LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
🇺🇸 Trump: The U.S. will continue supporting Ukraine; otherwise, “Putin would think he won.”

“We will continue sending aid to Ukraine; we just want to ensure our money is safe. If we don’t do this, Putin will say he has won. Everything depends on us. And we will go as far as necessary because we are not going to let things go another way,” Trump stated.
kilikuja na meli,
coherently spoken from Mr President
 
Nakukumbusha: masharti ya upande wa NATO yalikuwa kwamba hakuna kuanza mazungumzo yoyote ya amani kwa ajili ya Ukreni bila Ukreni yote kurudi mikononi mwao.

Nini kimebadilika sasa? Mmesharudisha maeneo yenu yote?

Huoni kwamba Ukreni inatamani sasa ingekubali tu kutoingia kwenye vita ile 2022?

Wapi Boris Johnson na ubabe wake kwamba angeilinda Ukreni hadi mwisho? Wapi mzee Joe Biden???
Lakini mwaka huo 2022 Ukrain asilimia kubwa ilitwaliwa mpaka na mji wao mkuu ulikaliwa viongozi akiwemo na zele walikua katika mpango maana yake kama wangekubali kusinge kua na haja ya mazungumzo Kwa kua Kyiv angekuwepo pro Russia
Maamuzi waliyochuku hao nchi ndogo kupigana na dude
naweza kusema uamizi wao umewainua kama wameweza kukomboa miji iliyo chukuliwa na mji wao wa serikali kuna kila sababu ya kuwapongeza mi niseme Russia kashindwa malengo
 
Kama asilimia 20 ya ardhi i ya Ukreni itakuwa Mali yake,atakuwa amewini. Kikubwa nilichompenda mrusi ni kama vile chui kuweza kumzuia Simba kuua watoto wake. Uhuo ndio uanaume maana hata mchina anaogopa.. Kuna msemo alisema Trump kuwa warus ni watu wavita kwahiyo kupambana hao nikupoteza muda.
 
Jibu ni rahisi: haikuwa nia ya Urusi kupigana vita hivyo. Mbona unasahau kirahisi hivyo?

Kabla ya kuitifua Ukreni, aliwaita kwenye meza ya mazungumzo, ila wao wakaendelea kujazana ujinga na kukaza shingo.

Na kila wakati Putin amekuwa akisisitiza suala la kutatua mgogoro - lakini Zele kwa maelekezo na masponsa akadai hakuna mazungumzo bila ardhi yote kurudi mikononi mwao.

Hilo nalo gumu kuelewa? Aliyekuwa anataka vita ni NATO na Marekani - ili kuuza silaha zake, kujaribu silaha zake mpya kama Abrams, nk., usisahau pia zile maabara na biashara za viungo vya binadamu, kukomba rasilimali za Ukreni kama tuonavyo sasa, na pia kujaribu kuidhoofisha Urusi.

Mkuu, amka ulimwengu uko huku!
Mimi nilielewa kuwa baada ya Trump kuingia madarakani aliamua kusimamisha misaada kwa Ukraine na kwa vile ana urafiki binafsi na Putin na uadui binafsi na Zelenskyy akaona autamatishe mpambano kwa majadiliano.

Trump angeendeleza msimamo wa kina Biden, tungekuwa na status quo. Tena yeye si ajabu ingekuwa tabu zaidi. Hivi sasa inabidi Zelenskyy awe mpole sana. Ana wakati mgumu sana.

Bila shaka unajua kuwa Trump na timu nzima ya MAGA kule USA ni pro-Russia; pro-Putin. NATO wenyewe wako mashakani. EU na UK wanajiandaa kubandikwa kodi (tariffs) nzito. Canada na Greenland wamepewa notisi ya kuwa majimbo mapya ya USA. Panama wanatishiwa kunyang’anywa ule mfereji wa kupitishia meli. Ghuba ya Mexico imeshakuwa Ghuba ya America. Ngoja tuone machapisho ya Google kama ile jeuri wanayotuletea Ziwa Nyasa itakuweko mbele ya MAGA.

Hii ni awamu ya uhusiano maridhawa kati ya US na Russia. Usijeshangaa Putin akapewa u-memba wa heshima wa MAGA kwa vile na yeye anafanya hivyo hivyo huko Urusi. Hii ndio reality mpya. Au na hili utakataa, mkuu?

Unaweza kudai kuwa Putin ndiye aliyeleta haya mabadiliko. Sitakubishia. Almuradi tu umeelewa kuwa enzi za kushindanisha Marekani na Urusi au NATO na Urusi zimefika mwisho. No longer relevant. MAGA is in charge kule USA. Na wanatisha kweli kweli.

Huku tubakie na mijadala ya namna tutakavyofanikisha ARVs, kinga, chanjo za watoto, matundu ya vyoo endelevu, n.k. baada ya MAGA kutukatia misaada ya watu wa Marekani.
 
Vyovyote mtakavyozungumza enyi Pro UkraiNATO lakini napenda niwafahamishe kua waziri wa Trump ambae ni serikali ya USA amekalaliwa akisema

Ukraine haitajiunga na NATO Kamwe,

Haiwezeiani Ukraine kurudisha maeneo yake Kamwe.

Jeshi la USA halitakua sehemu ya majeshi ya kulinda amani Ukraine.

Haya maelezo na mengi mengineyo ni kuonesha kua masharti ya Urusi yametekelezwa na malengo ya Urusi ktk Smo yake yamekamilika.

Fanyeni Kila mnavyoweza kupindisha lakini watu tumeshaona.

BRUSSELS — U.S. Secretary of Defense Pete Hegseth on Wednesday said Washington would not send peacekeepers to Ukraine as part of post-war security guarantees for Kyiv and dismissed Ukraine’s goals of NATO membership and restoring its pre-2014 borders as “unrealistic.”

In a speech where he stressed that the U.S. remained committed to NATO but would “no longer tolerate” European alliance members depending on Washington for security, Hegseth told the Ukraine Defense Contact Group that the U.S.’s priority was now competition with China, as “stark strategic realities prevent the U.S. from being primarily focused on Europe.”

His comments during the NATO defense ministerial in Brussels came during a critical week for the future of European security and the war in Ukraine.

Russia’s nearly three-year war on its neighbor will be at the top of the agenda at the Munich Security Conference where Ukrainian President Volodymyr Zelensky is expected to be in attendance along with Hegseth, U.S. Secretary of State Marco Rubio and special envoy for Ukraine and Russia Keith Kellogg.

Hegseth said that Ukraine’s future security guarantees should not be backed by NATO, but “capable European and non-European troops instead.”
 
Kama asilimia 20 ya ardhi i ya Ukreni itakuwa Mali yake,atakuwa amewini. Kikubwa nilichompenda mrusi ni kama vile chui kuweza kumzuia Simba kuua watoto wake. Uhuo ndio uanaume maana hata mchina anaogopa.. Kuna msemo alisema Trump kuwa warus ni watu wavita kwahiyo kupambana hao nikupoteza muda.
Mzee Ngonyani usiwe na mashaka kua kama 20 % ya ardhi iliyokua ya Ukraine itakua Mali ya Urusi.
Ukweli ni kwamba Ukraine EU na NATO watake ama wasitale ardhi hiyo haitarudishwa.

Ukraine will not be admitted to NATO as part of any ceasefire deal with Russia, US Defense Secretary Pete Hegseth told reporters on Wednesday. He added that attempting to return Ukraine to its 2014 borders is “unrealistic” and that American troops will not be involved in maintaining any settlement.
 
Warusi wa buza mnafurahia negotiations as if deal done🤩

Inaonesha zelensinky amemkaba koo Putin kwelikweli.,mashabiki wake wanatamani Putin apate pumzi Sasa🏃
Sisi tulishasema msimamo wetu sasa sijui kati ya Nyinyi na Putin nani anaomba yaishe

MASHARTI YA PUTIN

(1) Ukraine atakiwi kuwa mwanachama wa Nato √
(2) Donbass iwe free √

MASHARTI YA ZELENSK

(1) Ukraine iwe mwanachama wa Nato ×
(2) Dombass iwe free ×
(3) Crimea iwe free×

Sasa nani kaomba poo hapo😂😂
 
Putin angeshamwondolea vikwazo vyote na kuzuia mtiririko wote wa silaha kutoka Washington kuelekea Kyiv.,

Ukraine has every reason to be worried after Trump's comments​

There are some ominous signs already bolstering fears Ukraine has been betrayed before talks with Russia to put an end to the nearly three-year war have even started.

Thursday 13 February 2025 13:38, UK

Naryshkin alikosea kuleta taarifa ambazo hazikuwa sahihi kwenye huo mkutano wa baraza la usalama la Russia.

Alitaka Putin awape muda Ukraine ambao tayari walikuwa wamejiandaa kwa kuachana na mkataba wa Minks na huku wakiendelea kuyashambuia hayo majimbo mawili ambayo wengi wa raia wake ni warusi.

Ndo maana baada ya mkutano huo raisi Putin ambae kwa watu wa ujasusi huamini kuwa na taarifa mbadala hata tatu, aliamua kutangaza kuyatambua hayo majimbo mawili muhimu na kuingiza majeshi ya Russia kukabiliana na majeshi ya NATO.

Soma hapa: Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk
Putin hajapigana na majeshi ya NATO; angepamana na NATO vita ingekuwa imekwisha siku nyingi sana. Usieneze propaganda. Putin anavuruga amanai kwa kisngizio cha kusaidi watu wenye asili ya urusi bila kujua kuwa akisha tengeza friction, haitakwisha. Hata hiyo Minsky accord ilikuwa siyo lazima bali alitaka tu kumega ardhi ya Ukraine eti kwa vile inakaliwa na watu wenye asili ya urusi. Kwa maana hiyo ni sawa na kusema South Afrika ije imege ardhi ya Tanzania wanayoishi wangoni kwa vile asili yao ni South Afrika, ujinga kabisa huo. Hitler alianzisha vita ya dunia kwa visingizo hivyo vya watu wa asili Ujerumani huko Czechoslovakia -Yaani Ukabila. Ndiyo Yanayoendelea kati ya rwanda na kongo

Nchi zinazoisadia Ukraine Silaha na misaada ya kibinadamu tu hawajapelea majeshi yao hazifanyi hivyo kwa sababu ya NATO. Misaada hiyo inatoka nchi mbalimbali za Ulaya ambazo ndio majirani sana na vita hiyo japokuwa ni wanachama wa NATO. Ukiacha Marekani na Canada ambao wako mbali na vita hiyo, wengine ni Australia (Siyo NATO),, Japan (Siyo NATO), South Korea (Siyo NATO), na New Zealand (siyo NATO). Kuhusu wapigananji huko Ukraine, kuna wengi waliojitolea au wanalipwa kutoka nchi mbalimbali za dunia ikiwa ni pamoja na Chechnya (tena hawa ni sehemu ya Urusi lakini raia wa Chechnya wanapigana upande wa Ukraine, Beralus (hawa nao ni washirika wa Urusi, lakini raia wake wanapigana upande wa Ukraine., vile vile kuna warusi wanaoipgana upande wa Ukraine
 
Daah!!
Ok.
 
Mzee Ngonyani usiwe na mashaka kua kama 20 % ya ardhi iliyokua ya Ukraine itakua Mali ya Urusi.
Ukweli ni kwamba Ukraine EU na NATO watake ama wasitale ardhi hiyo haitarudishwa.

Ukraine will not be admitted to NATO as part of any ceasefire deal with Russia, US Defense Secretary Pete Hegseth told reporters on Wednesday. He added that attempting to return Ukraine to its 2014 borders is “unrealistic” and that American troops will not be involved in maintaining any settlement.
Kwa huu msimamo wa US ni dhahiri Urusi yake yametimia, hivo BRICS haitaangaika tena na dollar ya marekani
 
Bila shaka unajua kuwa Trump na timu nzima ya MAGA kule USA ni pro-Russia; pro-Putin
Wameona waungane na adui waliyemshindwa. Join them if you cannot fight them. Trump yuko hapo kuinusuru Marekani kiuchumi.

Si ajabu mfiwa (Ukrane) badala ya kusaidiwa ainuke kiuchumi, anazidi kudaiwa zaidi na Marekani. Ajabu kweli kweli!

Marekani hana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
 
Ukraine has every reason to be worried after Trump's comments​

There are some ominous signs already bolstering fears Ukraine has been betrayed before talks with Russia to put an end to the nearly three-year war have even started.

Thursday 13 February 2025 13:38, UK

Boris Johnson popote alipo, hatamani kabisa kunyanyua sura yake. Hiyo ndiyo Amerika tuliyowaambia sasa!

Wapi T14 Armata ??? Au kuna shida ya mtandao huko ulipo???
 
Wakuu, anaetaka kufahamu kwa undani extent ya 'matusi' Trump aliyowapa Ukraine na Ulaya aangalie wakati jamaa anajibu maswali ya waandishi wa habari baada ya Tulsi Gabbard kuapishwa kuwa DNI.

Trump ni copy ya Magufuli kabisa, yaani ni unapewa za uso bila kupepesa macho, bila kuuma uma maneno, like a real boss!

Aisee amewanyea sio kitoto!!
 
Kama unamwamini Trump, nakukumbusha alisema pia kwamba vita hivyo ni vya kijinga na havikupaswa kutokea, na visingetokea kama angekuwa madarakani.

Huo ndio msingi wake mkuu wa kumaliza mgogoro wa Ukreni na Russia.

Unajua maana yake? Maana yake ni kwamba Marekani na NATO wanapaswa kufikishwa ICC mara moja na kushtakiwa plus walipe fidia ya athari zote za vita.
Mkuu usihangaike na nadharia. Trump mtu wa majigambo. Kuonyesha Biden ni weak ndio akajinasibu kuwa angekuwa madarakani, Putin asingethubutu kuvamia Ukraine. Vita isingekuwepo!

Reality ni kuwa hakuna mtu wala nchi ya kuwafikisha Marekani na NATO ICC leo hii. Hao ndio wanaoitawala dunia nyakati za sasa.

Btw, hata Obama analaumiwa sana na kina Trump kwa kuwa weak na kuacha Putin aizidi kete Marekani kwa kuvamia ghafla na kuiteka Crimea 2014. Kabla yake alivamia Georgia 2008. Wakati huo Putin alikuwa akipendwa sana na nchi za Magharibi. Aliwaghilibu sana NATO. Hawakufuatilia vyema nyendo zake.
 
Mkuu usihangaike na nadharia. Trump mtu wa majigambo
Unamaanisha hatofanyia kazi maneno yake? Angalia kalenda, hadi leo amekaa muda gani ofisini, na ameshatekeleza mambo mangapi makubwa?

Mpaka Tanzania wananchi wanahaha kuhusu ARVs na huko bungeni viongozi wa USAID wanaombewa kazi serikalini.

Mkuu, sina hakika kama kweli uko duniani, na huko ulipo unapewa taarifa zisizo sahihi.
 
Na hii liwefundisho kwa nchi za ulaya zijitegemea na sio kila siku kulinda maslahi ya usa mbona usa imesimama kidete na israeli
Hakuna fundisho hapo. Ukweli hupanda ngazi. Nani yuko sahihi itajulikana muda si mrefu. Just a matter of time.

Halafu Marekani sio ile ile siku zote. Inadhibitiwa na demokrasia. Trump sio Rais wa kudumu.
 
Back
Top Bottom