kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Ndoto nyingine ni operation maalum ya saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo 🏃 🏃 🏃 🏃Kumbe wewe ni msomaji wa ndoto.
Basi na Mimi nasoma ndoto ya NATO kua walidhani wataishinda Urusi kupitia Ukraine Kwa kushirikiana Mataifa 59 kijeshi na kivikwazo lakini matokeo yake wamameamua kuungana na Urusi.
Sasa kama Ukraine ni mwamba apigane peke yake bila USA.
Hata Trump Jana kasema Ukraine bila USA Putin angeshaichukua Kiev mapema TU.
Lakini Sasa Urusi ni ya nne kiuchumi.
Haya leta ndoto nyingine nami nije na nyingine.
Kama wewe mpumbavu unavotakiwa kujibiwa kipumbavu!Umemjibu vizuri sana ,wajinga kama hao ndio wanatakiwa kujibiwa namna hiyo.
Lile genge la akina Joe Biden na NATO lao jambo ni moja - kujifanya wanaisaidia Ukreni kuidhoofisha Russia, huku wao wakitafuta mwanya wa kuichuna rasilimali zake.Mkuu yule wa kwanza si kaisha ondoka madarakani au kuna mwingine?
Huyu wa sasa ndio kichaa anampeleka puta sana.
Kipanya naona umeandika kwa hisia kabisa,, pole sana, afu naona unaandika leo comment zako kwa hisia zako kabisa,, sio kama siku za nyuma kukopi na kupest habari kwenye vyanzo uchwara na kutupostia humu,, leo hata kile kiposta chako cha wamekufa wangapi urusi ujatupostia.Ajabu ni kuwa na nyinyi Leo mnaendeleza huo ujinga kwa kufurahishwa na trump😍🤩
Mnaweza kuona miaka 4 mingi lakini mambo yanaweza kwenda hivihivi mpaka muhula wa Trump ukaisha kisha akaja kiongozi mwingine pro-kyiv haswa,nani alitegemea Biden ataondoka Whitehouse na kuacha vita hii ikiendelea!?., nadhani hakuna binadam wa kawaida alitegemea hili!
Mkuu, mwacheni tu huyu jamaa asee. NATO hawajamlipa hela yake ya posho tangu Novemba mwaka jana, wakati tayari kafanikiwa kuwachinja askari kibao wa Urusi.Kipanya naona umeandika kwa hisia kabisa,, pole sana, afu naona unaandika leo comment zako kwa hisia zako kabisa,, sio kama siku za nyuma kukopi na kupest habari kwenye vyanzo uchwara na kutupostia humu,, leo hata kile kiposta chako cha wamekufa wangapi urusi ujatupostia.
Lile bomu nililogeuza kiwanda cha silaha majivu, niliwaambia liliwaogopesha sana US na washirika wake. Ndiyo maana Trump hataki kufanya Ujinga wa kutunishiana msuli na Russia!
Halafu kuna wapuuzi wanamsifu huyo comedian wakimuona ni shujaa eti kwa kile alichokifanya...Zelensky ni mpumbavu full stop. Unapigana vita ambayo huwezi kushinda, umeua raia wa Ukraine wengi, umepoteza madini pamoja na ardhi yenye rutuba, una mdharau mfadhili wako mbele ya camera ukiwa ofisini kwake. Huyu mchekeshaji kuna Nati zimelegea sio bure😂
Watamsisitizia Zele arudi kwa Trump kichwa chini na asikilize kile atachoambiwa na kusaini mkataba wa madini.Lile genge la akina Joe Biden na NATO lao jambo ni moja - kujifanya wanaisaidia Ukreni kuidhoofisha Russia, huku wao wakitafuta mwanya wa kuichuna rasilimali zake.
Trump na swahiba wake Putin nao wana lao jambo - kuidhibiti Ukraine na NATO ili wamgawane jamaa na rasilimali zake.
Kwa hiyo kimsingi kila anayejifanya kuitetea Ukreni, anafanya hivyo kwa sababu tayari pua yake imenusa utajiri wa nchi hiyo.
kabisa, kaleta longo longo, halafu sasa anaanza kuandika magazeti ya appreciation huko twitter, nadhani it's either yeye ama washauri wake walimdanganya, sahivi anataka kurudi Washington kusign, it's too late.Nafikiri kuna mahala nimesema huko juu kwamba Zele hana uzoefu wa hii michezo ya kidiplomasia, na sasa yazidi kudhihirika.
Alotakiwa kukifanya juzi ni kusaini mkataba na si longolongo.