Putin hajapigana na majeshi ya NATO; angepamana na NATO vita ingekuwa imekwisha siku nyingi sana. Usieneze propaganda. Putin anavuruga amanai kwa kisngizio cha kusaidi watu wenye asili ya urusi bila kujua kuwa akisha tengeza friction, haitakwisha. Hata hiyo Minsky accord ilikuwa siyo lazima bali alitaka tu kumega ardhi ya Ukraine eti kwa vile inakaliwa na watu wenye asili ya urusi. Kwa maana hiyo ni sawa na kusema South Afrika ije imege ardhi ya Tanzania wanayoishi wangoni kwa vile asili yao ni South Afrika, ujinga kabisa huo. Hitler alianzisha vita ya dunia kwa visingizo hivyo vya watu wa asili Ujerumani huko Czechoslovakia -Yaani Ukabila. Ndiyo Yanayoendelea kati ya rwanda na kongo
Nchi zinazoisadia Ukraine Silaha na misaada ya kibinadamu tu hawajapelea majeshi yao hazifanyi hivyo kwa sababu ya NATO. Misaada hiyo inatoka nchi mbalimbali za Ulaya ambazo ndio majirani sana na vita hiyo japokuwa ni wanachama wa NATO. Ukiacha Marekani na Canada ambao wako mbali na vita hiyo, wengine ni Australia (Siyo NATO),, Japan (Siyo NATO), South Korea (Siyo NATO), na New Zealand (siyo NATO). Kuhusu wapigananji huko Ukraine, kuna wengi waliojitolea au wanalipwa kutoka nchi mbalimbali za dunia ikiwa ni pamoja na Chechnya (tena hawa ni sehemu ya Urusi lakini raia wa Chechnya wanapigana upande wa Ukraine, Beralus (hawa nao ni washirika wa Urusi, lakini raia wake wanapigana upande wa Ukraine., vile vile kuna warusi wanaoipgana upande wa Ukraine