LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Usa goverment wanaongea utafikiri ni serikali mbili tofauti
 
Sawa. Huo ndio ulikuwa msimamo wa Vance wakati huo (akiamini ndio msimamo wa WH na US kwa ujumla). Hotuba yake ya leo kule Munich ni kinyume na hii. Ni wazi leo alikuwa akiwasilisha msimamo rasmi binafsi wa Trump. Ndio maana nimesema natumaini ataendelea kuwa loyal hivyo hivyo kwa Trump.

Huko nyuma kabla ya kuwa running mate na VP aliwahi kushindwa kwenda sambamba na Trump ambaye hatabiriki. Wengi waliojitahidi kufuatana na Trump walifika mahali wakashindwa na kupigwa buti.
 
Makubaliano na nani? Na Biden? Na Putin?

Marekani ione aibu? Tangu lini? Are you joking? Endelea kusikiliza vimbwanga vya Trump kama kuna mtu wa kuona aibu hapo.
 
Hyu si alisaini hadi decree inayo mzuia kufanya mazungumzo yeyotena Mr putin
 
⚡Zelensky:

"If we have 150-160 F-16 aircraft, plus 25 Patriot systems, then we are ready for a peacekeeping contingent exclusively of Ukrainians."
 
Humu katika vita hii nimejifunza mengi sana
1. Vita si lelemama vita ni moyo bila moyo Ukraine ingeshasarenda toka siku ya nne au ya tatu ya hii vita. Msaada wa washirika wake lazima upewe umuhimu wake katika hili. Lakini pia niwapongeze Vijana wa Ukraine' Kwa kupigana kizalendo na moja ya jeshi kubwa na teknolojia za hali ya juu zaidi duniani!
2.Silaha za Kimagharibi ni silaha za kawaida ambazo HAZINA ubora tuliohadithiwa na BBC, madhali HIMARS, F16, TIGER TANK, ABRAMS, LEOPARD, nk zimefeli na kuteketea vibaya, Sina budi kusema kwamba Russian weapons t72, t90 , bm grad Su 34, su 25 zimefanya vyema Kwa kiasi kikubwa sana!
,3. Lazima mataifa yetu yawekeze katika teknolojia za drone, Drones zimeharibu kabisa mifumo mbalimbali ya kimapigano ya section, platoon nk.
4. Vita imeibua mataifa madogo kuonesha ufundi wao katika kutengeneza zana, aghalabu si ajabu zilizikika kelele za uwepo wa Silaha za Kiran na Korea zinazozidi kuonesha performance ya hali ya juu.
4. Russia Ina uchumi mzuri usiyoyumbishwa ovyoovyo na vikwazo, Putin vita ikiisha ni vyema akakaa na wachumi wake na kuwapongeza sana!
5. Vita imeharibu sana uhusiano wa kiuchumi na Russia, vikwazo vingi vimeifanya na kuifanya Russia kutumia muda mwingi kurecover hali hii iliyojitokeza.
Ongezea vingine ulivyojifunza Kwa mtuzamo wako
 
US senator hails Zelensky for proxy war effort

Ukraine is the ally Sen. Lindsey Graham has been “hoping for” all his life, since “not one American” has been killed in the conflict
US senator hails Zelensky for proxy war effort

Republican US Senator Lindsey Graham showered praise on Ukraine’s Vladimir Zelensky at this year’s annual Munich Security Conference, declaring him to be the ally he had always dreamed of and lauding that the fight with Russia had not cost American lives.

The war-hawk senator made the remarks on Friday during a panel discussion at the Munich Security Conference. Speaking alongside Zelensky, Graham admitted the conflict between Moscow and Kiev was a proxy war fought by Kiev on Washington’s behalf, and praised Zelensky’s role in the continuing bloodshed.

“I want to tell you and your people you’re the ally I've been hoping for all my life. Not one American has died defending Ukraine,” Graham proclaimed, adding that Kiev had taken “our weapons” and purportedly “kicked [Russia’s] ass.”

“I’m very proud to have you as our ally,” he stressed.

However, Graham’s claim of zero American casualties in the conflict appears not to be entirely true, given that mercenaries and “volunteers” from the US have been repeatedly reported killed during the hostilities. Last year, the Russian military said the US had provided at least some 1,113 mercenaries to fight on Kiev’s behalf. According to Moscow’s estimates, nearly half of them – some 491 – had been killed.

Trump expects guarantees that Kiev will repay US aid with mineralsREAD MORE: Trump expects guarantees that Kiev will repay US aid with minerals
The senator has been very open about Washington’s true goals in the conflict between Moscow and Kiev, describing the deaths of Russians in the hostilities as “the best money we ever spent” and an all-round good investment for Washington. He also touted plans to take control of the country’s “trillions worth” of natural resources, describing Ukraine as a “gold mine” full to the brim with “critical resources.”

The idea of seizing Ukraine’s minerals for the US has been floated since US President Donald Trump’s return to office, who recently demanded the “equivalent of $500 billion worth of rare earths” from Kiev in exchange for “more than $300 billion” his predecessor Joe Biden sent to Ukraine over the past three years. Zelensky has signaled readiness for such a “partnership” with Washington, yet admitted that the greater part of the resources Trump wants are under Moscow’s control already. He urged his Western backers to help him push Russian forces out of those resource-rich territories.
 
⚡European Commission President Ursula von der Leyen:

A failed Ukraine weakens Europe and the US.

We need a surge in European defense spending.

 
⚡An exchange of bodies has occurred between Russian and Ukrainian forces.

45 bodies return to Russia, 757 bodies return to Ukraine
KIPANYA atasema,tutazidi kuwachinja warusi🤣
⚡The U.S. proposed a deal in Munich granting Washington 50% rights to Ukraine’s future mineral resources, but Zelensky refused to sign
Yaani Hilo ndio kosa kubwa alilofanya zelensky kukataa madai ya Marekani,soon,anatolewa namarekani wenyewe
 
⚡Ukrainian President Zelenskyy said Friday that it would be “very, very, very difficult” for Ukraine to survive without U.S. military support, both now as it tries to repel Russia's invasion and in the future after the war ends.

"Probably it will be very, very, very difficult. And of course, in all the difficult situations, you have a chance. I don’t want to think about fighting against Russia without American support." Zelenskyy said.
 

Attachments

  • zele.jpg
    11.1 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…