingi sana. Usieneze propaganda. Putin anavuruga amanai kwa kisngizio cha kusaidi watu wenye asili ya urusi bila kujua kuwa akisha tengeza friction, haitakwisha. Hata hiyo Minsky accord ilikuwa siyo lazima bali alitaka tu kumega ardhi ya Ukraine eti kwa vile inakaliwa na watu wenye asili ya urusi. Kwa maana hiyo ni sawa na kusema South Afrika ije imege ardhi ya Tanzania wanayoishi wangoni kwa vile asili yao ni South Afrika, ujinga kabisa huo. Hitler alianzisha vita ya dunia kwa visingizo hivyo vya watu wa asili Ujerumani huko Czechoslovakia -Yaani Ukabila. Ndiyo Yanayoendelea kati ya rwanda na kongoNaryshkin alikosea kuleta taarifa ambazo hazikuwa sahihi kwenye huo mkutano wa baraza la usalama la Russia.
Alitaka Putin awape muda Ukraine ambao tayari walikuwa wamejiandaa kwa kuachana na mkataba wa Minks na huku wakiendelea kuyashambuia hayo majimbo mawili ambayo wengi wa raia wake ni warusi.
Ndo maana baada ya mkutano huo raisi Putin ambae kwa watu wa ujasusi huamini kuwa na taarifa mbadala hata tatu, aliamua kutangaza kuyatambua hayo majimbo mawili muhimu na kuingiza majeshi ya Russia kukabiliana na majeshi ya NATO.
Soma hapa: Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk
Daah!!Putin hajapigana na majeshi ya NATO; angepamana na NATO vita ingekuwa imekwisha siku nyingi sana. Usieneze propaganda. Putin anavuruga amanai kwa kisngizio cha kusaidi watu wenye asili ya urusi bila kujua kuwa akisha tengeza friction, haitakwisha. Hata hiyo Minsky accord ilikuwa siyo lazima bali alitaka tu kumega ardhi ya Ukraine eti kwa vile inakaliwa na watu wenye asili ya urusi. Kwa maana hiyo ni sawa na kusema South Afrika ije imege ardhi ya Tanzania wanayoishi wangoni kwa vile asili yao ni South Afrika, ujinga kabisa huo. Hitler alianzisha vita ya dunia kwa visingizo hivyo vya watu wa asili Ujerumani huko Czechoslovakia -Yaani Ukabila. Ndiyo Yanayoendelea kati ya rwanda na kongo
Nchi zinazoisadia Ukraine Silaha na misaada ya kibinadamu tu hawajapelea majeshi yao hazifanyi hivyo kwa sababu ya NATO. Misaada hiyo inatoka nchi mbalimbali za Ulaya ambazo ndio majirani sana na vita hiyo japokuwa ni wanachama wa NATO. Ukiacha Marekani na Canada ambao wako mbali na vita hiyo, wengine ni Australia (Siyo NATO),, Japan (Siyo NATO), South Korea (Siyo NATO), na New Zealand (siyo NATO). Kuhusu wapigananji huko Ukraine, kuna wengi waliojitolea au wanalipwa kutoka nchi mbalimbali za dunia ikiwa ni pamoja na Chechnya (tena hawa ni sehemu ya Urusi lakini raia wa Chechnya wanapigana upande wa Ukraine, Beralus (hawa nao ni washirika wa Urusi, lakini raia wake wanapigana upande wa Ukraine., vile vile kuna warusi wanaoipgana upande wa Ukraine
Kwa huu msimamo wa US ni dhahiri Urusi yake yametimia, hivo BRICS haitaangaika tena na dollar ya marekaniMzee Ngonyani usiwe na mashaka kua kama 20 % ya ardhi iliyokua ya Ukraine itakua Mali ya Urusi.
Ukweli ni kwamba Ukraine EU na NATO watake ama wasitale ardhi hiyo haitarudishwa.
Ukraine will not be admitted to NATO as part of any ceasefire deal with Russia, US Defense Secretary Pete Hegseth told reporters on Wednesday. He added that attempting to return Ukraine to its 2014 borders is “unrealistic” and that American troops will not be involved in maintaining any settlement.
Wameona waungane na adui waliyemshindwa. Join them if you cannot fight them. Trump yuko hapo kuinusuru Marekani kiuchumi.Bila shaka unajua kuwa Trump na timu nzima ya MAGA kule USA ni pro-Russia; pro-Putin
Boris Johnson popote alipo, hatamani kabisa kunyanyua sura yake. Hiyo ndiyo Amerika tuliyowaambia sasa!Ukraine has every reason to be worried after Trump's comments
There are some ominous signs already bolstering fears Ukraine has been betrayed before talks with Russia to put an end to the nearly three-year war have even started.
Thursday 13 February 2025 13:38, UK
Ukraine has every reason to be worried after Trump's comments
There are some ominous signs already bolstering fears Ukraine has been betrayed before talks with Russia to put an end to the nearly three-year war have even started.news.sky.com
Mkuu usihangaike na nadharia. Trump mtu wa majigambo. Kuonyesha Biden ni weak ndio akajinasibu kuwa angekuwa madarakani, Putin asingethubutu kuvamia Ukraine. Vita isingekuwepo!Kama unamwamini Trump, nakukumbusha alisema pia kwamba vita hivyo ni vya kijinga na havikupaswa kutokea, na visingetokea kama angekuwa madarakani.
Huo ndio msingi wake mkuu wa kumaliza mgogoro wa Ukreni na Russia.
Unajua maana yake? Maana yake ni kwamba Marekani na NATO wanapaswa kufikishwa ICC mara moja na kushtakiwa plus walipe fidia ya athari zote za vita.
Unamaanisha hatofanyia kazi maneno yake? Angalia kalenda, hadi leo amekaa muda gani ofisini, na ameshatekeleza mambo mangapi makubwa?Mkuu usihangaike na nadharia. Trump mtu wa majigambo
Hakuna fundisho hapo. Ukweli hupanda ngazi. Nani yuko sahihi itajulikana muda si mrefu. Just a matter of time.Na hii liwefundisho kwa nchi za ulaya zijitegemea na sio kila siku kulinda maslahi ya usa mbona usa imesimama kidete na israeli